Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

Rasilimali mafuta na gesi hazisusiwi hazikosi wateja, wakiondoka ulaya watakuja wateja wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
PUT IN sio GADAFI
 
Soko la India lenye watu bilioni 1.2 ni kubwa sana kuliko soko la ulaya!! Wewe ukisusa wenzio Wala!!
Amina usiamini mabeberu watafungua akaunti za Rouble kimyakimya na watalipia gesi na mafuta kwa Rouble, Kisha maisha yataendelea!! Leo Marekani imefuta vikwazo vya Urusi kuiuzia Marekani mbolea na vyakula! Ameona kiwazo hili hakina maslahi yoyote kwa Nchi yake!!
Jana kansela wa Ujerumani aliambiwa na Putin wewe letr tu Dola au Euro zako sisi tutazibadili kuwa Rouble!! Kansela wa Ujerumani akasema sijakuelewa!! Nipe maelezo kwa maandishi!! Leo maandishi yametoka na utaratibu kuwa Kila atakaye huduma ni lazima sfungue akaunti ya Rouble!! Wewe weka pesa yoyote unayotaka hata hiyo Dola au Rouble, Ila kwa kuwa Akaunti uliyofungia ni ya Rouble Dola yako itabadilishwa kuwa Rouble, Kisha hiyo Rouble italipia gesi au mafuta unayotaka! Hapo wamenuna!!
 
Mmarekani yupo kimya kawatelekeza ulaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu yeye kamwondolea mrusi kikwazo Cha kuuza mbolea na vyakula Marekani, kwa kuzingatia maslahi ya Marekani! Halafu Marekani inawapampu ulaya wagomee gesi na mafuta ya Urusi bila kuzingatia maslahi ya Nchi zao!!
Marekani inachekea tumboni maana inalitaka soko la kuuza gesi ulaya kwa Bei kubwa zaidi!! Hivi wazungu Wana akili kweli?
 
Hapa tunasema Russia imetumia kanuni za uchumi wa ndani. Kumpiga kivita hawawezi maana wamejikusanya Poland mwezi hata hawajui wafanye nini na Russia kaonesha hypersonic nuclear yake ambayo inauwezo wa kufika London kwa dakika 5 tu
 
Kweli wewe ni pongo kwa hiyo unaifananisha russia na TZ tena ya enzi za mwalimu...
 
Naona Msemaji mwakilishi wa uropa na marekani ..umekaza FUVU ...hongera unajitahidi ...[emoji849][emoji849]
 
Ufumbuzi ni wao kununua gas na mafuta kwa gharama zaidi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kikao cha EU juzi kimekaa kitu pekee walichokubaliana itawachukua mpaka 2027 kuacha kabisa utegemezi wa Gas na Mafuta toka Russia.

Sent using Jamii Forums mobile app
na sielew hata wakiendelea kuota moto kwa kuni kustahamili hadi hio 2027 kama nchi hizo zitakalika na uchum kufa.nachokiona kwa utegemez huo wa natural gas useme tu kuazia sasa sitak ges ya mraus ok fine.nitajibana na mgao wa ges mpaka nipate alternative ok. mpka hio alternative ipatikane utakua kama ulivokua? mfan ulikua unakul asbuh supu chapat 3 na soda gafla unakunyw chai andaz moj
unafikir baada ya mwaka utakua kama ukivokua.?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kitendo chakubadili hayo maakulat tuu inaonesha kuna jambo halipo sawa
 
Wacomunist sasa wanaamini CNN [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Umeandika bila paragraph hivyo nimeshindwa kabisa kusoma, shule zetu bado sana.
 
Tatizo la hadithi za vijiweni. Liquefied Natural Gas (LNG) inapatikana maeneo mengi sana duniani, hata hii ya Mtwara na Msumbiji ni yenyewe.

Marekani ndio inaongoza kwa deposit kubwa ya LNG duniani ndipo Russia, Canada, Mexico, Qatar, Iran, Venezuela nk. Inazalishwa na nchi nyingi tu.
 
Mama Samia wa 11. Anaupiga mwingi!
 
We subir ulaya waanze kutafuta magogo ya mkorosho kupikia makande ndo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…