Huh ina maana wewe ulikuwa hujui hata hili?Wewe akili yako ni fupi sana TV rights ni channel?
Hisa za 49%Ile 20B ya Mo ilitokana na nini?
20B ni 49% ownership. Siyo thamani ya hisa.Hizo ni thamani ya hisa ambazo sio completely 100%
Sasa hiyo 40B umeitoa wapi?
Mo Dewji hakutoa bilioni 20 kama thamani ya klabu ya Simba, bali alinunua asilimia 49 ya hisa kwa thamani ya Tsh bilioni 20. Hii ni tofauti kubwa sana.20B ni 49% ownership. Siyo thamani ya hisa.
meaning 41B ni 100%. Ownership. Yaani ukitaka kuimiliki Simba 100% itabidi ulipe 41bn in 2017.
Ni kwamba huelewi au umeamua kuleta usumbufu? Mkataba wa Azam media na Yanga wewe unasema wa bodi ya ligi kwahio Yanga anawakilisha timu zote kwenye ligi?Huh ina maana wewe ulikuwa hujui hata hili?
Soma mwenyewe hapa kupitia chanzo cha Eatv
Nakuwekea hapa muhtasari ambao upo highlighted
View attachment 3469003
Tv rights ambayo wewe unaihesabu ni ile ambayo Azam Media aliingia mkataba wa haki ya matangazo na Bodi ya ligi kwa ajili ya timu zote zinazoshiriki ligi kuu. Azam aliweka bonus kuanzia kwa bingwa hadi timu ya mwisho inayoshuka daraja.
Kwa hiyo badala ya kufikiri kuwa TV right ni pesa ambayo imetokana na mkataba wa Yanga TV kupitia TV right na Azam Media ulitakiwa ujue kuwa bado Azam anazilipa timu shiriki zote kupitia haki ya matangazo anayorusha.
Ujiaji ni ugonjwa mbaya sana kwamba basi tupe wewe hesabu ya Mo ilipatikanajeMo Dewji hakutoa bilioni 20 kama thamani ya klabu ya Simba, bali alinunua asilimia 49 ya hisa kwa thamani ya Tsh bilioni 20. Hii ni tofauti kubwa sana.
Hisa ni sehemu ya umiliki wa taasisi au kampuni. Unaponunua hisa, unakuwa na haki ya kushiriki katika maamuzi na kupata gawio kulingana na faida.
Thamani ya klabu (club valuation) ni jumla ya mali, mapato, brand equity, mashabiki, mikataba ya udhamini, na uwezo wa ukuaji wa klabu.
Halafu hiyo Total ya 41B umeipatia wapi?
Ni nani alikuambia kuwa 49% za hisa kwa bilioni 20 basi 51% ni bilioni 21?
Duh! Eti maswala ya uchumi hayahitajiki kwenye kuangalia thamani ya klabu.Maswala ya uchumi mbona hapa wala hata hayaitajiki.
Naweza kujua uongo bila hata kusomea hayo mavitu.
Kulipa mishahara wa 8B nyie sio wa kwanza na wala sio kama mnafanya peke yenu hapa Tanzania.
Na kama kulipa mishahara ya 8B ndio factor inayofanya Club yenu iwe na thamani ya 100B, ngoja nikukumbushe kitu.
Kipindi cha kina Luis Miquison anarejea kwa mara ya pili mishahara ilikuwa inalipwa zaidi ya milioni 600, ambapo ukifanya times 12 range yake ni humo humo kwenye bilion 8.
Sasa najaribu kuangalia uhusiano wa 8b kwa mwaka na thamani ya Club kuwa 100B, natafuta hiyo correlation siipati.
Na ukumbuke huo ni mfano tu wa hapa hapa ndani ila kwakua thamani ya Club yenu mliyoitaja imeonekana kuvuka mipaka kwa kuzipiku timu nyingi hapa Afrika. Unaweza kujiuliza je Al Ahly wanalipa shilingi ngapi ya mishahara?
Je Al Ahly, Mamelody, Esperences nk kwanini wazidiwe thamani na Club yenu ikiwa maeneo mengi ya kiuendeshaji wameonekana kuwazidi kwenye bajeti?
Stock au hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Yaani kama una 51% of the company's stock basi wewe ni majority shareholder/owner of that company.Mo Dewji hakutoa bilioni 20 kama thamani ya klabu ya Simba, bali alinunua asilimia 49 ya hisa kwa thamani ya Tsh bilioni 20. Hii ni tofauti kubwa sana.
Hisa ni sehemu ya umiliki wa taasisi au kampuni. Unaponunua hisa, unakuwa na haki ya kushiriki katika maamuzi na kupata gawio kulingana na faida.
Thamani ya klabu (club valuation) ni jumla ya mali, mapato, brand equity, mashabiki, mikataba ya udhamini, na uwezo wa ukuaji wa klabu.
Halafu hiyo Total ya 41B umeipatia wapi?
Ni nani alikuambia kuwa 49% za hisa kwa bilioni 20 basi 51% ni bilioni 21?
Kipi hujaelewa hapo na source nimekuwekea au hujaona?Ni kwamba huelewi au umeamua kuleta usumbufu? Mkataba wa Azam media na Yanga wewe unasema wa bodi ya ligi kwahio Yanga anawakilisha timu zote kwenye ligi?
Mjadala ushageuka kigodoro.Halafu jezi madela na vijora😂😂😂😂
Tatizo lako si hoja, ni uwezo mdogo wa kusoma kwa uelewa na kupambanua muktadha.Duh! Eti maswala ya uchumi hayahitajiki kwenye kuangalia thamani ya klabu.
Kwa uelewa wako maswala ya thamani ya klabu au kampuni yanahusiana na nini kama siyo uchumi?
Stock au hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Yaani kama una 51% of the company's stock basi wewe ni majority shareholder/owner of that company.
Stock value inayotumika mara nyingi ni P/B ratio amabyo inatokana na book value na market value. Book value ya kampuni ni assets zote za kampuni minus liabilities za kampuni. Yaani hiyo ndiyo thamani ya kampuni aidha kwenye soko au kwenye vitabu.
Sasa simba haijafloat shares zake ili kujua market value yake kwa hiyo tunaenda na book value ya Simba. Yaani mali zake minus madeni yake.
Since 49% ni 20 basi 51% ni 20.8 ambayo just to make a point easily unasema 21.
Sasa 20 + 21 ndiyo unapata 41. That is the book value of Simba in 2017. Thamani ya Simba kwenye vitabu.
Sasa kama una wanachama laki moja unaweza kuuza shares 100,000 stock market ya Dar, ili ujue sokni watu wapo tayari kununua share moja kwa kiasi gani.
Unaweza kuzifloat shares watu wasinunue, yaani sokoni ikawa haina thamani unayothani itakuwa nayo, but kwenye vitabu, thats the value tunayoenda nayo sasa.
Kukujibu kirahisi, kwanzan lazima uelewe time factor. Two years later bei itakuwa juu kwa sababu ya interest rate, au inflation yaani vitu vinapanda thamani by time hasa assets kama subscription za cable (ving'amuzi) pia kutokana na interest rates za banks (annually).Mfano wa halisi wa Simba na Mo ni kwamba kunammazingira ambayo yalikuwa yana mfeva Mo kulinganna na baadhi ya sifa.
Endapo mwekezaji wa nje (sio raia wa Tanzania) angeonesha nia ya kununua asilimia 49 ya hisa za Simba, kuna uwezekano mkubwa bei hiyo ingekuwa juu zaidi ya bilioni 20.
Nndapo mwekezaji wa nje (sio raia wa Tanzania) angeonesha nia ya kununua asilimia 49 ya hisa za Simba, kuna uwezekano mkubwa bei hiyo ingekuwa juu zaidi ya bilioni 20.
Mo Dewji alipata bei hiyo kwa sababu alikuwa “favored” kutokana na:
- Uraia wake na uelewa wa mazingira ya Simba.
- Historia ya familia yao kuwa washirika wa karibu wa Simba kwa miaka mingi.
- Mapenzi ya dhati kwa klabu, si kwa faida ya kifedha tu.
Hii inaonesha kuwa bei ya bilioni 20 haikuwa ya soko huru, bali ya kimkakati, ya uaminifu, na ya mapenzi ya klabu.
Nianze kujibu hoja yako kwa kukupa rejea za mifano ya hisa ambazo zimewahi kuuzwa.
Hii ni website inayoonesha mauziano ya hisa kati ya Comcast pamoja na NBC Universal
Comcast ilinunua 51% ya NBCUniversal kwa $13.8 bilioni mwaka 2011. Baadaye, ilinunua 49% iliyobaki kwa $16.7 bilioni mwaka 2013 bei ya juu zaidi kwa asilimia ndogo.
Tukirejea hoja yako maana yake hapa hii 49 ingeuzwa kwa bei pungufu ya ile $13.8 bilion ya hisa 51 ambayo iliuzwa mwanzo. Lakini mambo hayakuwa hivyo.
Nakuuliza tena umetoa wapi hiyo kanuni ya kusema 49% kwa bilioni 20 basi 51% ni bilioni 21? Je, una ripoti ya kifedha, valuation rasmi, au ni makadirio ya mezani? Na je, unajua kuwa kuna mifano mingi ya kihistoria ambapo hisa hazijauzwa kwa uwiano wa moja kwa moja kama unavyolazimisha hapa?
Usijibu kirahisi, jibu kihalisia.Kukujibu kirahisi, kwanzan lazima uelewe time factor. Two years later bei itakuwa juu kwa sababu ya interest rate, au inflation yaani vitu vinapanda thamani by time hasa assets kama subscription za cable (ving'amuzi) pia kutokana na interest rates za banks (annually).
Pili kuna issue ya market value, yaani Simba wangefloat shares zikagombaniwa na kuwa badala ya 1000/- wakati wa IPO inakuwa hadi 1500, basi thamani ingepanda.
So, for the sake of argument kwamba wewe leo hii unaona 100bn in nyingi, ndiyo nakwambia hizo siyo nyingi .
20bn$ ni book value, siyo market value kwa sababu shares hazijawekwa sokoni ili tujue bei halisi ya share moja. Kwa sasa hivi tunaenda na book value.
Very basic concept, very clear, easily Yanga kwa sasa hivi ni 100bn and more.
Usijibu kirahisi, jibu kihalisia.
Niambie umetoa wapi hiyo kanuni ya kusema 49% kwa bilioni 20 basi 51% ni bilioni 21? Je, una ripoti ya kifedha, valuation rasmi, au ni makadirio ya mezani? Na je, unajua kuwa kuna mifano mingi ya kihistoria ambapo hisa hazijauzwa kwa uwiano wa moja kwa moja kama unavyolazimisha hapa?
Hivi wewe upo timamu kweli? ni lazima kuwe na channel maalumu ndio yaitwe maudhui? Zile footage za Yanga wakiwa mazoezini, Yanga day, activities zote zinazo rushwa na Azam media zinarushwa kwa mkataba gani?Kipi hujaelewa hapo na source nimekuwekea au hujaona?
Zingatia sana maneno yaliyo bolded, italic na yaliyopo kwenye brackets
Ngoja nikuwekee kwa mtindo huu labda pengine utaelewa vizuri zaidi:
Yanga yaingia Mkataba mnono na Azam Media | East Africa Television
Klabu ya Yanga imeingia Mkataba wa miaka 10 na Azam Media wa haki za matangazo za Klabu kupitia Yanga TV wenye thamani ya Bilioni 41.64 pamoja na VAT lakini yanga itapokea kiasi cha Bilioni 34.8 za kitanzania.www.eatv.tv
Hiyo link hapo juu ni taarifa rasmi ya mkataba unaosema Yanga waliingia mkataba wa miaka 10 na Azam Media kwa ajili ya Yanga TV, wenye thamani ya Tsh bilioni 41.64 (pamoja na VAT), lakini Yanga itapokea Tsh bilioni 34.8.
Mpaka hapa tunakubaliana bila shaka kuwa mpaka hatua hii wote tunaelewana.
Sasa, mkataba huu ulieleza wazi kuwa Yanga TV ingekuwa na channel maalum kwenye kisimbuzi cha Azam, ikirusha maudhui ya klabu ikiwemo mazoezi, maandalizi ya mechi, vipindi vya mashabiki n.k. Hiyo ndiyo maana ya “TV rights” katika muktadha wa mkataba huu. (Hapa sijui kama tunaelewana)
Lakini mpaka leo hii:
Kwa hiyo, project haipo, na kwa mantiki hiyo, mkataba haujatekelezwa kama ulivyotangazwa. (Hapa sijui kama utakubali kuelewa japo panaeleweka)
- Hakuna channel ya Yanga TV kwenye kisimbuzi cha Azam. (Hapa tunaelewana)
- Hakuna namba ya channel inayotambulika. (hapa pia tunaelewana)
- Hakuna maudhui yanayoonekana kama ilivyoahidiwa. (Hapa napo tunaelewana)
Sasa wewe umedai kuwa Yanga inalipwa na Azam Media bila kuwepo kwa hiyo Yanga TV. Ni kweli Yanga inalipwa, lakini swali ni:
Je, inalipwa kupitia mkataba gani?
Ikiwa ni mkataba wa pili, basi hiyo siyo exclusive TV rights ya Yanga, bali ni mgao wa kawaida wa klabu zote. Na kama ni mkataba wa kwanza, basi tuonyeshe hiyo channel iko wapi—vinginevyo, tunajadili nadharia ya kufikirika.
- Ni huu wa Yanga TV ambao haujatekelezwa?
- Au ni kupitia haki za matangazo ambazo Azam Media hulipa kwa klabu zote zinazoshiriki Ligi Kuu kupitia Bodi ya Ligi?
Kwa hiyo, kabla ya kusema Yanga anaingiza bilioni 41 kwa TV rights, thibitisha kwanza kuwa hiyo project ipo active. Vinginevyo, ni sawa na kupewa picha ya samaki wakati una njaa—hauwezi kula picha, wala haikusaidii.
Kwa hiyo kwako wewe huoni mantiki ya kuwa 49% of 41 is roughly 20.Usijibu kirahisi, jibu kihalisia.
Niambie umetoa wapi hiyo kanuni ya kusema 49% kwa bilioni 20 basi 51% ni bilioni 21? Je, una ripoti ya kifedha, valuation rasmi, au ni makadirio ya mezani? Na je, unajua kuwa kuna mifano mingi ya kihistoria ambapo hisa hazijauzwa kwa uwiano wa moja kwa moja kama unavyolazimisha hapa?
Nimekutolea mifano ya kihistoria kuhusu uuzaji wa hisa ambayo inabatilisha hesabu yako. Mifano ile ndio inaweza kuwa termed kama mantiki na sio hizi speculations zakoKwa hiyo kwako wewe huoni mantiki ya kuwa 49% of 41 is roughly 20.
Au 20 is 49% of 41.
Huoni mantiki kabisa. Ceteris peribus.