Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikk wa Pili ndani
Huko Kigoma ngoma ni maafisa wa jeshi tu, ukiondoa Kigoma mjini kwingine kote ni maafisa jeshi. Mikoa na wilaya ya mpakani na nchi korofi imekuwa desturi ya kuteua wajeda na mapolisi labda sababu za kiusalama. Fuatilia zaidi mwenyewe
Mtanyooka tu mabavicha wakubwa nyie!
Ulitaka ateuliwe Lisu?