Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

Nobody will allow Russia to use gas as a tool to circumvent economic sanctions imposed on it following her invasion of Ukraine.

Russia has so far offered to sell gas to India at a discount of 20% below the market price for fear of experiencing a glut of gas at home.

The fact that Russia is going to experience the shortage of the hard currency simply means the country's economy is going to falter and will definitely default on her loan repayment obligations.
 
Russia akifanikiwa jua nchi nyingi zitafuata akichokifanya Russia kwa rasilimali zao na ndicho hasa US hakitaki.
Nimeshaelezea mno humu kuhusu changamoto zinazoikabili mkakati wa Russia kujaribu kupambana na vikwazo walivyowekewa kiasi kwamba siwezi kurudia tena time without number.
 
Kikao cha EU juzi kimekaa kitu pekee walichokubaliana itawachukua mpaka 2027 kuacha kabisa utegemezi wa Gas na Mafuta toka Russia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka mwisho wa mwaka huu watakuwa wamepunguza mahitaji ya nishati ya Russia kwa theluthi moja na hiyo nyingine ndio ilikuwa iwe hadi 2027.

Lakini kwa kuwa hawako tayari kufanya manunuzi kwa kutumia Ruble ni wazi kwamba huo utaratibu haupo tena na watatafuta hatua za dharura kujikwamua.
 
Lete currency convert hapa tuone hiyo ruble iliyo juu? Acha uongoo $ laki moja ni karibu milioni 9 ruble.,
 
Ruble is being backed by vast natural resources, the Russians have. The dollar is not. They just print! Refer Medvedev interview.
 

Issue ya nishati siyo kama kupanda mapapai, it's a multi dollar investment. Siyo kitu cha kufanya ndani ya mwezi au miwili.
 
Ni utajiri mkubwa ndio ila gesi tumelabidhi mchina.
 
Sio Zimbabwe hio......mlizoea kuonea vitaifa utopolo......kwa sasa mmepata size yenu
 
nikukumbushe mkuu inaitwa gas asilia,na aliye jaaliwa kuwa nayo ya kutosha ni Russia,na gas asilia haitengenezwi artificial kiwandani. hapo hakuna ufumbuzi utakaopatkana ,ufumbuzi ni kuipata rubble ili upate gas.No option. Ni sawa na tanzanite ni Tanzania pekee duniani ndiyo inayozalisha haya madini,na hakuna mbadala wa kuipata tanzanite zaidi ya kuichimba Tanzania ,same to Russia ili upate gas ya kutosha naya Bei rahisi unaipata Russia pekee,worldwide !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣 Hivi kweli do we have such zero in our community kweli... 🤣🤣🤣🤣🤣 God help us... Rub.... Unajuwa bora kuwa kimya hivi unakumbuka hayati baba wataifa alivyo ipandisha Tz dhidi ya USD navile aliacha ofisi kutoka nakukutana na mkono wa IFM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…