Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

Wapelekee ulaya hizi takwimu wakufumue nazo! Wenzio wanahaha kutafuta gas we unaleta takwimu za deposits ili zisaidie nini? We peleka rubo upewe gas hutaki kachome mkaa nyambafu
 
Ndio zipi hizo hatua
 
Ndio zipi hizo hatua
Marekani wameshaingiza mapipa milioni moja kila siku sokoni soon Canada, Mexico nao wanaongeza uzalishaji na baadhi ya wanachama wa OPEC vilevile .

Lakini juhudi zonaongezwa mara dufu kuzidisha uzalishaji wa Renewable Energy ambapo kufikia mwaka 2030 mahitaji ya nishati za Fossil Fuels yatapungua kwa nusu.
 
Wapelekee ulaya hizi takwimu wakufumue nazo! Wenzio wanahaha kutafuta gas we unaleta takwimu za deposits ili zisaidie nini? We peleka rubo upewe gas hutaki kachome mkaa nyambafu
Russia kama aheshimu huruma kidogo aliyopewa ya kuendelea kuuza gesi ili angalau uchumi wake ufanye kujikongoja basi dealine aliyoweka ya ulazima wa kutumia madafu yake tayari umeshapita basi kama ana ubavu afunge koki tuone kama hawajalala njaa.
 
Yaani ndo kwanza kunakucha.........andaeni tu omo za kutosha kutoa mapovu
 
Sasa Rouble si kama pesa zetu za madafu kwa USD mkuu
 
Russia kama aheshimu huruma kidogo aliyopewa ya kuendelea kuuza gesi ili angalau uchumi wake ufanye kujikongoja basi dealine aliyoweka ya ulazima wa kutumia madafu yake tayari umeshapita basi kama ana ubavu afunge koki tuone kama hawajalala njaa.
Thubutu,hiyo jeuri anaitoa wapi? Akate ataogelea kwa hiyo gesi yake? Nimeona leo Kremlin inasema haitakata supply na Germany na France wamekataa kulipa kwa Ruble
 
Russia wakate bomba wapachike plug tuone kama wana huo ujasiri. Watarudi kule kule kwa USSR.
Russia wameufyata,hakuna cha kukata wala nini? Njaa siku zote haina mbabe.
 
Hio gesi ya Marekani bei ni. Mara 3 ya Urusi Haiwezekani ulaya kununua nchi kibao za ulaya zimeshaikataaa.
 
mnashabikia vita ila mnasahau kuwa solution ya west ipo kwenye bara lenu
 
Hio gesi ya Marekani bei ni. Mara 3 ya Urusi Haiwezekani ulaya kununua nchi kibao za ulaya zimeshaikataaa.
Porojo tu kama kawaida, Tupe uthibitisho wa bei na nchi ambazo zimeikataa.

Wewe hujui namna gesi inavyochimbwa na wala shipping cost sio kubwa kihivyo. Sasa kama Tanzania tunaagiza gesi kutoka nje na tumainunua kwa bei kubwa wakati theluthi mbili ya wananchi ni maskini sasa Ulaya ndio watashindwa.

Ulaya hawako tayari kununua gesi ya Russia kwa bei nafuu ili tu kumsapoti dikteta Putin kiuchumi, hawako tayari.
 
Umewahi fanya Biashara ipi Mkuu? Nguo tu kutoa China mpaka ikija hapa bei mara 2 sembuse gesi?

Huu uthibitisho toka kwa kiongozi wa Hungary

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…