Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
Le mutuzzzz gud sana nacho kupenda unajibu clear sana bila kupanic kweli degree tatu zimefanya kaz angekuwa celebrity mwngne angetukana
 
Le mutuzzzz gud sana nacho kupenda unajibu clear sana bila kupanic kweli degree tatu zimefanya kaz angekuwa celebrity mwngne angetukana

- Unapo deal na watu hawana elimu huwezi kuongea lugha yao, unachohitaji ni kuwaonyesha kwamba wanahitaji elimu ambayo hawana na wewe unayo ndicho kinachoendelea hapa wengi hawana elimu kabisa ila wana access ya mitandao tu so ninajaribu kuwaelimisha tu kidogo kidogo ingawa ni kazi kubwa sana kama unavyoona mwenyewe, hahahahahaha

- Mis lucy lov U baby

Le Mutuz
 
Anatia aibusana na na anamtiisha aibu mzee wake yaani utafikiri yuko kindergarten maana anayoyafanya ni ya watoto wa nursery school yaani anashangaza sana huyu

Eti binamu, huyu jamaa anashangaza sana.....! Yaani hata ndugu zake naamini hawapendi kujitambulisha kuwa ndugu Yao wanaogopa...
 

Sasa wewe una busara....???
 
Nasema ivi;wewe hujawahi kutoka kwenye magazine ukiwa kwenye cover...itaje iyo magazine basi.
 

Ok, so mkuu kati ya hizi apartments zako ile moja ulirekebisha choo kwa nini usimpe mama yako anayeishi kwenye kile kibanda?unajisikiaje
 
- Umekuja mbio kuchangia pointless? hahahahahaha

Le Mutuz

Nina wasiwasi na malezi yako utotoni!,kiufupi nikwambie tu kwamba haustahili kufanya haya uyafanyayo kwa umri wako! Hata kama uko kwenye socio netz.Kuna umri ukifika hustahili ku-act ama kufanya vitu flani ambavyo watu wenye busara watakudharau na kushindwa wakuweke kundi gani.

Najua utanijibu kwa kebehi na matusi lakini huu ni mtazamo wangu,binafsi nilidhani ungejijengea heshima sana kama ungekuwa ukijadili mambo ya maana katika socio netz,mfano njaa vijijini,maisha magumu wa wa-tz,mfumuko wa bei,rushwa,uzandiki.Nilitegemea kwa kuwa umepata mwanga kidogo nje ya nchi ungekuja na kitu tofauti,lakini badala yake unafanya yale yale.Nashindwa kukutofautisha na mwanafunzi aliyemaliza IT pale IFM na kuanzisha ki-socio net (ki-blog/website)chake na kuanza kujadili mambo yasiyo na mbele wala nyuma.Labda nikuulize tofauti yako ni nini na wamiliki wengine wa v-blog?.Kwa nini unapenda kujiingiza katika malumbano yasiyo na msingi na kusababisha uonekane usiyefaa na pia kudharaurika.

Take this:Kama kuna watu wanakusifia kwa tabia zako basi ni wanafiki,em chukua muda kutafakari marafiki zako wa karibu ni wa aina gani acha wale wenye heshima zao ambao mpaka uwasalimie wewe na sio wao kukutafuta wewe,kisha ukipata jibu usinijibu,

Najua utatukana ila nadhani umeelewa
 
- hahahahahaha nipo mwenyewe hapa si unanijua le big Celeb hahahahaha

Le Mutuz

Ivi kwanini kunibloku kule Insta lakini wakati mie kazi yangu ni kucheka tu sasa sakata la Jana kuwatoa panya road nililionea kwa majirani tu
 
Mnajisumbua bure tu kubishana na hilo jibaba,ukiona mtu mzima anajisifu mwaka mzima kwakua jina lake lime chapwa kwenye kopo la Cola,wakati milions ya watu wameweka majina,doesnt need a degree to know some is wrong with him,wewe angalia majibu yake kama Bwakila.!
 
hivi kwanini le mutuz amekua akipingwa vikali kwa kila analoongea au analofanya? mimi binafsi naona anaendesha maisha yake apendavyo yeye bila kumuathiri mtu yeyote
 
Last edited by a moderator:
bahati mbaya, sio mnywaji wa soda hizo mara kwa mara, na wala siwezi kuhangaika eti natafuta kopo lenye jina langu....

huyu jamaa ni mjinga sijapata ona, hivi ni mwanaume au mwanamke? kabanga naomba unijibu
 
hivi kwanini le mutuz amekua akipingwa vikali kwa kila analoongea au analofanya? mimi binafsi naona anaendesha maisha yake apendavyo yeye bila kumuathiri mtu yeyote

Haaaaa! Jalibu kuact kama mature ww we ukimwona mtu anapotea unakaaa kimya tuuu!!! Ni vema kumlekebisha kozi ni binadamu mwenzentu
 
Last edited by a moderator:

hivi lulu ni rafiki yako au mjukuu wako? sijui ukiwa nae anakuitaje grandpa?au
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…