TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

Ni wewe unautengeneza?
 
Tanzania ni useng.e mtupu uwanja mwaka wa ngapi sijui huu umefungwa. Aya sasa kimetulamba hicho kubababake
Nadhani Uwanja ulifungwa kwa ajili ya matengenezo kujitayarisha na CHAN na AFCON, sio kombe hili la akina mama. Akina mama Hawa walishakatiwa tamaa, ilijulikana mwisho wao 1/4.
 
Niliwaambia mapema mkautifue kidogo ule uwanja wa amani kule Zanzibar ili uonekane mbovu mkashindwa
 
Mngalitifua shimo la mchongo hapo kati mkamwaga na maji na Caf wangesogeza mbele ratiba dimba likachezwa kwa mkapa
 
Ukishakuwa shabiki wa simba na Yanga lazima uwe na matatizo ya akili
 
Ukiwa kwenye matengenezo si tunakupeleka hata Rwanda ukacheze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…