Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .

Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno

Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki

NAKULILIA TANZANIA
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
JKN aliwahi kusema, "...tuhuma tu ingetosha kumtoa waziri wake kwenye baraza..." kwanini utuhumiwe wewe na si mwingine?

Mfano, Albert hakutuhumiwa, aliyafanya na tukaona kwenye mitandao, yeye na Giggy, chama kikamuona hatoshi kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni, leo anaenda kubeba Taswira ya wilaya na kufanyia maamuzi wananchi zaidi ya jimbo alilokataliwa!

Si nasikia Muro ni kama wale tu?

Kuna wakati ni bora kuwapandisha hawa watendaji wa kata, tarafa, watumishi wa halmashauri, wilaya na mikoa kwenye hizo nafasi kuliko kuleta mtu kutoka kusikojulikana.
expand...
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
Jambo ambalo nadhani halijafahamika bayana ni kwamba; Kushuka kwa thamani ya cheo fulani kunaipunguzia hadhi mamlaka ya uteuzi.

Tuchapeni kazi.

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
expand...
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
 
Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .

Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno

Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki

NAKULILIA TANZANIA
Bora hata hao hao wakipata pesa na sisi huku mtaani tutawauzia nyanya vitunguu na mapapai. Zamini wakuu wa wilaya walikuwa majenerali, makanali na MaCP wa polisi. Hawa wako mbali sana na wananchi wakawaida.
 
Hata ingetokeaje na hata itakuwa hiyo katiba kufanyiwa marekebisho mwisho wa siku siyo malaika watakaoshuka kushika madaraka hayo. Bado itawahtaji miongoni mwetu kushika nafas hizo kutuongoza coz hakuna muujiza wa nchi kuongozwa na rais pekee.
Hivyo tujifunze kuwa na heshima kwa wateuliwa na tuwape nafas ya utekelezaji wa walioaminiwa na mamlaka husika. Na kwa vile wataongoza miongon mwetu,wakionyesha kupwaya tutoe ushauri kwa wakat huo.
Mamlaka ya uteuzi inapitia kwa umakini taarifa za kila mmoja aliyetjwa hapa kupitia mfumo wa vetting. Tuwapongeze kwa kuteuliwa kwao na tuwatakie heri na mafanikio mbele ya safari yao,tukiwaasa kutojisahau kwan watanzania tunawamulika kila hatua watakayoipitia!!!!
kama ni hivyo Sabaya alipatikanaje ? nina mafaili ya wateule zaidi ya 20 , hawa walioteuliwa leo , kwani mimi nina uwezo gani kushinda mamlaka ?
 
Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine , likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe .

Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za "Kisela" ukiwemo ulevi na ukosefu wa adabu na maadili , jambo ambalo linawafanya wananchi kupigwa na bumbuwazi huku wakishindwa kuendelea kukiheshimu cheo hicho , kiukweli sisi tulio mtaani ndio tunaojua nani ni nani , sasa unapoteua mtu kuwa DC kwa vile tu aliwahi kuvaa fulana ya chama hata kama uadilifu wake ni sifuri inaletea ukakasi mno

Ukiacha Protocal ya kuheshimu Mamlaka ya Uteuzi , ukweli ni kwamba Wakuu wengi wa wilaya wanaoteuliwa hawaheshimiwi na wananchi kutokana na vituko vyao kabla ya teuzi , wengi tumeishi nao na tunawafahamu kuliko hata anayewateua na wala hatudanganyiki

NAKULILIA TANZANIA
Nakubaliana nawe kwa 100 %. Vyeo vya Ukuu wa Wilaya vilianza kushuka heshima toka JK alipoingia madarakani. Same as vyeo vya Wakuu wa Mikoa.
 
Back
Top Bottom