Haya kadiria kama thamani ya Simba 49% ilikuwa 20b miaka 7 iliyopita, haya taka thamani ya Simba ya Sasa?Hizo ni hisa ambazo zinaamuliwa kwa factors nyingi
Na ukumbuke ilikuwa ni 49% tu ya hisa na sio 100% halafu pia kwa wakati ule rate ya dollar tofauti na sasa, that means thamani ya bilion 20 kwa sasa ni zaidi ya hapo.
Tuje kwenu nyinyi ni criteria gani mlizitumia?
Gharama za usajili msimu huu ni billion 8, mshahara msimu huu imepanda billion 11 Kwa mwaka.Mashabiki wanaojitambua hujiuliza maswali magumu.
Mashabiki uchwara huamini kila wanachoambiwa bila kuuliza. Na hapo ndipo viongozi huanza kupoteza heshima kwa wanachama, wakiamini kuwa wanachama wao ni makondoo tu wa kupokea taarifa bila kuhoji.
- Je, takwimu hizi zina uhalisia?
- Je, bajeti inayotajwa inaendana na matokeo ya kiutendaji?
- Je, mapato yanayotajwa yanaonekana kwenye maendeleo ya klabu?
Hii ndiyo sababu unaweza kuona kiongozi wa klabu anatoa mchango kwa chama cha siasa (CCM) hadharani, bila aibu, ilhali kanuni za FIFA na CAF zinakataza klabu za mpira kujihusisha na siasa—na hakuna anayemuuliza.
Ila yashangaza hao wawili wenye akili ndio wanaoifunga Simba kila leo na kutwaa makombe, je Simba ina mwenye Akili hata mmoja?🤣🤣🤣🤣Yanga wenye akili wawili tu
Tuletee budget ya mwaka jana ya huko u mbumbumbuni ikiwa na hizo criteria ulizo tajaMashabiki wanaojitambua hujiuliza maswali magumu.
Mashabiki uchwara huamini kila wanachoambiwa bila kuuliza. Na hapo ndipo viongozi huanza kupoteza heshima kwa wanachama, wakiamini kuwa wanachama wao ni makondoo tu wa kupokea taarifa bila kuhoji.
- Je, takwimu hizi zina uhalisia?
- Je, bajeti inayotajwa inaendana na matokeo ya kiutendaji?
- Je, mapato yanayotajwa yanaonekana kwenye maendeleo ya klabu?
Hii ndiyo sababu unaweza kuona kiongozi wa klabu anatoa mchango kwa chama cha siasa (CCM) hadharani, bila aibu, ilhali kanuni za FIFA na CAF zinakataza klabu za mpira kujihusisha na siasa—na hakuna anayemuuliza.
Ndugu Mbumbumbu Al Ahly na Mamelodi zina viwanja?Timu haina uwanja,haina vitegea uvhumi vya kueleweka,ina wachezaji wenye thamani ya buku buku halafu unaambiwa ina thamani kuliko Al ahly na Mamelody🚮
Kwamba Simba wote hamnazo....Simba wote mbumbumbu
Hiyo si breaking news ni rerun ya tamthilia ya “Uwanja wa Ndoto” ambayo imechezwa na kila kiongozi aliyewahi kupita Uto.Hiyo ardhi hekari zaidi ya 7 zipo na utajengwa uwanja, baada ya wiki 2 utauona
Unaelewa maana ya Club?Nimekwambia thamani ya kikosi Ahly ni billion 99 sio thamani ya club
Mbona unatapa tapa hayo wewe ambaye ni shabiki mwenye uelewa nionyesha uwanja wa timu yakoHiyo si breaking news ni rerun ya tamthilia ya “Uwanja wa Ndoto” ambayo imechezwa na kila kiongozi aliyewahi kupita Uto.
Mashabiki kama wewe ni rahisi sana kudanganywa
Ukisikia “bada ya wiki mbili tunajenga uwanja,” unashangilia bila kuuliza ramani iko wapi? bajeti iko wapi? mkandarasi ni nani?
Yaani, kila mwaka kuna ahadi mpya, lakini kiwanja chenyewe kinabaki kwenye PowerPoint presentation. Wewe bado unaamini kama vile ni tender ya World Bank.
Kwa hiyo, ndugu, kabla hujapiga makofi ya shangwe kwa ahadi nyingine ya “uwanja wa kisasa,” tafadhali piga hesabu, tafuta historia, na hoji kwa akili. Viongozi wanapenda mashabiki wa aina yako kwa sababu hawana pressure ya accountability wanatoa ahadi, wanapewa shangwe, halafu wanarudi kupiga picha na mabango ya “Coming Soon."
Level yako ya kujua kusoma ni ipi?Haya kadiria kama thamani ya Simba 49% ilikuwa 20b miaka 7 iliyopita, haya taka thamani ya Simba ya Sasa?
Nyie mbumbumbu hamna akili yaani uko unajijibu mwenyewe Mo anawaibia halafu unapinga upumbavu yaani wewe unaona Simba ni ya kuwa na thamani ya billion 20?
Hapa binafsi naona Thamani ya Yanga ni kama billion 900 na hiyo 100b ni kidogo mno
Ona hii mbumbumbu haijui kutofautisha kati ya market value na club value
Hivi kweli unajielewa kweli au ndo mbumbumbu yaani kwamba Ahly ina thamani ya b99 tuUnaelewa maana ya Club?
Unaweza kutofautisha kati ya Club na squad?
Reference niliyokupa imetaja neno lipi kati ya hayo mawili?
Au hujui kusoma?
Nani kasema sisi tuna kiwanja?Mbona unatapa tapa hayo wewe ambaye ni shabiki mwenye uelewa nionyesha uwanja wa timu yako
Jibu nataka wewe unahisi thamani ya Simba Kwa Sasa ni sh ngap?Level yako ya kujua kusoma ni ipi?
Nataka kabla ya kuanza ku argue na wewe niwe nimejihakikishia una uwezo wa kutosha wa kuelewa hoja ili niepuke kuepusha tuition ndani ya mjadala na kujikuta nafanya kazi mbili, kukufundisha namna ya kuelewa hoja na kukufundisha ili uelewe hoja.
SImba inafungwa kila siku na mbumbumbu, sasa wao si watakuwa mtori wa kitarasa kabisa🤣🤣🤣Huko umbumbumbuni wapo mambumbumbu kama alivosema Rage