Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Tunaomba msamaha 'expressly' pale ambapo inabidi tu. Mengine tunamalizana tu 'impliedly'.
 
nimekukubali ndugu...!
 
Tunaomba msamaha 'expressly' pale ambapo inabidi tu. Mengine tunamalizana tu 'impliedly'.

Mkuu Tized ebu saidia kutoa semina kwa wanajamii kuwa tatizo sio mfumo dume ila principally kuna vitu vinatakiwa kum-guide mwanaume katika kuomba msamaha however mwanaume hutakiwi kumkosea mwanamke utakavyo, heshima ni muhimu. cc: Lady niece

hivi wanaume wanafanana tabia? mi huwa nalazimisha kuombwa msamaha, lakini kuliko mtu aseme sorry anazidi kubishakwa kujitetea kwa hoja zinazokera. Ukikosea, unapaswa kuomba msamaha
 
Biblia inamuagiza mtu mume kuishi na mwanamke kwa akili, sasa we endelea kuwadekeza uone kitachokutokea.
Bible pia iliagiza mtupende. Sasa unashindwaje kumuomba msamaha mtu unayempenda, endapo umemkosea
 
Hello waungwana... Wanaume wanapenda kuonekana sahihi muda wote.. Wakiomba msamaha wanaona km wanakiri udhaifu kumbe wakijifanya wagumu ndo wanakiri huo udhaifu..
 
Bible pia iliagiza mtupende. Sasa unashindwaje kumuomba msamaha mtu unayempenda, endapo umemkosea
hivi unafahamu wanaume tunawapenda wanawake kuliko wao wanavyotupenda? do you know that?
 
Endelea kuomba msamaha lkn ujue hilo kwako tatzo maana hao hawana msamha....ishi naye kwa akili...mjomba...
 
HAPO NDUGU NIMEKUELEWA KABISA
NILIDHANI HAMUOMBI MSAMAHA KABISA
JINSI NILIVYOMUELEWA Mokoyo ALIVYOSEMA MWANZO
Tunaomba msamaha 'expressly' pale ambapo inabidi tu. Mengine tunamalizana tu 'impliedly'.
 
Last edited by a moderator:
Mi hata kama ndo mwenyekosa lazma nimchenjie kidogo....halafu badae nakua mpole

Yaani we dawa yako moja tu! Ukishakuwa mpole tu hapohapo nalianzisha! Utajiuliza nilimeza saa ngapi iyo MP3
 
Yaani we dawa yako moja tu! Ukishakuwa mpole tu hapohapo nalianzisha! Utajiuliza nilimeza saa ngapi iyo MP3
Nikishakua mpole kama najua kosa ni langu nakupiga na Gifts tu kukupooza...c unajua actions speak louder..
 
mimi huomba msamaha haraka kwani, naamini silaha ya ndoa njema ni haya maneno matatu:-
1.POLE
2. SAMAHANI
3.ASANTE
Haya maneno ukiyatumia vizuri walah ndoa yako haitakuja kuyumba milele. maneno hayo yatumike kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…