Thamani ya Rolls-Royce imeshuka baada ya ajali ya Ginimbi, Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan

Upo sahihi katika upande fulani.

Ila kuna utofauti mkubwa kulingana na uhitaji na satisfaction kwa mtu mwenyewe.

Pia vitu vingi vizuri/ubora kwa sasa vinatambulishwa kwa thamani yake.



Gari ni gari tu na zote zinapita the same road na zaidi zote zinapata pancha
 
Mdau kasema Rozi tozi zimeshuka bei....sijajua zimefika ngapi
 
Wengi huko harare wamehushisha tukio zima na illuminat inasemekana jamaa alikuwa illuminat pia ikumbukwe ginimbi aliwahi kufungwa jera kwa kumtoa kafara ndg yake wa damu kabisa ila baadae akitoka na ndio maisha yakaanza kumnyokeea, maisha yake ni kama movie huyo jamaa
Bado najiuliza gari Kama hyo Moto ulitokea wapi?
 
Inawezekana jamaa nae alikuwa ndo wale wale.
Japo hatumuhukumu ila kwa yanayoonekana inabidi tufikiri hivyo kuwa Ni Mali za ndagu.
 
Yaani kwenye mazishi wwo wanakunywa pombe[emoji16][emoji16][emoji16].
 

Mkuu embu kasome tena. Ginimbi na Durban SA wapi na wapi? Huyo ni Taita wa Zimbambwe na kafia Zimbambwe
 
Wengi mnazungumzia mfumo wa zimamoto. Ila hapo ambacho nakiona kama kosa la kiufundi ni kuweka speed kubwa halafu break balance ikawa ndogo. Ilitakiwa break system iwe kama lambogin au bugat inayoweza kustop from 300kph to 0kph within a second. Maana kama break system ingekuwa imara nadhani asingeshindwa kustop immediatelly
 
Acheni masihara kama Uwimbombo na Ulindi vinawasha Moto bila dumu la petroli from no where kwanini isiwezekane kwenye injini ambayo kwenye top dead center (TDC) au clearance chamber kuna Moto wa around buku jero shahada za Celcius?
Ndani.
Nje kuna maji na oil yanapoza combustion chamber.
Maji yanapozwa na radiator fan
Oil inapozwa na heat exchanger

Hakuna joto hilo nje ya cylinder
 

Mkuu kwani unadhani huo mzinga mpaka wa kung'oka engine huyo dereva mwenyewe alikuwa awareness na anachokifanya?angekuwa na akili za kushika brake hiyo gari angeipindua ila ilienda direct kwenye mti ikimaanisha kwa akili zake alifikiri bado yupo kwenye kiwango kizuri cha udereva.

Ajali imetokea saa 05 alfajiri na wametoka club,tutegemee walikuwa wanakunywa mango juice huko club?pombe ndo imesababisha yote haya na hata mfumo wa ABS ungekuwa stable still ungehitaji umakini wa driver jambo ambalo Ginimbi hata hakuwa na taarifa nalo.
 
Jamaa ni nani, alipona kwenye hiyo ajali?
 
Duh jamaa kafa kaacha marozirozi kibao ngoja nizichange ndugu wakianza kuuza namimi ninunue japo rozi rozi moja
 
Nasikia jamaa alijinunulia jeneza
 
Hv msanii wetu anayejiita rozi rozi from east africa na mbwembwe zote hzo rozi rozi yake alisema ipo njian bado haijafika tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…