Thamani ya mtu siyo pesa bali ni imani yake kwa jamii iliyompa imani zao

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi duniani waliyosomea mambo ya uchumi,tukaaminishwa ni mshauli wa rais wa Uganda katika masuala ya uchumi,ulikuwa ukimuona anaogopesha,anaheshimishwa,leo kakubali kupitia njia aliyopitia Mrema

Namuona ndugu yangu Mbowe akipitia njia ileile waliyopitia wenzake,hata kama atakuwa na pesa lakini thamani yake imeshuka sana pamoja na wale wote waliojiondoa Chadema tofauti na mtu kama Lissu ambaye thamani yake iko kimataifa zaidi
 
Ndivyo ilivyo, hakika
 
Thaman ya Mbowe na Msanii wa Dotto Magari ni balabala kabisa.
 
Usiishi kibinafsi hata ndani ya familia ishi ukizingatia wewe una jukumu la kuwaongoza mke na watoto na kila utakalolifanya ulifanye kwa ajili yao
 
Back
Top Bottom