Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Mwanaume kwa siku anatongoza wanawake 5 mpaka 10.
Mwanamke anaweza kukaa siku nzima hata kusalimiwa hapati. Sasa unataka mwanaume aombe msamaha wakati wewe humo hata kwenye top 10 yake. 😀😀
 
Punguza hasira nini......naona Mtu unaandika Jitu....kama kuomba msamaha ni rahisi jiombe mwenyewe!
 
Wanaume huwa hatuombii msamaha. Ukiomba msamaha mwanamke atakudharau sana tena sana. Hata km mkeo akikufumania na mwanamke ww kaa kimya.
Mm siombi msamaha hata iweje.
 
Chukua Wazungu si umeona Shemeji yetu Lowrey wa Mange aliomba Msamaha walivyogombana?
 
Kule kwetu tarime.. Mwanaume ukigundulika umemwomba msamaha mwananke. Unatengwa.
 
Tatizo na nyie wanawake wa ki TZ mko dependent sana hadi mtu anawachukulia easy..
Unakuta binti umemgharamia kila kitu kuanzia kucha hadi nywele + usafili na simu anayotumia bila kusahau vocha..

Sasa ukimkosea unaanzaje kuwa serious na misamaha wakati unajua hawezi kwenda popote na hata akienda unatafuta mwingine easy tu..

Mkiacha hui uomba omba labda tutajifunza kuomba msamaha
 

Hahahahaha!
Aisee thank you. Maisha magumu but u made my day
 
Mimi huwa naomba msamaha na sjawahi kuona kama ni weakness, isipokuwa nione kabisa dhahiri makosa yangu. kuomba msamaha hakunifanyi a lesser man. Bali kuna nifanya a respinsible man
Ndio maana nakuelewa sana rafiki [emoji4][emoji4]
 
Unaleta mada za kufikisha ujumbe,lakini tatizo lako
1. Unapenda mafumbo ambayo hiyo ni hulka ya kishamba kama mtu kakuboa mfate mchane live sio JF huku
2.Jitahidi kuepuka kufanya "GENERALIZATION" maana kila thread wewe wanaume,wanaume,wanaume haitokaa ikakusaidia na
3.Mambo mengine unamaliza kiutu uzima usipende kujianika kila kitu chako usidhani watu wote wanaokusifia wanakupenda wengine wanakuchora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…