Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

Yaani ndo kwanza kunakucha.........andaeni tu omo za kutosha kutoa mapovuView attachment 2172830
Nimeshaielezea hii ni mambo ya kitaalamu ambapo nina mashaka kama unaweza kuelewa.

It's a defense mechanism to try to salvage their currency from depreciation and it's a strategy that won't hold out for much longer.
 
Porojo tu kama kawaida, Tupe uthibitisho wa bei na nchi ambazo zimeikataa.

Wewe hujui namna gesi inavyochimbwa na wala shipping cost sio kubwa kihivyo. Sasa kama Tanzania tunaagiza gesi kutoka nje na tumainunua kwa bei kubwa wakati theluthi mbili ya wananchi ni maskini sasa Ulaya ndio watashindwa.

Ulaya hawako tayari kununua gesi ya Russia kwa bei nafuu ili tu kumsapoti dikteta Putin kiuchumi, hawako tayari.
Nenda kabishane nao.................mwaka huu viwanda vya sabuni vitauza sana .........ongeza povu
Screenshot_20220402-225800_Sputnik.jpg

Screenshot_20220402-225750_Sputnik.jpg
 
Nimeshaielezea hii ni mambo ya kitaalamu ambapo nina mashaka kama unaweza kuelewa.

It's a defense mechanism to try to salvage their currency from depreciation and it's a strategy that won't hold out for much longer.
Babylon kwisha habari yenu.................kamalizaneni na CNN wenu huko na matango pori yenu
 
Unafikiri majasusi ya kremlin hayajui kujipanga!!?
Kama walishindwa kuzui dollar ya u.s.s.r isidondoke na kushindwa kuweka vibaraka Ukrain mwishowe kutumia mabavu tuki achana na Nyuklia hamna super power hapo mkuu.
 
Putin ametuonyesha nini maana ya urais tatizo limetokea amekaa na wataalamu wake wametatua siyo huku tatizo limetokea rais anawaambia mawaziri nendeni mkawaambie wananchi. Watu wanapenda kuwa viongozi wakati hawana uwezo.
 
Back
Top Bottom