Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

Hivi una habari kuwa soko la India na China ni kubwa kuliko la Nchi za magharibi? Tunavyozungumza tayari India yenye watu wengi kuliko ulaya imeshaingia makubaliano ya kununua gesi na mafuta kwa kutumia Rouble! Hapo Urusi haiathiriki! Watakaoathirika ni ulaya watakaonunua gesi ya Marekani kwa Bei karibuni Mara mbili!!
Kuna msemo unasema "ukisusa wenzio twala"
Halafu alichowachezea ni kwamba inabidi wafungue akaunti ya Rouble, halafu wanaruhusiwa kuweka Dola au Euro lakini Mara zitakapowekwa, zitabadilishwa kuwa Rouble na mchakato huo ukikamilika unapewa huduma ya gesi au mafuta!! Ona Putin anavyosema!

We are not doing charity - Putin on Russian gas
Here's some more from Vladimir Putin who says that in order to buy Russian natural gas, foreign buyers must deal in the Russian currency.

From 1 April, they will have to open special Russian bank accounts to transfer foreign funds and the bank will then use them to purchase roubles.

"If such payments are not made, we will consider this a default on the part of buyers, with all the ensuing consequences," he says.

"Nobody sells us anything for free, and we are not going to do charity either - that is, existing contracts will be stopped."

Major EU economies such as Germany and Italy rely on Russian gas for significant energy needs.
Nobody will allow Russia to use gas as a tool to circumvent economic sanctions imposed on it following her invasion of Ukraine.

Russia has so far offered to sell gas to India at a discount of 20% below the market price for fear of experiencing a glut of gas at home.

The fact that Russia is going to experience the shortage of the hard currency simply means the country's economy is going to falter and will definitely default on her loan repayment obligations.
 
Russia akifanikiwa jua nchi nyingi zitafuata akichokifanya Russia kwa rasilimali zao na ndicho hasa US hakitaki.
Nimeshaelezea mno humu kuhusu changamoto zinazoikabili mkakati wa Russia kujaribu kupambana na vikwazo walivyowekewa kiasi kwamba siwezi kurudia tena time without number.
 
Kikao cha EU juzi kimekaa kitu pekee walichokubaliana itawachukua mpaka 2027 kuacha kabisa utegemezi wa Gas na Mafuta toka Russia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka mwisho wa mwaka huu watakuwa wamepunguza mahitaji ya nishati ya Russia kwa theluthi moja na hiyo nyingine ndio ilikuwa iwe hadi 2027.

Lakini kwa kuwa hawako tayari kufanya manunuzi kwa kutumia Ruble ni wazi kwamba huo utaratibu haupo tena na watatafuta hatua za dharura kujikwamua.
 
Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya Urusi ITALAZIMIKA kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia manunuzi ya gesi!! Asiyetaka aache na hatapewa gesi!!

Mabeberu wanashangaa kuwa hatua walizochukua dhidi ya Urusi zilizolenga kuiangusha kiuchumi badala yake zimeizindua urusi na pesa yake inapaa juu!! Ona hapa:

London (CNN Business)The barrage of sanctions imposed by the West following Russia's invasion of Ukraine decimated the ruble. But one month after the tanks rolled, the currency has made a full recovery and is now trading at levels seen prior to the war. How is that possible?

Russia's central bank has taken dramatic steps in recent weeks to intervene in the market, implementing policies to prevent investors and companies from selling the currency and other measures that force them to buy it.
What has Moscow done to boost the ruble?
The central bank has more than doubled interest rates to 20%. That encourages Russian savers to keep their money in local currency.
Exporters have been ordered to swap 80% of their foreign currency revenues for rubles rather than holding onto US dollars or euros.
Russian brokers have been banned from selling securities held by foreigners.
Residents are not allowed to make bank transfers outside Russia.
Russia has threatened to demand payment for natural gas in rubles, not euros or dollars.

Hakuna beberu aliyeweza kuwaza jinsi Putin atakavyojibu mapigo kuhusu vita hii ya kiuchumi.
Kusema ukweli rasilimali za asili ni utajiri mkubwa
Lete currency convert hapa tuone hiyo ruble iliyo juu? Acha uongoo $ laki moja ni karibu milioni 9 ruble.,
 
Kupanda kwa Ruble ni very temporary baadaye itakuja kushuka tena baada ya nchi za Ulaya magharibi kupata ufumbuzi wa nishati sio muda mrefu ujao.

The souring on the value of Ruble will only survive like a burning matchstick and in not so distant future it will begin to plummet again.
Ruble is being backed by vast natural resources, the Russians have. The dollar is not. They just print! Refer Medvedev interview.
 
Kupanda kwa Ruble ni very temporary baadaye itakuja kushuka tena baada ya nchi za Ulaya magharibi kupata ufumbuzi wa nishati sio muda mrefu ujao.

The souring on the value of Ruble will only survive like a burning matchstick and in not so distant future it will begin to plummet again.

Issue ya nishati siyo kama kupanda mapapai, it's a multi dollar investment. Siyo kitu cha kufanya ndani ya mwezi au miwili.
 
Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya Urusi ITALAZIMIKA kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia manunuzi ya gesi!! Asiyetaka aache na hatapewa gesi!!

Mabeberu wanashangaa kuwa hatua walizochukua dhidi ya Urusi zilizolenga kuiangusha kiuchumi badala yake zimeizindua urusi na pesa yake inapaa juu!! Ona hapa:

London (CNN Business)The barrage of sanctions imposed by the West following Russia's invasion of Ukraine decimated the ruble. But one month after the tanks rolled, the currency has made a full recovery and is now trading at levels seen prior to the war. How is that possible?

Russia's central bank has taken dramatic steps in recent weeks to intervene in the market, implementing policies to prevent investors and companies from selling the currency and other measures that force them to buy it.
What has Moscow done to boost the ruble?
The central bank has more than doubled interest rates to 20%. That encourages Russian savers to keep their money in local currency.
Exporters have been ordered to swap 80% of their foreign currency revenues for rubles rather than holding onto US dollars or euros.
Russian brokers have been banned from selling securities held by foreigners.
Residents are not allowed to make bank transfers outside Russia.
Russia has threatened to demand payment for natural gas in rubles, not euros or dollars.

Hakuna beberu aliyeweza kuwaza jinsi Putin atakavyojibu mapigo kuhusu vita hii ya kiuchumi.
Kusema ukweli rasilimali za asili ni utajiri mkubwa
Ni utajiri mkubwa ndio ila gesi tumelabidhi mchina.
 
Hii ni habari mbaya sana kwa Wamarekani weusi wa yombo dovya
Hii habari ni lisaa limoja lilopita Putin kishapigilia msumari no ruble no gas.
View attachment 2170651View attachment 2170652
Screenshot_2022-03-31-20-35-36-305_com.miui.gallery.jpeg
 
Kupanda kwa Ruble ni very temporary baadaye itakuja kushuka tena baada ya nchi za Ulaya magharibi kupata ufumbuzi wa nishati sio muda mrefu ujao.

The souring on the value of Ruble will only survive like a burning matchstick and in not so distant future it will begin to plummet again.
Sio Zimbabwe hio......mlizoea kuonea vitaifa utopolo......kwa sasa mmepata size yenu
 
Kupanda kwa Ruble ni very temporary baadaye itakuja kushuka tena baada ya nchi za Ulaya magharibi kupata ufumbuzi wa nishati sio muda mrefu ujao.

The souring on the value of Ruble will only survive like a burning matchstick and in not so distant future it will begin to plummet again.
nikukumbushe mkuu inaitwa gas asilia,na aliye jaaliwa kuwa nayo ya kutosha ni Russia,na gas asilia haitengenezwi artificial kiwandani. hapo hakuna ufumbuzi utakaopatkana ,ufumbuzi ni kuipata rubble ili upate gas.No option. Ni sawa na tanzanite ni Tanzania pekee duniani ndiyo inayozalisha haya madini,na hakuna mbadala wa kuipata tanzanite zaidi ya kuichimba Tanzania ,same to Russia ili upate gas ya kutosha naya Bei rahisi unaipata Russia pekee,worldwide !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya Urusi ITALAZIMIKA kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia manunuzi ya gesi!! Asiyetaka aache na hatapewa gesi!!

Mabeberu wanashangaa kuwa hatua walizochukua dhidi ya Urusi zilizolenga kuiangusha kiuchumi badala yake zimeizindua urusi na pesa yake inapaa juu!! Ona hapa:

London (CNN Business)The barrage of sanctions imposed by the West following Russia's invasion of Ukraine decimated the ruble. But one month after the tanks rolled, the currency has made a full recovery and is now trading at levels seen prior to the war. How is that possible?

Russia's central bank has taken dramatic steps in recent weeks to intervene in the market, implementing policies to prevent investors and companies from selling the currency and other measures that force them to buy it.
What has Moscow done to boost the ruble?
The central bank has more than doubled interest rates to 20%. That encourages Russian savers to keep their money in local currency.
Exporters have been ordered to swap 80% of their fore currency revenues for rubles rather than holding onto US dollars or euros.
Russian brokers have been banned from selling securities held by foreigners.
Residents are not allowed to make bank transfers outside Russia.
Russia has threatened to demand payment for natural gas in rubles, not euros or dollars.

Hakuna beberu aliyeweza kuwaza jinsi Putin atakavyojibu mapigo kuhusu vita hii ya kiuchumi.
Kusema ukweli rasilimali za asili ni utajiri mkubwa
🤣🤣🤣 Hivi kweli do we have such zero in our community kweli... 🤣🤣🤣🤣🤣 God help us... Rub.... Unajuwa bora kuwa kimya hivi unakumbuka hayati baba wataifa alivyo ipandisha Tz dhidi ya USD navile aliacha ofisi kutoka nakukutana na mkono wa IFM?
 
Back
Top Bottom