Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuzzzz gud sana nacho kupenda unajibu clear sana bila kupanic kweli degree tatu zimefanya kaz angekuwa celebrity mwngne angetukana
Anatia aibusana na na anamtiisha aibu mzee wake yaani utafikiri yuko kindergarten maana anayoyafanya ni ya watoto wa nursery school yaani anashangaza sana huyu
- Infact namtafutia mali yeye unajua sisi Christians tunaambiwa na Mungu kwenye bible kwamba "Baba mwenye busara huwaachia urithi watoto wake" so far nikifa leo nitamuachia urithi nilioupata kwa sababu ya kuwa Celebrity, au unasema ninakosea?
Le Mutuz
Shikamoo le mutuz
- hahahahahaha U know me I love it!1
Le Mutuz
- Infact namtafutia mali yeye unajua sisi Christians tunaambiwa na Mungu kwenye bible kwamba "Baba mwenye busara huwaachia urithi watoto wake" so far nikifa leo nitamuachia urithi nilioupata kwa sababu ya kuwa Celebrity, au unasema ninakosea?
Le Mutuz
- Umekuja mbio kuchangia pointless? hahahahahaha
Le Mutuz
- hahahahahaha nipo mwenyewe hapa si unanijua le big Celeb hahahahaha
Le Mutuz
bahati mbaya, sio mnywaji wa soda hizo mara kwa mara, na wala siwezi kuhangaika eti natafuta kopo lenye jina langu....
hivi kwanini le mutuz amekua akipingwa vikali kwa kila analoongea au analofanya? mimi binafsi naona anaendesha maisha yake apendavyo yeye bila kumuathiri mtu yeyote
huyu jamaa ni mjinga sijapata ona, hivi ni mwanaume au mwanamke? kabanga naomba unijibu
- Well, unasema niache kutembea bila kuvaa mashati au what sijakuelewa vizuri, halafu ungeweka nyumba ya mama yako kwanza ndio ungekuwa na nguvu ya kuongelea nyumba za mama wa wengine, Super Star Lulu Michael is my super friend hivi hapa tumeanza kuchaguliana marafiki siku hizi? Infact natayarisha another party yaani "The All White Party Phase Two" at Escape One mwisho wa mwezi ujao, sijawahi kuwa Mpambe nina marafiki tunaofanana, Jumuiya ya Wazazi kumbe ni yako wewe una cheo gani huko? hahahahahaha
- I hope nimekusaidia mkuu hahahaha
Le Mutuz
haa haa angalia avatar yake mkuu.
Ukiamkiwa itikia marahaba we babu acha kujifanya mtoto
ujana mtamu jamani ....haa haa