Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Amesema zimeshuka thamani sio bei. Kuna tofauti kati ya thamani (value) na bei (price)Mkuu em tuambie limefikia bei gani kwa sasa? Kwenye heading umeandika imeshuka bei ila kwenye maelezo hujaeleza
Amesema zimeshuka thamani sio bei. Kuna tofauti kati ya thamani (value) na ndana na bei mkuu
Bei inaendana na thamani mkuuAmesema zimeshuka thamani sio bei. Kuna tofauti kati ya thamani (value) na bei (price)
Hapana. Mara nyingibe bei inaweza kuwa juu au chini kuliko thamani.Bei inaendana na thamani mkuu
Mungu akipanga lake huwa.Inakuwaje WanaJF?!
View attachment 1626389
Watu wengi wamejiuliza maswali mengi na kushangaa inakuwaje Rolls-Royce Wraith Muingereza lenye thamani ya dollars za kimarekani laki tano (madafu 1.2 billion).
View attachment 1626390
lenye safety features kibao na mbwembwe za kila aina ligongane uso kwa uso na gari ndogo la mjapan Honda Fit bei yake dola 4000 tu na kutupwa pembeni mwa barabara na engine kuruka nje.View attachment 1626392
Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan zile dharau naona sasa hivi zimeshukaView attachment 1626393
Hapo jimekuelewa mkuu...asante kwa ufafanuzi mzuriHapana. Mara nyingibe bei inaweza kuwa juu au chini kuliko thamani.
Kunaweza kununua kitu kilekile Mazense na Samora kwa bei mbili tofauti.
Na pia, mtu anaweza kununua Mercedes Benz mpya ambayo mtu mwingine aliinunua akaitumia kwa siku mbili tu kisha akairudisha, na utauziwa kwa bei nusu ya bei ikiwa mpya. Sio kuwa imeshuka thamani bali imeshuka bei kwa kuwa ilishatoka show room.
Ndio maana TRA ukiingiza gari wanakugonga kitu kinaitwa price uplift, kwa madai kwamba bei ya kwenye karatasi sio thamani ya gari.
Na pia Kahawa ya Kempinski na ya Sinza Hotel, ya Sinza hotel inaweza kuwa na ubora kuliko Kempenski lakini ukalipa mara tano zaidi kahawa ya Kempinski.
Mnaweza kusafiri kwenye ndege siku moja watu wawili wote mko economy lakini mmelipa nauli tofauti. Sio kuwa thamani ya kiti cha ndege kwa mmoja wenu iko juu ya ile ya mwingine.
Kiduku wetu anazo usijali.Hee[emoji1787] hivi haha bongo hizi Rozi Rois zipo kweli maana Sina bahati kuiona hata 1
Ndugu unavyoitamka gari ya ginimbi mm sina mbavu.😂Duh jamaa kafa kaacha marozirozi kibao ngoja nizichange ndugu wakianza kuuza namimi ninunue japo rozi rozi moja
[emoji16]Gari yenyewe inaitwa "FIT" we unategemea nini?[emoji3]
Huyu jamaa alikuwa na mawe mamaeee ana badilisha magari ya kifahari kiasi hicho Kama mboga [emoji849][emoji849] khaaaGinimbi nouma Aisee hadi ndani ya fence yake kaweka lami. Apokelewe tu kishujaa mbinguni View attachment 1626395
[emoji849][emoji16][emoji16][emoji16] jamaa Ana magari Kama kukuKwani hizi gari za Rozi Roisi zinajibadilisha rangi? Au alikuwa nazo za kila rangi?
Usiniambie Huyo ndugu yake alimuua kichawi au kiaje yaani mpaka akafungwa kwani serikali yao inaamini katika uchawi mpaka wamfunge '!?Wengi huko harare wamehushisha tukio zima na illuminat inasemekana jamaa alikuwa illuminat pia ikumbukwe ginimbi aliwahi kufungwa jera kwa kumtoa kafara ndg yake wa damu kabisa ila baadae akitoka na ndio maisha yakaanza kumnyokeea, maisha yake ni kama movie huyo jamaa
[emoji16] WyuuuucBHv msanii wetu anayejiita rozi rozi from east africa na mbwembwe zote hzo rozi rozi yake alisema ipo njian bado haijafika tu?
Usiniambie Huyo ndugu yake alimuua kichawi au kiaje yaani mpaka akafungwa kwani serikali yao inaamini katika uchawi mpaka wamfunge '!?
Inamaana majini yamemtafuna!?
Aisee '" Kwahiyo before ya hapo alikuwa Hana kitu !?Alitoka kwa kuonekana aliua bahat mbaya ila ndio safari ya jamaa ilipoanzia, emirates alikuwa anakanyaga kama kariakoo tu
Ushujaa wa mbinguni ni amali na vitendo vyako, siyo mali...Ginimbi nouma Aisee hadi ndani ya fence yake kaweka lami. Apokelewe tu kishujaa mbinguni View attachment 1626395
Hivi unaponunua gari yenye speed 300 lengo huwa ni nini hasa? Kutembea speed ya km 100??Speed 260 ni hatarii Aisee. Na kama kila Mara alikuwa anaendesha mwendokasi namna iyo kwa nini hawakumnyang'anya leseni? Angalia kasababisha vifo hata kwa wenzake. Bora naye alikufa kwenye iyo ajali la sivyo mengi yangesemwa
Kumbuka kuna waziri alikwepa punda na kusababisha kifo cha binadamu na majeruhi balaaInategemea na jinsi alivyojaribu kukwepa hicho kitoy, maana unaweza hata ukaikwepa pikipiki tu na ukapata madhara makubwa na pikipiki hata isichubuke na wala asisimame
Yeah, ila haimaanishi punda ni mgumu kuliko V8 😂Kumbuka kuna waziri alikwepa punda na kusababisha kifo cha binadamu na majeruhi balaa