The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Mkuu hakuna asiejua kuwa Yesu alikuwa anazungumza lugha inayoitwa"Aramaic"unatakiwa ujue kuwa kiyahudi ni lugha yenye lafdhi("dialet") tafauti kama lugha nyengine,Yesu alikuwa anazumngumza kiyahudi (Jewish Palestinian Aramaic),

Yesu hakuandika kitabu,alikuwa anahubiri mafundisho yake kwa wanafunzi wake na kwa wanaemfata wa Israel,,,Hakuna biblia iliyondikwa kwa lugha ya Yesu(Aramic),katika karne ya kwanza watu walianza kukusanya na kuandika yale aliyohubiriwa Yesu..

kwanza mkuu nafikiri unajua kuwa hizi biblia ziko tafauti,biblia ya King james ina vitabu 66,biblia ya RC ina itaby 73,..

china nakuwekea copy and paste ya historia ya uandishi wa biblia:-

"The Bible was written over a period of 1400 to 1800 years by more than 40 different authors. The Bible is a compilation of 66 separate books, divided into two primary divisions: the Old Testament (containing 39 books) and the New Testament (containing 27 books). It is believed that all of the books of the Bible were written under inspiration of the Holy Spirit."..

kwa kiswahili cha kwaida:-
"Biblia iliandikwa katika miaka ya 1400 mpaka 1800 na zaidi ya waandishi 40,bibilia ni mkusanyiko wa vitabu zaidi ya 66,ambavyo vimegawika katika makundi mawili;Agano la kale(Taurat) lenye vitabu 39 na Agano jipya lenye lenye vitabu 27.,inasadikia kuwa vitabu vyote vya biblia vimeandikwa kwa mujibu wa roho mtakatifu"

Sasa Mkuu hii sentensi ""inasadikia kuwa vitabu vyote vya biblia vimeandikwa kwa mujibu wa roho mtakatifu", ndio utagundua kuwa sio kila kitu kilichiandikwa kwenye biblia ni maneno au mafundisho ya Yesu,ni mawazo ya watu

Mandiko ya mwanzo ya biblia ni barua aliyoandika Paulo kupeleka sehemu mbali mbali kwa waumini wa kikristo,..

Mkuu Paulo ndie muazilishi wa dini ya Kikristo,Yesu hakuhubiri kuwa aabudiwe,Yesu hakuhubiri kuwa yeye ni mtoto wa mungu,Yesu hakuhubiri kuwa atakufa kwa dhambi za binadamu,haya yote kayaleta Soul aka Paul,Asilimia 70% ya aliyokuwemo kwenye Biblia ni maneno ya Paulo
Wewe hujasoma biblia ili kuelewa umesoma izo propaganda ambazo hata mimi nilipokua upande ambao nahic ww upo nilifundishwa hivyo
 
Wewe hujasoma biblia ili kuelewa umesoma izo propaganda ambazo hata mimi nilipokua upande ambao nahic ww upo nilifundishwa hivyo
Sijasema popote Yesu ameandika biblia ni kweli Yesu hakuandika hata kitabu kimoja kilicho ndani ya biblia...kuhusu lugha ya Yesu aliyokua anazungumza ni kweli Yesu alikua anazungumza kiaram..ni kweli biblia imeandikwa na watu tofauti tofauti wapatao 40 kwa kipindi cha miaka 1600 hivi...but biblia imeandikwa kwa lugha kubwa ya kwanza kiebrania na kiaram kidogo (aramaic) kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki na kuanzia kitabu cha luka hadi ufunuo vimeandikwa kwa lugha ya kigiriki ambayo ndio lugha iliokua inatumika zamani kama lugha ya kimataifa kama tu ilivyo kiingereza leo (ingawa leo kuna lugha nyingi za kimataifa) mimi hata kwa muda huu niko chuo kikuu huku Jordan najifunza lugha ya kiebrania cha kale.
 
Pinga hoja kwa hoja mkuu,inaonekana kama umemalizikiwa na hoja,ninayoandika sio propaganda,huo ndio ukweli wenyewe,sina ubaya wowote na dini ya kikiristo naamini kuwa kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini..

Yesu(Isa) ni mtume wangu nayakubali mafundisho yake,naikubali miujiza yake aliyopewa na Mungu,lakini simkubali Paulo aliekuja kuyageuza yale aliyoyafundisha Isa(Yesu)

Mkuu vitabu vya mwanzo vya biblia ni "Codex Vaticanus" na "Codex Sinaiticus",Codex maana yake ni maandishi ya mwanzo yaliyondikwa kwa mfumo wa kitabu,hapo mwazo watu walikuwa wanandika kwenye mabango au wanachonga maandishi kwenye mawe etc

"Codex Sinaiticus" hivi ni vitabu vyenye mafundisho ya Yesu vilivyogunduliwa katika Mlima wa Sinai,vilikuwa vimeandikwa Kigiriki,"Codex Vaticanus" hivi vitabu viligunduliwa Rome,vilikuwa vimeandikwa lugha ya kilatini

Vitabu vyote hivyo viligundulika wakati wa utawala wa mfalme wa Kirumi anaeitwa Constantine aliekuwa na asili ya Kigiriki,ambae alitawala kuanzia February c. 272 AD – 22 May 337 AD,hivi vitabu viligundulika katika miaka ya 306-307 miaka ya mwisho wa utawala wake

Lugha ya Kigiriki ilikuwa sio lugha kubwa,lugha iliyokuwa inatawala wakati huo ilikuwa lugha ya Warumi,kilatini(latin),Ulaya,Mashariki ya kati ,Afika kaskazini zote zilikuwa chini ya utawala wa Kirumi(Roman Empire)

Mkuu nakupa testi piga hesabu tangu kufa kwa Yesu mpaka utawala wa Constantine vilipogundulika vitabu vya mwanzo vyenye mafunzo ya Yesu ni miaka mingapi,kutokana na biblia ya John, Yesu alikufa katika miaka ya 30AD au 33AD,kutokana na tarehe za kalenda ya Kiyahudi
 
Sijaishiwa hoja ndg yang ila sioni sababu ya kuvutana juu ya vitu hivi pia kama ilivyo kwako sina tatizo na unayoamini hata mm niliamini hayo wakati fulani ila niliporuhusu akili yangu kukubali kufanya utafiti zaidi nilibadili maoni yangu,kuhusu hizo codex ndg yangu umezitaja kwa usahihi na ziko nyingine nyingi ambazo zilivumbuliwa na zinaendelea kuvumbulia ila unapaswa kujua mwaka wa kuvumbua codex fulani hakumaanishi huo ndo mwaka ambao codex hiyo iliandikwa kwa kuongezea hizo codex ni nakala zilizonakiliwa na wanakiliji ambao ktk kiswahili tunawaita wamasora...yaan walizalisha nakala zingine kutoka ile ya awali kabisa hivyo kulikua na original text then wakanakiri na kutokeza mpya(kumbuka wamasora hawakuwa watafsiri) naomba niishie hapo ila mambo haya yanakua matamu mkiwa mnajadili uso kwa uso)
 
Kwahiyo

Kwahiyo umekubaliana na mimi kuwa Biblia ni vitabu viivyoandikwa na watu sio maneno ya Yesu wala Mungu,na hivi vitabu vinabadilishwa badilishwa mpaka tunakosa kujua yapi ni Mafundisho ya Yesu(Isa) na yapi yalionadikwa na watu wengine kama akina Paul

Maandishi ya kwanza ya biblia (Codex) yalikuwa yameandikwa kigiriki,unajuakuwa Kigiriki na Kiyahudi ni lugha mbili zilizotafautiana sana kimfumo,unajua kuwa makosa mengi yametokea katika kutafsiri maneno kutoka lugha ya kiyahudi kwenda Kigiriki...

Waislam tunaamini Injili,kitabu alichoteremshiwa Yesu hakipo,hakikuifadhiwa kwasababu Mungu hakutaka kiifadhiwe,kwa vile,kama ilivyoelezwa kwenye Biblia kuwa atakuja Mtume mwingine kuja kuziendeleza sheria(Taurat),Mtume mwingine wa mwisho alieletwa na Mungu ni Muhamad,kaja na kitabu cha Quran,kilichoendeleza sheria(taurat),kilichoendeleza yale yaliyofundisha na kuyaacha Yesu....
 
Sasa hiyo injili iliyoandikwa kwa lugha ya aramaic au hebrew iko wapi??

Na kwanini tupewe tafsiri kwanini tusingefundishwa na kitabu hiko original na kwanini hata maneno ya hiyo injili hatuoneshwi ??

Wewe unajua hiyo injili ya yesu iko wapi?? maana hiyo ndiyo yenye ukweli wa kila kitu

Watu wamekuja ghafla wakasema hii ndiyo injili ya yesu je wametupa vigezo au ushahidi wa wanachokisema

kwamba ni kweli ni tafsiri ya injili ya yesu au ni tafsiri waliyoiweka wao kwa interests zao??

Wala hata kutuonesha hiyo injili na jinsi ilivyotafsiriwa mkuu??

Endelea kunielewesha mkuu kuhusu hayo
hahaa hahaa ..mamaeee"" watu Mna akili "" ngoja nitafute popcorn""
 
Kwani hao si ndiyo waliomsulubu yesu sasa kuna uhakika gani kwamba wao pia sio waharibifu hao wanalaana ya mungu

Kwa sababu hiyo bado hao unaosema waisrael kwani wote ni wakristo wengi wao ni wayahudi

Sasa kama wao wayahudi watawezaje kuisoma injili na kuifata kama ilivyoandikwa na yesu??

Kwa sababu hiyo pia wanaweza ku fabricate hiyo injili kwa kua hawakua watu wanaomfuata na kumuamini yesu
haha hahaa..wewe Jamaa agiza soda naja kulipa""
 
Ndugu siku ukijua Siri iliyomo katika Biblia hakika utakuja hapa kutoa ushuhuda na kufuta hiki ulichokiandika hapa na zaidi utamtukuza huyu ambaye unaona kama hayupo lakini yupo na anakutazama kwa kila kitu.Kumjua Mungu na kumuishi ni zaidi ya walichochukua wamissionary..yawezekana waliingiwa tamaa na kumuacha Mungu na kukimbilia Mali lakini nafikiri dhumuni walilokuja nalo mwanzo kabisa wa safari yao ni kuieneza habari njema ya ufalme wa Mungu lakini kama binadamu waliingiwa na tamaa na kuigeukia Mali ingawa tayari ujumbe wa neno la Mungu ulikuwa umeishafikishwa tayari
yaani umeongea bonge la point lakini hujajua kuwa ni point"" umesema yawezekana aaliingiwa na tamaa na kumuacha Mungu"" na kukimbilia Mali"" mpaka hapo unaona wazi kuwa watu wenye sifa hii wanapo kuletea habari "" hawapaswi tena kuaminiwa na Jamii"" maana huwenda pia hata muandishi aliyefasiri hiyo bible nae aliingia tamaa baada ya kuonyeshwa pesa "" na watu waliotaka abadilishe maudhui yaliyopo katika ..kwaajili ya masilahi yao ya kiutawala naye akajikuta anazichukua pesa ..na kupindisha ukweli kwa kuutakasa uwongo ""
 
Uzuri wa biblia ni hadithi zake nzuri za kubuni ambazo zinakonga nyoyo za watu ila hakina tofauti na riwaya ya kusadikika na uzuri wa quran ni kwa kiarabu maana umepangwa kwa mashairi mazuri kama nyimbo lakini vitabu hivi vyote vina uwongo ndani yake
 
Ni nani aliweka uwongo kwenye hivyo vitabu na lengo lilikuwa nini?

Na imekuaje huo uongo umeweza kudumu hadi sasa?
 
Wewe hujasoma biblia ili kuelewa umesoma izo propaganda ambazo hata mimi nilipokua upande ambao nahic ww upo nilifundishwa hivyo
Acha unafiki mkuu upande gani huo ambao wewe ulikuwepo ukafundishwa hivyo ??

Kama ni uislamu basi uislamu hauitambui bible wanaitambua injili kitabu cha issa au yesu

BTW kuwa straight forward kama una uhakika na unachokiongea
 
Hivi our forefathers/ancestors before colonialism imani yao juu ya Mungu ilikuaje wakuu?
 
Acha unafiki mkuu upande gani huo ambao wewe ulikuwepo ukafundishwa hivyo ??

Kama ni uislamu basi uislamu hauitambui bible wanaitambua injili kitabu cha issa au yesu

BTW kuwa straight forward kama una uhakika na unachokiongea
Uislam ndo unakufundisha kuita wengine wanafiki ambao hata hawajaongea na ww chochote?toa hoja acha lugha hizo. Mbona wenzio wanatoa hoja wanaeleweka?
 
hicho ni kitabu tu its just an opinion of the author its very silly stating opions as facts .
 
Siku zote unachokitafuta utakipata, na mtazamo wako utakufanya uamini nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe, biblia ina mambo mengi yaliyotabiriwa na kutokea miaka mingi kabla na baada ya kufa kwa Kristo...

Bible is the book of ages

Ila huyu bwana ametokea from no where na ku publish mawazo yake then mtu unamwamini biblia inatuambia tangu kuzaliwa hadi kufa Yesu hakutenda kosa lolote, alizaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, ni masihi, alikuwa ni Mungu kamili na mwanadamu kamili, kuzaliwa, kuteswa na kufa kulitabiriwa na nabii Isaya miaka zaidi ya 500 kabla ya kuzaliwa Kwake, sasa hiyo torati aliiba ya nn!! Ikiwa yeye alikuwa na uwezo kamili?

Wakuu nisikieni niwaeleze kitu " siku za hii dunia kuendelea kuwapo ni chache mno mnoo na anachokifanya Shetani sasa nikujaribu kuwapumbaza watu ili mwishoni wasikombolewe anachofanya ni kumfanya kila mtu awe addicted na kitu fulani ambacho kitamsonga asichukulie maanani habari za ujio wa Yesu ila siku zilizobaki ni chache mno na for sure Yesu atakuja soon na tutamwona dalili zote zimeshatimia na huu ni wakati wa kujitoa haswa ktk utumishi wetu kwa mkristo jambo jingine lolote mbali na Kristo linapaswa kuwa la ziada kwa ajili ya matayarisho ingekuwa ni zile siku za nuhu basi hili tuseme ndio ingekuwa juma la mwisho kabla ya mafanikio"
 
Mkuu kwanza kabla sijakujibu niambie ww unaamini kitabu gani ktk hivyo viwili je unaamini mkusanyiko wa vitabu au kusoma
Sioni ulazima wa mie kusema naamini kitabu kipi hapo au siamini kabisa,maadamu tunazungumzia uwongo uliyopo kwenye hivyo vitabu basi hakuna haja ya kujua imani yangu.
 
Back
Top Bottom