Wewe hujasoma biblia ili kuelewa umesoma izo propaganda ambazo hata mimi nilipokua upande ambao nahic ww upo nilifundishwa hivyo
Sijasema popote Yesu ameandika biblia ni kweli Yesu hakuandika hata kitabu kimoja kilicho ndani ya biblia...kuhusu lugha ya Yesu aliyokua anazungumza ni kweli Yesu alikua anazungumza kiaram..ni kweli biblia imeandikwa na watu tofauti tofauti wapatao 40 kwa kipindi cha miaka 1600 hivi...but biblia imeandikwa kwa lugha kubwa ya kwanza kiebrania na kiaram kidogo (aramaic) kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki na kuanzia kitabu cha luka hadi ufunuo vimeandikwa kwa lugha ya kigiriki ambayo ndio lugha iliokua inatumika zamani kama lugha ya kimataifa kama tu ilivyo kiingereza leo (ingawa leo kuna lugha nyingi za kimataifa) mimi hata kwa muda huu niko chuo kikuu huku Jordan najifunza lugha ya kiebrania cha kale.
Pinga hoja kwa hoja mkuu,inaonekana kama umemalizikiwa na hoja,ninayoandika sio propaganda,huo ndio ukweli wenyewe,sina ubaya wowote na dini ya
kikiristo naamini kuwa kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini..
Yesu(Isa) ni mtume wangu nayakubali mafundisho yake,naikubali miujiza yake aliyopewa na Mungu,lakini simkubali
Paulo aliekuja kuyageuza yale aliyoyafundisha Isa(Yesu)
Mkuu vitabu vya mwanzo vya biblia ni
"Codex Vaticanus" na
"Codex Sinaiticus",Codex maana yake ni maandishi ya mwanzo yaliyondikwa kwa mfumo wa kitabu,hapo mwazo watu walikuwa wanandika kwenye mabango au wanachonga maandishi kwenye mawe etc
"Codex Sinaiticus" hivi ni vitabu vyenye mafundisho ya Yesu vilivyogunduliwa katika Mlima wa Sinai,vilikuwa vimeandikwa Kigiriki,
"Codex Vaticanus" hivi vitabu viligunduliwa Rome,vilikuwa vimeandikwa
lugha ya kilatini
Vitabu vyote hivyo viligundulika wakati wa utawala wa mfalme wa Kirumi anaeitwa
Constantine aliekuwa na asili ya Kigiriki,ambae alitawala kuanzia February c. 272 AD – 22 May
337 AD,hivi vitabu viligundulika katika miaka ya 306-307 miaka ya mwisho wa utawala wake
Lugha ya
Kigiriki ilikuwa sio lugha kubwa,lugha iliyokuwa inatawala wakati huo ilikuwa lugha ya
Warumi,kilatini(latin),Ulaya,Mashariki ya kati ,Afika kaskazini zote zilikuwa chini ya utawala wa Kirumi(Roman Empire)
Mkuu nakupa testi piga hesabu tangu kufa kwa Yesu mpaka utawala wa
Constantine vilipogundulika vitabu vya mwanzo vyenye mafunzo ya Yesu ni miaka mingapi,kutokana na biblia ya John, Yesu alikufa katika miaka ya 30AD au 33AD,kutokana na tarehe za kalenda ya Kiyahudi