Ujenzi wa Daraja la Busisi haukupaswa kuwepo.Hata kama alikuta ni 1500 yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli aliua uchumi wa Nchi hili lipo wazi sana ikijumuisha na projects zake kubwa zinazopeleka nje hela ndio kabisa.
Mimi au nyinyi mnaolalama shilingi kushuka thamani ndiyo mwaropoka!!?Tatizo waropoka tu
Mkapa ilisimama 95mpaka110 kikwete ikapanda mpaka 225 mpaka227 jpm 2310 ndani ya miaka mitanoAcha uongo tena huyo Magu ilifikia wakati akawa ana I fix $
Upeo wakufikili ni finyuUjenzi wa Daraja la Busisi haukupaswa kuwepo.
Reli kwenda Mwanza, Kigoma haikupaswa kuwepo, wangewekeza kwenye reli ya kwenda Tunduma maana mizigo mingi ya kwenda nje hupitia hapo
Kuhamia Dodoma zaidi ya Tril 4 zimetumika au zitatumika hadi wakamilishe
Kununua mandege
Wananchi wenyewe wataamua,nasio majeshi na vyombo vya dola wanaoiweka CCM madarakani kwa nguvuTuliondoe hili jinamizi tuweke kitu gani?
ACT
CDM
NCCR
AU?
Nchi haina mtetezi ni watetea matumbo
Nchi tuna tatizo kubwa, ccm imeoza, upinzani nao hujielewiWananchi wenyewe wataamua,nasio majeshi na vyombo vya dola wanaoiweka CCM madarakani kwa nguvu
No ilikua 1728.08Hadi JK anatoka dollar ilikuwa ishafika 2100
Duuh hiyo TSh 2350 umeipata wapi mbona kwangu nimeona 2286.00Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Huna akili, JPM aliapishwa Nov 2015 na sio Jan, alimaliza kuunda baraza lake la Mawaziri late DEC 2015, kwa hiyo sera za JPM athari zake ni kuanzia June 2016 huko hadi alipofariki 2021 March, na muda huo wote $ ilichezea 2200 - 2300. Huyu mama ndani ya mwaka tu ameshaipaisha hadi 2400, ikifika 2028 itakuwa 3500 kwa 1 $.Mataahira ya magufuli soma hapooooo
Muda wote wakati JPM anatekeleza hiyo miradi Tsh ilikuwa stable, wameingia majizi na mafisadi tu pesa imeanza kuporomoka thamani, kwani hiyo miradi imeanza mwaka huu ?Ujenzi wa Daraja la Busisi haukupaswa kuwepo.
Reli kwenda Mwanza, Kigoma haikupaswa kuwepo, wangewekeza kwenye reli ya kwenda Tunduma maana mizigo mingi ya kwenda nje hupitia hapo
Kuhamia Dodoma zaidi ya Tril 4 zimetumika au zitatumika hadi wakamilishe
Kununua mandege
Kuajiriwa wapi wakati ni bodaboda huyoOna hili?Yaani wewe kuajiliwa hapo Manispaa unaona umemaliza maisha.
Mwigulu angekuwa mungwana ange re-signLeo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Hizi hela anazochota hawezi acha ππMwigulu angekuwa mungwana ange re-sign
Lkn Hana akil that's why anang'ang',ania. He could leave the office
Msoga ndio aliaribu kila kituNa yeye aliikuta 1650 mwaka 2015
Mpaka anaondoka ongezeko la 660 siku 2160
Sijui angemaliza ingekuwaje
Pumbas, chizi anatoa storyHuna akili, JPM aliapishwa Nov 2015 na sio Jan, alimaliza kuunda baraza lake la Mawaziri late DEC 2015, kwa hiyo sera za JPM athari zake ni kuanzia June 2016 huko hadi alipofariki 2021 March, na muda huo wote $ ilichezea 2200 - 2300. Huyu mama ndani ya mwaka tu ameshaipaisha hadi 2400, ikifika 2028 itakuwa 3500 kwa 1 $.
Na kweli majizi hawa na mafisadi ndio walifungulia account ya plea bargain chinaaaaa πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£Muda wote wakati JPM anatekeleza hiyo miradi Tsh ilikuwa stable, wameingia majizi na mafisadi tu pesa imeanza kuporomoka thamani, kwani hiyo miradi imeanza mwaka huu ?
Huna akili wewe, wewe ndio reflection ya uongozi uliopo saivi , madebe matupu, hata kufanya simple research ya ku goggle exchange rate umeshindwa, nenda kachukue buku 7 yako ya uchawa kutoka kwa majizi sasa.Na kweli majizi hawa na mafisadi ndio walifungulia account ya plea bargain chinaaaaa πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kwahiyo hawakufungua? Account china?Huna akili wewe, wewe ndio reflection ya uongozi uliopo saivi , madebe matupu, hata kufanya simple research ya ku goggle exchange rate umeshindwa, nenda kachukue buku 7 yako ya uchawa kutoka kwa majizi sasa.