TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

Msichokijua ni kuwa mechi vs Uganda itakuwa ya kimipango sana, cha muhimu carpe Verde afungwe na Lesotho basi, Ila hii ya Uganda stars atashinda tu,
 
Write your reply...ina maana timu haiwezi kupata ushindi bila hiyo wanayoiita kamati?? lengo la hiyo kamati ni nini??. kutoa pesa? kuhamasisha?au?.hii kitu FIFA ndo huwa wanakataa!
 
Hivi nchi hii itajifunza lini kuwa vilio vya wengi ndivyo sababu ya mipango mingi kuanguka?

Kweli mnajua kuwa Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo hususani soka na kuwa soka linaunga nisha wengi hata wenye tofauti za siasa.
Je ni kweli nchi hii imekosa kabisa watu wa kuunda Kamati ya Saidia Stars ishinde hadi kumuweka Makonda kuwa Mwenyekiti na Jerry Muro mjumbe?

Mnajua kuna watu wanachuki kubwa na hawa watu na kuwahisi ni watu waliomo kwenye kundi linalotuhumiwa mabaya mnadhani wataendelea na mapenzi na Stars? Mie nimeingia baridi.

Mumeivuruga Stars na sitashangaa tukaambulia kipigo maana sasa hata wenzetu wengine dua zao zitakuwa against Stars.

Hivi Karia anatumika kwenye siasa? Maana ukiangalia kuna dalili wameona Stars wanashinda na hapo anatafutwa mtu asiye na aibu asifie kuwa hizi ni juhudi za awamu ya tano maana mbona tokea Nyerere hatujaenda tena AFCON hadi sasa.

Ile milioni hamsini itatajwa kuwa kichocheo kikubwa utadhani ni big deal. Nani asiye na mshipa wa aibu kusema hayo kama sio Makonda?
Lakini hamjiulizi je Makonda na MO Dewji wanaweza kukaa meza moja na kujadili jambo la maana au kutuzuga tuu?

Pia mnadhani Wachezaji ni robot tuu hawana chembe ya itikadi na chuki zao mioyoni? NALIONA ANGUKO LA STARS. MSIONE AIBU VUNJA HIYO KAMATI UNDA MPYA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nchi hii itajifunza lini kuwa vilio vya wengi ndivyo Sababu ya mipango mingi kuanguka?
Kweli mnajua kuwa Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo hususani Soka, na kuwa soka linaunga nisha wengi hata wenye tofauti za siasa.
Jee ni kweli nchi hii I mekosa kabisa watu wa kuunda Kamati ya Saidia Stars ishinde hadi kumuweka Makonda kuwa mwenyekiti na Jerry Muro mjumbe? Mnajua kuna watu wanachuki kubwa na hawa watu na kuwahisi ni watu waliomo kwenye kundi linalotuhumiwa mabaya mnadhani wataendelea na mapenzi na Stars? Mie nimeingia baridi.
Mumeivuruga Stars na sitashangaa tukaambulia kipigo maana sasa hata wenzetu wengine dua zao zitakuwa against Stars.
Hivi Karia anatumika kwenye siasa? Maana ukiangalia kuna dalili wameona STARS wanashinda na hapo anatafutwa mtu asiye na aibu asifie kuwa hizi ni juhudi za awamu ya tano maana mbona tokea Nyerere hatujaenda tena AFCON hadi sasa.
Ile milioni hamsini itatajwa kuwa kichocheo kikubwa utadhani ni big deal. Nani asiye na mshipa wa aibu kusema hayo kama sio Makonda?
Lakini hamjiulizi jee Makonda na MO Dewji wanaweza kukaa meza moja na kujadili jambo la maana au kutuzuga tuu?
Pia mnadhani Wachezaji ni robot tuu hawana chembe ya itikadi na chuki zao mioyoni? NALIONA ANGUKO LA STARS. MSIONE AIBU VUNJA HIYO KAMATI UNDA MPYA


Sent using Jamii Forums mobile app
Suala ni kwamba kazi kuu ya hiyo kamati niipi hasaa.....kununua wachezaji wa uganda au kuongoza Taifa star walikua wapi tangu machi ya kwanza? Watoe kiki za kisiasa kwenye soka tutakula ban ya Fifa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hao watu uliwataja Mwenyekiti na Mjumbe wapo kwenye Kamati ya "Saidia Taifa stars Ishinde" naomba niseme mim nipo Uganda The cranes. Kamati yenyewe ndo hiyo? Acha tupigwe tu maana hakuna namna Siasa za chuki zinatufungisha adi kqenye Soka
 
Nadhani TZ tuna shida pahala.
Tunashindwa kuelewa mafanikio yana gharama zake Ila tunawaza shortcut.
Hatujifunzi, ili kuwa na taifa stars imara lazima tume na ligi imara na ili tuwe na ligi imara lazima tuwe na sports academies. Kipaji bila kukinoa ni kazi bure.

Lazima tukubali japo mpira ni sanaa lakini pia ni sayansi, na kama ni sayansi means no shortcut
 
hiyo kamati kazi yake ni nini?huyu karia ni hopless kabisa...kila kitu kwake ni siasa si ajabu 2020 likagombea ubunge ni kama vile yuko tff kutengeneza jina lake tu nothing else..!!
 
Back
Top Bottom