TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

Hapo utaona kwamba mchapaji amesahau e (Kwenye note that..., Thus, note that passports will bot be used as access to the stadium for supporters)

Anyway lugha tena ya Kigeni kwangu sio kigezo sana kwangu kuwapima hawa wadau...., Ingawa umakini wa kutokupitia barua mara mbili au tatu kabla ya kutuma ni kosa kubwa....., Pili upuuzi wa yule Waziri ndio jambo la kushangaza, hawa jamaa kama hawana kazi wakachukua part time jobs huko za kulima bustani... (Hizo gharama za kuandika na kutuma hio barua pamoja na fine kubwa na usumbufu awalipe wote waliokumbwa na huu usumbufu) At very least aombe msamaha...
Ni errors za kiuandikaji..... wewe umeandika.... ......will bot be used......
 
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema hakuna shabiki atakayedaiwa pasipoti wakati anaingia uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns.

TFF imesisitiza kuwa michezo haisimamiwi na idara ya uhamiaji, hivyo imewatoa hofu wachezaji, mashabiki na uongozi wa Mamelodi na kuwahakikisha usalama muda wote watakaokuwepo nchini.

View attachment 2942703

Maoni Yangu: TFF wamechelewa sana kutoa tamko na waziri Ndubalo ajitokeze kutengua kauli yake na kutuomba Radhi mashabiki wa mpira wa miguu.
Ila kiingereza nacho! Sentensi zinatafsiriwa kutoka kiswahili na kuandikwa kwa maneno ya kiingereza!

Ndumbaro aliongea pumba sana na kusahau kuwa yeye ni kiongozi wa serikali, jambo linaloweza kufanya TFF ikumbane na kigingi kilichoikumba FKF ya Kenya
 
Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
Haya mawazo sio ya kiungwana yanatakiwa yawe kichwani mwa janjaweed, Hamas, mossad, Taliban, Alkaida, ISISI N.k...

Hatapaswi kua kichwani mwa m TZ abadani..

Mpira Ni Upendo, furaha, afya, amani na kutaniana 😊😊😊😊😊

Nyinyi na litimu lenu na viongozi kama Ndumbaro WANAO jisahau tupo Karne 21 (FOOTBALL GLOBALIZATION) wanataka kuturudisha kwenye """"UJITUKABEJA""" 😊😊😊
 
Ndumbaro bhana !

FB_IMG_1711210372988.jpg
 
Haya mawazo sio ya kiungwana yanatakiwa yawe kichwani mwa janjaweed, Hamas, mossad, Taliban, Alkaida, ISISI N.k...

Hatapaswi kua kichwani mwa m TZ abadani..

Mpira Ni Upendo, furaha, afya, amani na kutaniana 😊😊😊😊😊

Nyinyi na litimu lenu na viongozi kama Ndumbaro WANAO jisahau tupo Karne 21 (FOOTBALL GLOBALIZATION) wanataka kuturudisha kwenye """"UJITUKABEJA""" 😊😊😊
Kilichopo Tanzania sasa hivi ni chuki, wala si utani wala Burudani.

Dawa ni hiyo tu, kinuke siku moja hapo Benjamin Mkapa vidondoke vichwa si chini 100 ndio ustaarabu utapatikana.

Na haya ndio madhara ya Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyao.
 
Ni sahihi na ukweli mtupu nakubaliana na wewe..
 
Ila kiingereza nacho! Sentensei zinatafsiriwa kutoka kiswahili na kuandikwa kwa maneno ya kiingereza!

Ndumbaro alionbgea pumba sana na kusahahu kuwa yeye ni kiongozi wa serikali, jambo linaloweza kufanya TFF ikumbane na kigingi kilichoikumba FKF ya Kenya
Naimani hayata tokea ya kutokea vinginevyo ikitokea ya kutokea siku ya mechi ya yanga...

The Confederation of African Football (CAF) — a branch of FIFA — wata mu warned him against “mixing politics with sports”.
 
Kilichopo Tanzania sasa hivi ni chuki, wala si utani wala Burudani.

Dawa ni hiyo tu, kinuke siku moja hapo Benjamin Mkapa vidondoke vichwa si chini 100 ndio ustaarabu utapatikana.

Na haya ndio madhara ya Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyao.
Duh!
 
Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
Huo sio uana mchezo. Mchezo sio kitu cha kukufikisha huko. Nani mchezo haumhusu? Hao usiowataka waingie wanalipia viingilio na kuongeza mapato.
Hata sijui inakuwaje mpaka u wish vifo vya watu kisa mpira.
 
Back
Top Bottom