kwa Ras simba iyo bongo kweli nyoso"Thus, not that passports will not be used as access to stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."
This is double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.
Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
WAMEJIONGEZATff wameona tabu yote ya nn
Kosa lingine ni TFF kuwasiliana na Department badala ya CAF moja kwa moja."Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."
This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.
Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
AtakuaWaziri alikurupuka.
Waache watu wapewe uhuru wao wa kushangilia timu zao sio wote ni mashabiki wa Simba na Yanga.
Hiki kimalikia jamani kuweni makini nacho,mi naona km tff wanapigilia nyundo vile.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma barua CAF ya kulihakikishia shirikisho hilo la soka Afrika CAF kuwa mechi ya Yanga dhidi Mamelodi Sondowans itachezwa kwa kanuni na taratibu za soka zilizowekwa ya namna ya kuingia uwanjani, na kigezo sio passport...
TFF wameshtukia mtego ambao ungeenda kuigharimu nchi pakubwa tayari mashabiki ambao wangevaa jezi za mamelodi walishakubaliana kuwa chochote watakachofanyiwa na polisi au walinzi wa geti la kuingilia uwanjani wangekuwa wanarekodi moja kwa moja na kuzituma kwenye page ya CAF na FIFA View attachment 2942508
Karia na Ndimbo unategemea nini?"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."
This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.
Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Wanakuwaga na aibu kwani??Atakua
Anajisikiaje huko alipo πππ π
Weusi wame meet na Nahreel[emoji1787][emoji1787]Karia na Ndimbo unategemea nini?
uje na jezi ya mamelon tuone itakuaje ili tujiridhishe πShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma barua CAF ya kulihakikishia shirikisho hilo la soka Afrika CAF kuwa mechi ya Yanga dhidi Mamelodi Sondowans itachezwa kwa kanuni na taratibu za soka zilizowekwa ya namna ya kuingia uwanjani, na kigezo sio passport...
TFF wameshtukia mtego ambao ungeenda kuigharimu nchi pakubwa tayari mashabiki ambao wangevaa jezi za mamelodi walishakubaliana kuwa chochote watakachofanyiwa na polisi au walinzi wa geti la kuingilia uwanjani wangekuwa wanarekodi moja kwa moja na kuzituma kwenye page ya CAF na FIFA View attachment 2942508
Naunga mkono hojaKaria kajiongeza bila kufata utaratibu wa CAF tungekutana na ban ya FIFA
Ndumbaro kaleta taharuki tu, asilimia kubwa ya mawazir wa Samia ni weupe mno kichwani sijui hata huwa anatumia vigezo Gani kuwateua.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma barua CAF ya kulihakikishia shirikisho hilo la soka Afrika CAF kuwa mechi ya Yanga dhidi Mamelodi Sondowans itachezwa kwa kanuni na taratibu za soka zilizowekwa ya namna ya kuingia uwanjani, na kigezo sio passport...
TFF wameshtukia mtego ambao ungeenda kuigharimu nchi pakubwa tayari mashabiki ambao wangevaa jezi za mamelodi walishakubaliana kuwa chochote watakachofanyiwa na polisi au walinzi wa geti la kuingilia uwanjani wangekuwa wanarekodi moja kwa moja na kuzituma kwenye page ya CAF na FIFA View attachment 2942508
Typing error."Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."
This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.
Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Acha ushamba, unaona hiyo bar code?Watu wameshaandaa passport View attachment 2942566