bwii
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 1,429
- 2,669
Haaaahaaa alinijibu kisiasa tu. Naona kakwepa swali langu la mwishowakikujibu nitag mkuu 😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaahaaa alinijibu kisiasa tu. Naona kakwepa swali langu la mwishowakikujibu nitag mkuu 😀😀😀😀
Wooooow......Kwa posts zetu hapo juu sikutegemea kukutana na swali la aina hii [emoji17].
Basi sawa...
Yes,we are.
Amen. Karibuni sana.Awwwwwwwww asante sana mkuu,tuombe kheri...tutakufahamisha.
Ubarikiwe sana.
Daaadeki,Never Mkuu! Nitazeeka na huyu bibie.. Endelea kutuombea
Dada!Huyu sio yule jamaa yetu 'Khaito' kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hukumbuki...Mhhhhhhh uliwahi kujaribu kunipm nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anyways...niliwahi kumuambia Bold kuwa "Hata kama sio JF,mimi nae lazima tungejuana/kuonana kwingine na kuwa kama tulivyo sasa.
Huu ni mpango wa Mungu,we are soulmates"
Msalimie chalii wangu wa nguvu..!Tunakupenda zaidi kaka mpendwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa bhana
Katika woooooote wewe umetukumbusha jambo la muhimu sana,na umenifanya nikatafakari kwa kina...
Nitazingatia hilo broh,natumai na mwenzangu pia.
Actually tuko makini na kujali pia ila tutazidisha umakini.
Asante sana [emoji120]
Waje! Ila lazima waungame kwanzaHe he he na uzee wangu humu kumbe napitwa namna hii ....hongereni sana ....Love is beautiful thing ...nendeni madhabahuni sasa ....bruda Otorong'ong'o atawaongoza ....
It's not a loughing matter, navyomjua blaza Ze Bold asivyokuwa na subra lazima alishaonja tunda..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]