The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The bold atlst naweza kukufahamu kwa kiasi. Sijamfahamu Nifah cz sijawah hata chat naye ktk wall za Jf.
Bt Bold i knw ua a gud boy kwa upande wangu, sababu maandishi yana tusadifu kwa kias kikubwa sana ingawa sio wote unaweza wajua kupitia maandishi, ila najua ua a gud boy.

Ushauri tu ni kuwa mbaki katika utakatifu( holliness) kwa Mungu na Mungu atawaheshimu.
Kiasi kwamba msimpe shetani nafasi ya kuwashitaki na kupata mwanya wa kuwatawanya kama kondoo asiye na mchungaji

Kingine, huu uzi yap umefungua kwa nia njema kabisa lakini weka akilini kuwa umefungulia vita na mlango ambao shetani atapigana

Kitu kizuri hakuna cha kumshinda Mungu ukirud huko juu nilicho andika kuwa kaa ktk utakatifu Mungu atasimama upande wenu

Na katika marriage/ rlship lazima mmoja au wote wawili awe na imani vzr ili aweze kumbeba mwenzie ktk kuomba kwa Mungu

Kama wote hamsali ile ya kusali mnavyo ijua bas anzeni sasa
Na kama mmoja kasimama vzr na Mungu aombe ili hata vita ikija msitetereke sababu ngao yenu ni Mungu aliye hai

Kingine huwa napenda kuwaambia watu kama unaweza epuka vita, usipigane upuka kuliko kujichosha bila sababu
Hivyo kuna vita vingine kabisa mnaweza kuvikwepa , mvikwepe sio kuwa ni mpo dhaifu hapana

Ni kwasababu kama njia nyingine ipo kwanini uende ktk njia ya hatari

I wish u all da best ombi langu ni mapenzi ya Mungu kwetu ni mema sana na anatuwazia mazuri kila siku

Hivyo Mapenzi ya Mungu yatimizwe kwenu
Amen
 
Kwa posts zetu hapo juu sikutegemea kukutana na swali la aina hii [emoji17].

Basi sawa...
Yes,we are.
Wooooow......

I predict this to be one of the Happiest and successful couple on the planet earth....

Very sincerely, I wish you all the best...

Sababu tu ninawazidi sana umri, ningejitolea kuwa mmoja wa wapambe wenu siku ya tukio.,.

Ila ninawaahidi nitashiriki kikamilifu ktk kufanikisha harusi yenu.. COUNT ON ME...
 
Hongera kichwa na cheupe. Kumbe cheupe hasnati Ndio huyu...alaaah
 
Uhusiano unaoanza kwa staili kama yenu ya uadui huwa unadumu sana ilo nikuakikishieni ninahakika mtadumu ktk pendo zito na la dhati daima.Mimi ninawaombea mfikie malengo yenu mliojipangia na msitusahau wadau ktk kufanikisha.
 
Kama mna maanisha ni jambo la kheri sana, Mungu awabariki. Lakini The Bold iseje ikawa vile ulitaka kutunga hii hadithi yako nzuri kuwahi kutokea Iliyonifanya nikeshe cku nimeanza kuifuatilia tokea episode one, huyu( husnart) cheupe wetu kuwa ni mpango mkakati wako, haki ya nani, Nitasimamia utekaji.
 
Jamani nawapongeza sana na kuwatakia kila lililo la heri katika mahusiano yenu. Binafsi, najifunza jambo moja kubwa hapa: mapenzi hapo popote. Cha msingi ni nia na uamuzi thabiti.

Lakini pia niwaombe jambo moja tu: endapo mtaachana, yaani kama itatokea mnaachana (siombei itokee), basi mje kupost tena. Mtuambie mlianzaje kugombana na hata kuachana. Huenda kuna jambo kubwa tutajifunza tena.
 
Mimi Binafsi nawapenda sana! Tena sana..

Sasa nikisema niandike hapa kile alichoandika the bold ni cha mtoto afu hata sherehe siyo yangu..[emoji23][emoji23]

Nitaandika wala sitamaliza! Ila sisi tunawakia kheri katika maisha yenu..

Muumie wote juani, mcheke wote kivulini..

Mshikamane penye upepo wa majaribu, mshikane mikono penye utulivu pia.


One thing:

Mmeamua kubadilishana mioyo, basi kila mtu alinde moyo wa mwenzake..


All the best guys..
 
Mhhhhhhh uliwahi kujaribu kunipm nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Anyways...niliwahi kumuambia Bold kuwa "Hata kama sio JF,mimi nae lazima tungejuana/kuonana kwingine na kuwa kama tulivyo sasa.
Huu ni mpango wa Mungu,we are soulmates"
Hukumbuki...

Kuna kipindi nakuja pm afu naambiwa "you can not start conversation...." [emoji23][emoji23][emoji23].

Umesahau dada?
 
Tunakupenda zaidi kaka mpendwa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa bhana

Katika woooooote wewe umetukumbusha jambo la muhimu sana,na umenifanya nikatafakari kwa kina...
Nitazingatia hilo broh,natumai na mwenzangu pia.
Actually tuko makini na kujali pia ila tutazidisha umakini.
Asante sana [emoji120]
Msalimie chalii wangu wa nguvu..!

One love [emoji123]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
It's not a loughing matter, navyomjua blaza Ze Bold asivyokuwa na subra lazima alishaonja tunda..

Hivyo lazima mje-muungame bana.. .

Si unajua Waebrania 99:79 inasema usionje kabla hujaizinishwa na Bruda..
 
Hongereni sana Bold & Nifah kwa kuwa katika mahusiano kwa muda wa miezi sita mfululizo, japo ni muda mchache kulinganisha na changamoto zilizomo katika mapenzi na maisha kwa ujumla lakini ni mwanzo mzuri, ushauri wangu ni kuwa halalisheni kwa kufuata taratibu husika ili mtambulike rasmi kwa jamii mjiepushe na uzinifu. NAWATAKIA MAISHA MAREFU YENYE KHERI NA BARAKA TELE.
 
Back
Top Bottom