JKN aliwahi kusema, "...tuhuma tu ingetosha kumtoa waziri wake kwenye baraza..." kwanini utuhumiwe wewe na si mwingine?
Mfano, Albert hakutuhumiwa, aliyafanya na tukaona kwenye mitandao, yeye na Giggy, chama kikamuona hatoshi kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni, leo anaenda kubeba Taswira ya wilaya na kufanyia maamuzi wananchi zaidi ya jimbo alilokataliwa!
Si nasikia Muro ni kama wale tu?
Kuna wakati ni bora kuwapandisha hawa watendaji wa kata, tarafa, watumishi wa halmashauri, wilaya na mikoa kwenye hizo nafasi kuliko kuleta mtu kutoka kusikojulikana.