Wapelekee ulaya hizi takwimu wakufumue nazo! Wenzio wanahaha kutafuta gas we unaleta takwimu za deposits ili zisaidie nini? We peleka rubo upewe gas hutaki kachome mkaa nyambafuTatizo la hadithi za vijiweni. Liquefied Natural Gas (LNG) inapatikana maeneo mengi sana duniani, hata hii ya Mtwara na Msumbiji ni yenyewe.
Marekani ndio inaongoza kwa deposit kubwa ya LNG duniani ndipo Russia, Canada, Mexico, Qatar, Iran, Venezuela nk. Inazalishwa na nchi nyingi tu.