Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

Kkatika raundi ya pili, Nhobora (kwetu) wajiandae kwa tano. Tutakutana hapa.
 
Kolo unalazimisha furaha
Nimekupiga mara nne mfululizo
Goli 5 nyingi Bado mmechanganyikiwa
Unaishi kwa historia ndiyo maana sasa watu wanajipigia tu hamtaki kukubali ukweli wa sasa mnaishi kwa matukio yaliyopita. Unajaribu kuhamisha magoli ishi ni utoto wa Ally Kamwe kuidogosha Yanga,hebu msikilize mwana Yanga mwenye kujitambua labda utaondokana na akili mgando
 

Attachments

  • VID-20241113-WA0001.mp4
    8.7 MB
  • VID-20241113-WA0002.mp4
    639.8 KB
  • VID-20241113-WA0003.mp4
    11.3 MB
Mnara goli 5 aliousimika magomeni
Makolo ndo mkawa na hasira nae
Tumeshakufungeni hizo goli 5 na goli 6 na goli 4 mara nyingi tu mbona Sisi Watu wa Simba SC wala hatuwehuki kama nyie wa Yanga SC?

Ndiyo maana kwa 100% nakubaliana na aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) aliposema (ipo YouTube) kuwa wana Yanga SC wote ni NYANI, MBWA na SOKWE kwani hata wana Yanga SC mliopo hapa JamiiForums mnasadifu hicho alichokisema huyo Kocha wenu.

In short wana Yanga SC wote hamna Akili.
 
Back
Top Bottom