Thamani ya Rolls-Royce imeshuka baada ya ajali ya Ginimbi, Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan

Nimesoma taarifa alikua anakwenda 260km/h mpaka 300km/h bara bara ya Durban au Jhb ni pana sana hata hivyo hapo hiyo Honda ilipalazwa tuu sio uso kwa uso mzee na dereva wa fit analaumiwa kwa kutohama site yake ili kumpisha huyo aliekua speed kubwa upande tofauti alipunguza mwendo tuu huyo jamaa hata ndugu zake hawashangai maana wanadai mwendo kasi ndio kitu alichokua anakiamini mno SA zipo ajali mbaya sana kila kukicha kwa sababu ya ulevi na bara bara zao pana wanajiamini mno...
 
Speed 260 ni hatarii Aisee. Na kama kila Mara alikuwa anaendesha mwendokasi namna iyo kwa nini hawakumnyang'anya leseni? Angalia kasababisha vifo hata kwa wenzake. Bora naye alikufa kwenye iyo ajali la sivyo mengi yangesemwa
 
Nae ni mshenzi kweli hivi kweli mtu timamu unaendeshaje gari baada ya kunywa pombe ! Halafu anaenda speed ya 260 Afrika hahahahha most of developed world cap ni speed ya 120
 
Inategemea na jinsi alivyojaribu kukwepa hicho kitoy, maana unaweza hata ukaikwepa pikipiki tu na ukapata madhara makubwa na pikipiki hata isichubuke na wala asisimame
 
Kwahiyo kwakua ni ya gharama ilitakiwa ikipata ajali ichomoe parachute kwa juu iwatoe abiria ndani alaf ijizime na moto alaf ijinyooshe iwarudishe safari iendelee
Ndio mkuu viti viwe ejected
 
Inategemea na jinsi alivyojaribu kukwepa hicho kitoy, maana unaweza hata ukaikwepa pikipiki tu na ukapata madhara makubwa na pikipiki hata isichubuke na wala asisimame
Wamiliki wa magari ya Uingereza mnajifariji sana. Mjapan nouma yani sheeda
 
Jamaa hela na starehe may be zimemponza, alishindwa kuajiri dereva asiyekunywa mwenye discipline
 
Unaweza Kuwa fake car
 
Vipi keshazikwa na hela zake?maana tetesi zilisema atazikwa na mshiko wake kama alivyoagiza.
 
Acheni masihara kama Uwimbombo na Ulindi vinawasha Moto bila dumu la petroli from no where kwanini isiwezekane kwenye injini ambayo kwenye top dead center (TDC) au clearance chamber kuna Moto wa around buku jero shahada za Celcius?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…