TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
 
Kosa lingine ni TFF kuwasiliana na Department badala ya CAF moja kwa moja.
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma barua CAF ya kulihakikishia shirikisho hilo la soka Afrika CAF kuwa mechi ya Yanga dhidi Mamelodi Sondowans itachezwa kwa kanuni na taratibu za soka zilizowekwa ya namna ya kuingia uwanjani, na kigezo sio passport...
TFF wameshtukia mtego ambao ungeenda kuigharimu nchi pakubwa tayari mashabiki ambao wangevaa jezi za mamelodi walishakubaliana kuwa chochote watakachofanyiwa na polisi au walinzi wa geti la kuingilia uwanjani wangekuwa wanarekodi moja kwa moja na kuzituma kwenye page ya CAF na FIFA View attachment 2942508
Hiki kimalikia jamani kuweni makini nacho,mi naona km tff wanapigilia nyundo vile.
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma barua CAF ya kulihakikishia shirikisho hilo la soka Afrika CAF kuwa mechi ya Yanga dhidi Mamelodi Sondowans itachezwa kwa kanuni na taratibu za soka zilizowekwa ya namna ya kuingia uwanjani, na kigezo sio passport...
TFF wameshtukia mtego ambao ungeenda kuigharimu nchi pakubwa tayari mashabiki ambao wangevaa jezi za mamelodi walishakubaliana kuwa chochote watakachofanyiwa na polisi au walinzi wa geti la kuingilia uwanjani wangekuwa wanarekodi moja kwa moja na kuzituma kwenye page ya CAF na FIFA View attachment 2942508
uje na jezi ya mamelon tuone itakuaje ili tujiridhishe 🐒
 
Watu wameshaandaa passport
1711193636724.jpg
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma barua CAF ya kulihakikishia shirikisho hilo la soka Afrika CAF kuwa mechi ya Yanga dhidi Mamelodi Sondowans itachezwa kwa kanuni na taratibu za soka zilizowekwa ya namna ya kuingia uwanjani, na kigezo sio passport...
TFF wameshtukia mtego ambao ungeenda kuigharimu nchi pakubwa tayari mashabiki ambao wangevaa jezi za mamelodi walishakubaliana kuwa chochote watakachofanyiwa na polisi au walinzi wa geti la kuingilia uwanjani wangekuwa wanarekodi moja kwa moja na kuzituma kwenye page ya CAF na FIFA View attachment 2942508
Ndumbaro kaleta taharuki tu, asilimia kubwa ya mawazir wa Samia ni weupe mno kichwani sijui hata huwa anatumia vigezo Gani kuwateua.
 
"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Typing error.
 
Back
Top Bottom