The bold: Waraka


Samlove una id ngapi wwewe
 
Last edited by a moderator:
The bold pole bhana tafuta maisha achana na huyo malaya.

We usikubali wamekumwagia mboga yako na wewe mwaga ugali wao hawa watumishi uchwara wanatakiwa washtakiwe wanawafilisi sana watanzania huku nyuma ya pazia wakiyafanya ya firauni mimi nitabaki kuwa KKKT mpaka naingia kaburini eti nafufua wafu thubutuuu uchawi mtupu na Mungu ndio anawaumbua wanafiki sasa wacha movi iendelee.
 
Last edited by a moderator:
we hujiulizi kama mbasha alijua mkewe analiwa na Gwajima na zaidi sana Gwajima anauza unga..mbona aliendelea kusali pale...mpaka agundulike amebaka ndio aongee...hahahahaha ... yaani kicheko

mmh mlokole huyo mnaenda mwezi wa nane katika mkutano

ETI KAMA ALIJUA ANALIWA..duh maneno ya kondoo wa gwajima
UNAKUJA KUSUTANA HUMU ,,why usipambane kiroho
 
as usual misukule kurudi ndio kazi yetu..tutaweka online videos.. wakirudi; na Iringa wapo wengi sana...

Watu wangu wanaangamizwa (na watumishi wa sample ya kwenu) kwa kukosa maarifa. Mungu anisamehe kwa kumsemea mabaya pastor wenu.
 
okay nakupa link itakayo kupeleka umuone mbasha na flora wakiwa moro kipindi mkutano tumehama kutoka uwanjani ...

na tarehe tafadhali sawa

na ni kipindi gani

na kuwe na udhibitisho kama ni kweli wanatoka moro

usije ukatupa link wapo katika gari tu sawA

maana issue ni je alirudi nae au alimua ha mchungaji akawa nae kipindi hicho

tunahitaji tujue mbivu na mbichi

mtumishi wa bwana awe salama au si salama dont logout till we make it down tonight
 

Aahahahahha! Unajaa kwenye kumi na nane sasa. Taraatibu The bold, anawapa dose. Nakumbuka Mbasha alipokamatwa ukalithibitishia jamvi kwamba kutakuwa hakuna story from The Bold coz yeye ni Mbasha. Huyo hapo The bold sasa.
 
Last edited by a moderator:

umesema unatupa wakiwa wanarudi pamoja plz BE WISE
 

wewe mungu anakuona haya sisi hatujui ila usitake tukubali uongo
 
Nimejifunza mengi kutoka kwako The bold binadamu tunakutana na magumu kila kukicha pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:

Afu sio lazima m quote thread nzima bhana tutawachoka muda sio mrefu wengine tunatumia vi tecno vidogo
 
Nimejifunza mengi kutoka kwako The bold binadamu tunakutana na magumu kila kukicha pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
umekuwa bonge la msukule nowadays.

hahahahaha Mkuu utanifanya nipaliwe na maji, namheshimu sana Mch Gwajma, namuonea huruma sana Mbasha lakini nataka nibaini ukweli sitaki kutumia hisia ktk hili suala maana ni zito sana.
 
the @Bold we ni mume wa yule dada yetu muimbaji au la?
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza mengi sana kutoka kwako The bold binadamu tunakutana na magumu kila siku mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…