Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Ndio maana tunayachezea tu kama vifimbo cheza harusi nchi nyingine unaona kama lady jadee katoa kifaa njee.
Haya ni mazuzu na machizi utahangaika nayo mpaka utakufa au utazeeka hayajijui licha yakujue dada chukua hatua mapema.
Tafuta wanaume nje ya nchi sio hapa unamuona gig money .
Asilimia kubwa wao hawajitumi yanatunzwa.
Yanapenda kulelewa.
Ipo siku yao yatageuzwa kisa uvivu.
 
Mtu akupe fedha na msamaha akuombe huo utakuwa uchizi
 
Omba na wewe uwe unauzika huko nje lakini kama ndio sura kama kiatu utabanana na hawa hawa wa bongo.
 
Mnachokosea ni kufanya ujumuishi katika mambo mnayokutana nayo mnadhani kila mtu ni mjinga kama mnavyodhani.Mbona nyinyi wenyewe hamridhiki? Mwanamke una wanaume 7 kila mmoja ana ratiba yake,wenyewe mnaita "KUDANGA"mwogopeni MUNGU wakina dada.
 
Mnachokosea ni kufanya ujumuishi katika mambo mnayokutana nayo mnadhani kila mtu ni mjinga kama mnavyodhani.Mbona nyinyi wenyewe hamridhiki? Mwanamke una wanaume 7 kila mmoja ana ratiba yake,wenyewe mnaita "KUDANGA"mwogopeni MUNGU wakina dada.
Unamdomo kama wewe ndio mtakatifu na huku unachagua utachagua mpaka uoe jini.
 
Raha ya kuombwa msamaha utoke katika uvungu wa moyo wa mwombaji vinginevyo ni heri ukae kimya kuliko kuomba msamaha kinafiki. Kuna watu ni mabingwa wa kuomba msamaha na baada ya muda kidogo tu hurudia makosa yale yale na pengine makubwa zaidi!
 
TATIZO JITU, NAKUBALI KUJIFUNZA
 
Kwakweli wengi wenu hamuombagi msamaha nyie watu mnakaa kimya tu cjui mmeumbikaje
Sisi ni wanaume, Tunatofautiana katika malezi na ktk mazingira, Wako watu ktk ukanda fulani kumuomba msamaha mwanamke ni kosa la jinai. Nikikosa huwa nakubali yaishe, Najishusha na ninaomba msamaha kiroho safi tu.
 
Hizo movie mnazoangalia ukadhani na mwenzio kaangalia, kinawasababisha muishie kuwa masingle maza.
 
kritika maliyamtu Wengine hawaombi msamaha si kwamba ni wajeuri au wana kiburi, La hasha!
Kipo kitu ndani ya maumbile yao, Someni saikolojia yao. Katika yale makundi manne, muwatambue wako makundi yapi na faida zake na madhaifu yake pia.
Mnapotaka madume, mkumbuke pia kuna tofauti kati ya neno, "Behaviour" na "CHARACTER"

NOTE: Wako wanaokubali kwa ishara kwamba wamekosa lakini hawatamki kwa mdomo, mfano ni kajike nilikowahi kuwa nako, kalikuwa kanakubali kamekosa ila akaombi msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…