Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

JKN aliwahi kusema, "...tuhuma tu ingetosha kumtoa waziri wake kwenye baraza..." kwanini utuhumiwe wewe na si mwingine?

Mfano, Albert hakutuhumiwa, aliyafanya na tukaona kwenye mitandao, yeye na Giggy, chama kikamuona hatoshi kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni, leo anaenda kubeba Taswira ya wilaya na kufanyia maamuzi wananchi zaidi ya jimbo alilokataliwa!

Si nasikia Muro ni kama wale tu?

Kuna wakati ni bora kuwapandisha hawa watendaji wa kata, tarafa, watumishi wa halmashauri, wilaya na mikoa kwenye hizo nafasi kuliko kuleta mtu kutoka kusikojulikana.
Yaani bado mnaishi maisha ya JKN leo mwaka 2021?,ama kweli tumechelewa kweli kweli
 
Hana madini yyte Yule , shule kitu gani , haiba yake inatosha kumuondoa kwenye hyo kazi .....!!! Kuna sku mtu kama amber ruty atakuja kuwa DC sababu Tu kapita pita school
Haiba gani?,bado mnaishi zama za mawe.
 
In short hatuna Raisi, Chadema wanachelewesha amsha amsha , nchi sa hv ipo balanced....!!! Wananchi wengi hawana imani na huyu mama ukiachilia mbali waliobanwa pumbu na jiwe
Eti hatuna Rais,alafu unasema Nchi imebalance,nani ameibalansisha?,hamjitambui.
 
Tatizo siyo ukuu wa wilaya tatizo majukumu ya ukuu wa wilaya

Jukumu kubwa ambalo DC analo ni kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya

Haya unapowuweka mvuta bange, Mlevi kwenda kuongoza hii kamati unategemea nini zaidi ya Yale Yale ya kina ole sabaya kujitokeza upya
 
tujifunze kuwa na heshima kwa wateuliwa na tuwape nafas ya utekelezaji wa walioaminiwa na mamlaka husika. Na kwa vile wataongoza miongon mwetu, wakionyesha kupwaya tutoe ushauri kwa wakat huo....
Mfano, kuhusu mhalifu sugu sabaya mbona watu walitoa maoni mara nyingi lkn mteuzi wake hakujali kamwe?
 
Leo nimeamini kua akina nasari, jua Kali na mashinji waliuza utuu wao.

Mkuu kama ulimsikiliza Msigwa kwenye Medani za siasa StartTV akihojiwa na Cheif Odemba alisema Aliitwa na Ndugai akaelezwa aachane na chadema ajiunge na CCM akifanya hivyo atakosa ubunge ,waliokubali ndio hao kina Lijua Libutu etc Nasarri ni mpuuzi sana ,yaani ubunge wa miaka mitano mkopo milioni 600 ,kiinua mgongo cha 250m,alikunja mishahara kwa miaka yote hiyo hatimaye akafikia biashara ya utumwa.
 
CCM WANAICHEZEA SANA NCHI HII....KAMA MWANASESERE.....TANZANIA INAPOTEZA HADHI YA KUWA NCHI INASTAHILI KUITWA MBUGA YA WANYAMA....MAANA NI WANYAMA PEKEE WASIO NA UTASHI NDIO WANAOENDESHWA KAMA MAKONDOO......
 
Back
Top Bottom