Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
expand...
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
Jambo ambalo nadhani halijafahamika bayana ni kwamba; Kushuka kwa thamani ya cheo fulani kunaipunguzia hadhi mamlaka ya uteuzi.

Tuchapeni kazi.

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
expand...
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
Bora hata hao hao wakipata pesa na sisi huku mtaani tutawauzia nyanya vitunguu na mapapai. Zamini wakuu wa wilaya walikuwa majenerali, makanali na MaCP wa polisi. Hawa wako mbali sana na wananchi wakawaida.
 
kama ni hivyo Sabaya alipatikanaje ? nina mafaili ya wateule zaidi ya 20 , hawa walioteuliwa leo , kwani mimi nina uwezo gani kushinda mamlaka ?
 
Nakubaliana nawe kwa 100 %. Vyeo vya Ukuu wa Wilaya vilianza kushuka heshima toka JK alipoingia madarakani. Same as vyeo vya Wakuu wa Mikoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…