ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Kama una biashara ambayo cycle yake kwa mwaka ni million 20 kwa mwaka,ukitaka kumu uzia mtu utauza sh ngapi?We ni mfano hai wa kile kinachoitwa “ujinga unaojivunia”
Aina ya ujinga ambao si tu hauna aibu, bali unajitangaza kwa kelele kama vile ni ushindi wa Nobel.
Na kwa bahati mbaya, nyuzi kama zako huwenda ndizo zilikuwa zikitawala timeline ya JamiiForums TCRA walipoamua kufungua ukurasa mmoja, wakakutana na bandiko lako, wakaulizana: “Hivi kweli hawa ni great thinkers?” Kisha wakaifungia jukwaa lote kwa kosa la mtu mmoja asiyejua tofauti ya club value na squad value.
Kuwa specific, biashara ni jambo lenye wigo mpana usisite kuweka maelezo ya kutosha ili ueleweke.Kama una biashara ambayo cycle yake kwa mwaka ni million 20 kwa mwaka,ukitaka kumu uzia mtu utauza sh ngapi?
Eti tuna hekari 7 hiyo ni asset. We unazijua aseti?Huyo ana ubongo wa bata 🦆 hawezi kuelewa
Kujua uongo hakuhitaji kujua ukweli wote, bali kunahitaji uwezo wa kugundua mgongano kati ya madai na uhalisia.(Contradiction between assertions and reality)Sasa una ujuaje uongo kama haujui ukweli
Mkuu umesoma FedhaHiyo Club value inapimwa kwa vigezo gani?
Value ya Club ni asset au kitu gani? Halafu tuje kujadili, Je ni kweli asset za Yanga zina thamani sana kuizidi Al Ahly na Mamelody
Tupe evaluation iliyofanyia hadi kufikia conclusion ya bilion 100
Una maneno mengi ambayo haya make sense, labda nikupe mfano Yanga wali ingia mkataba wa billion 41 na Azam media kwenye issue ya TV rights, sasa kama Azam wametoa hio pesa sio kwamba wali nunua hisa no! ni TV rights tu hio club ina thamani kiasi gani? nyie mlivyo pigwa na Mhindi mnataka kila mtu apigwe kizembeKuwa specific, biashara ni jambo lenye wigo mpana usisite kuweka maelezo ya kutosha ili ueleweke.
Mzunguko wa mapato (revenue cycle) sio kipimo cha moja kwa moja cha kuonesha thamani ya biashara. Thamani ya biashara huamuliwa kwa kuzingatia mambo mengi.
Kuna changamoto zinazoweza kuua thamani ya biashara. Mfano ni biashara yenye migogoro ya umiliki wanafamilia wanazungukana kuuza mali za urithi au biashara ina kesi mahakamani, wanunuzi huingia hofu kununua biashara hiyo.
Ni sawa na changamoto ya kijografia iliyopo hapo Jangwani ina influence kubwa ya kuwakimbiza wanunuzi au wawekezaji eneo hilo.
Ebu tuijadili kwa undani kidogo hiyo biashara kwa ku outline makadirio ya mapato na gharama zilizotumika.
Tuseme biashara ina mzunguko wa mapato ya Tsh milioni 20 kwa mwaka. Hii ni sawa na:
Sasa tuangalie upande wa uwekezaji:
- Milioni 1.67 kwa mwezi
- Takriban Tsh 55,000 kwa siku
Tuseme biashara hiyo imeanzishwa kwa mtaji wa Tsh milioni 60 (gharama za vifaa, kodi, leseni, bidhaa, wafanyakazi, n.k.).
Tujadili Faida halisi inayopatikana
Tuseme faida halisi baada ya gharama zote ni milioni 2 kwa mwaka (sio mzunguko wa mapato, bali faida halisi). Hii ni:
Kwa maana hiyo hapo kutakuwa na changamoto kadhaa
- Milioni 0.17 kwa mwezi
- Tsh 5,500 kwa siku
1. Kwa faida ya milioni 2 kwa mwaka itachukua miaka 30 kurudisha mtaji wa milioni 60
2. Gharama za uendeshaji zinaweza kupanda (umeme, kodi, mishahara nk)
Biashara inaweza kukumbwa na majanga kama mafuriko ikiwa haikufanywi kwenye eneo lenye miundombinu mizuri au changamoto ya kushuka thamani kwa bidhaa.
Kwa hiyo thamani ya biashara ni dhana pana inayohitaji uchambuzi wa kina wa faida, mali, madeni, hatari na tathmini ya fursa ya ukuaji.
😂😂 Dah na hyo ya chini Msimu wa masika hapatamaniki kama dampo....aisee jamaa sijui anawachukuliaje mpk anawadhihaki kwa kuwaita Wala mihogo😂Eti tuna hekari 7 hiyo ni asset. We unazijua aseti?
Viongozi wenu wamewaaminisha kuwa huyo wa juu mmemzidi kwenye thamani na nyie mlivyo mapimbi mmejaa
View attachment 3468088
Unatumia nguvu sana ku-argue mambo ya kipuuzi.Kujua uongo hakuhitaji kujua ukweli wote, bali kunahitaji uwezo wa kugundua mgongano kati ya madai na uhalisia.(Contradiction between assertions and reality)
Uongo mara nyingi hujifichua kwa kupingana na mantiki, takwimu, au mazingira halisi.
Hii ndiyo sababu hata bila kujua thamani sahihi ya klabu ya Yanga, mtu anaweza kusema kwa uhakika kuwa madai ya bilioni 100 ni ya kupotosha.
Makadirio ya Future Value yamepitia tathmini gani ya kimahesabu?Mkuu umesoma Fedha
Kuna kitu kinaitwa Present Value,Market Value , Real Value,Future Value
Mfano Umenunua Gari milioni 40 leo,Hii ni Current Value lakini leo hii unaweza uliza bei la gari hilo hilo unataka kuliuza ukaambiwa Market Value au Bei ya soko ni milioni 30 kumbuka hiyo ni siku moja umelitoa Yard na umeuliza bei mita kadhaa nje ya Yard
Yanga wanaongelea kama watataka kuuza share ,Narudia kama watataka kuuza share wanaongele Future yaani Future Value
Future Value ya yanga watakapoanza kuuza shares ni 100 bilulions lakini ukitaka kupata thamani leo wakiwa hawajaanza kuuza share unafanya Discounting
Discounting ni nini? Ni kitendo cha kuirudisha thamani ya kitu kwa bei ya sasa yaani Je nikikupa milion 20 leo kwa ajili ya nyumba yako ,miaka mitano ijayo itakuwa na thamani gani hiyo milion 20
Sasa Bilion 100 za ya yanga kimehesabu kuna mambo ya kuzingatia
1.Uimara wa shilingi yetu( Strengh of our currency)
2.Mfumuko wa bei (Inflation)
3.Discounting rate au rate of return ,Hii inapatikana kwenye masoko ya hisa na masoko ya Bonds zipo
Kwanza, mkataba huo wa bilioni 41.64 (ambayo Yanga hupokea bilioni 34.8 baada ya VAT) ulielezwa kuwa ni wa Yanga TV—channel maalum ndani ya kisimbuzi cha Azam Media inayorusha maudhui ya Yanga pekee.Una maneno mengi ambayo haya make sense, labda nikupe mfano Yanga wali ingia mkataba wa billion 41 na Azam media kwenye issue ya TV rights, sasa kama Azam wametoa hio pesa sio kwamba wali nunua hisa no! ni TV rights tu hio club ina thamani kiasi gani? nyie mlivyo pigwa na Mhindi mnataka kila mtu apigwe kizembe
Hawa majamaa ni wajinga sana nashangaa sijui kwanini hawastuki licha ya jitihada zote hizi nazotumia kuwafumbua macho.😂😂 Dah na hyo ya chini Msimu wa masika hapatamaniki kama dampo....aisee jamaa sijui anawachukuliaje mpk anawadhihaki kwa kuwaita Wala mihogo😂
Nipe hizo data zinazoonesha Simba ilikuwa na thamani ya 41bilion mwaka 2017Unatumia nguvu sana ku-argue mambo ya kipuuzi.
Simba ilikuwa na thamani ya 41 billion mwaka 2017.
Mwaka 2017 simba ilikuwa na mikataba ya kifedha isiyozidi 1bn.
Ilikuwa haiuzi merchandise katika mfumo unaoeleweka.
Ilikuwa na kikosi cha mostly 1bn.
Jengo lao la msimbazi na assets nyingine wala hazikufikia 2bn.
But ilikuwa na thamani ya 41bn (2017). Tuseme serikali ingeichukua Simba kwa kuwanunua wanachama na mwekezaji na kuiweka hiyo 41bn kwenye soko la fedha kama utt-amis leo ingekuwa na shilingi ngapi? Hiyohiyo Simba ya matambala mabovu aliyoinunua Dewji ilikuwa haina chochote cha maana, leo ingekuwa na shilingi ngapi kama 2017 ilikuwa na 41bn.
JIBU: 109 bn.
Dewji alitoa (supposedly) 49% ambayo ni 20BNipe hizo data zinazoonesha Simba ilikuwa na thamani ya 41bilion mwaka 2017
Wewe akili yako ni fupi sana TV rights ni channel?Kwanza, mkataba huo wa bilioni 41.64 (ambayo Yanga hupokea bilioni 34.8 baada ya VAT) ulielezwa kuwa ni wa Yanga TV—channel maalum ndani ya kisimbuzi cha Azam Media inayorusha maudhui ya Yanga pekee.
Swali la msingi hapa
Je, unaweza kutaja channel namba ya Yanga TV kwenye kisimbuzi cha Azam? Ikiwa haipo, basi mkataba huo unakuwa ni muendelezo wa porojo za viongozi wako kuendelea kuwadanganya mashabiki wake so basically hauwezi kutumia hiyo taarifa kama kipimo cha Club valuation.
Huyo Muha ni mbishi hata uongee niniUnatumia nguvu sana ku-argue mambo ya kipuuzi.
Simba ilikuwa na thamani ya 41 billion mwaka 2017.
Mwaka 2017 simba ilikuwa na mikataba ya kifedha isiyozidi 1bn.
Ilikuwa haiuzi merchandise katika mfumo unaoeleweka.
Ilikuwa na kikosi cha mostly 1bn.
Jengo lao la msimbazi na assets nyingine wala hazikufikia 2bn.
But ilikuwa na thamani ya 41bn (2017). Tuseme serikali ingeichukua Simba kwa kuwanunua wanachama na mwekezaji na kuiweka hiyo 41bn kwenye soko la fedha kama utt-amis leo ingekuwa na shilingi ngapi? Hiyohiyo Simba ya matambala mabovu aliyoinunua Dewji ilikuwa haina chochote cha maana, leo ingekuwa na shilingi ngapi kama 2017 ilikuwa na 41bn.
JIBU: 109 bn.
Ile 20B ya Mo ilitokana na nini?Nipe hizo data zinazoonesha Simba ilikuwa na thamani ya 41bilion mwaka 2017
Hizo ni thamani ya hisa ambazo sio completely 100%Dewji alitoa (supposedly) 49% ambayo ni 20B