Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 979
- 1,256
Kwa hapa hata ulikuwa na hasira lazima utabasamu.."Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Umeona eeeh Dada,.Hii id na yenyew mpya lkn inatamba
mnanionea mtoto WA watuImekuja kwa kasi hahaha uyu.mwenyeji kabsa....
Pamoja mkuuWoooh..!,maneno matamu sana haya,,lazima niyachukue ili siku ikitokea nimemkwaza Mama watoto basi nimtulize nayo.!
Hahahahha.Upo vizuri aisee, baada ya hapo mnamalizia na make up sex..Teh
Nisamehe!!!![emoji15] [emoji15] ( hii ni amri) , kama ni mm sikusamehi . Hapo inabid useme " Naomba nisamehe (hili ni ombi)"Nisamehe
Umeona eeeh, hapo shetani atajuta maana lawama ni zakeKwa hapa hata ulikuwa na hasira lazima utabasamu..
Watu na talent zao[emoji41]"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Never Seen This. I Got Goosebumps All Over My Body"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
hahaha SO UMEEAMUAJE??NISEPE AU?Oya yaishe basi,sinilishakuambia bahati mbaya au?
Yaandike pembeni,hata kama MB huna hutokuwa na haja ya kuja kuchungulia jf. Unaenda na kikaratas chako unakuwa unakisoma huku umepiga magoti[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,mapenz bhanWoooh..!,maneno matamu sana haya,,lazima niyachukue ili siku ikitokea nimemkwaza Mama watoto basi nimtulize nayo.!
rubbish
empty setrubbish