The bold: Waraka

mkuu kwann na wewe usimchome huyo nabii na kumfungulia kesi kuwa anauza madawa ili iwe jino kwa jino

The bold ni msanii tu anajitaftia kisingizio, yaani kabaka ndo akaja kujua hayo, je alivokua anasali hapo mbona hakusema? kwamtu mwenye uelewa ashajua kinachoendelea na anachoandika humu ni utapeli tu tena akifikiri kuna atakaemjibu.
 
Last edited by a moderator:
We Danganywa Tu Ila Elewa Na Atoe Jibu Kabaka Au Hakubaka, Asitake Kuonewa Huruma Kwakuunganisha Stor Za Uongo, ANGEKUA KWELI ANAJIELEWA ANGEELEZA KWANINI ALIBAKA NA SI POROJO ZAKE IZO

We umesema pwaint, humu wanamtetea sana wanaropoka sana, na kashfa nyingi wamesahau ema alibaka, angekuwa kabaka dada zao au kawachana wao minduku ningeona kama wasingecharuka, wamsaidie asibake mana hilo ni pepo kashaona utamu wa ngawira
 
atoe iyo namba na aseme mahakaman au afungue kesi, huo ni UONGO siku zote alikua hajui hadi amebaka ndo awake
 
Hivi kumbe filamu hii bado inaendelea.
 
We umesema pwaint, humu wanamtetea sana wanaropoka sana, na kashfa nyingi wamesahau ema alibaka, angekuwa kabaka dada zao au kawachana wao minduku ningeona kama wasingecharuka, wamsaidie asibake mana hilo ni pepo kashaona utamu wa ngawira

alafu eti anataka ku divert kwakuanzisha mada zingine, yeye atoe sababu ya kubaka na mbona alikua anaenda palepale anapodai mke wake eti anaibiwa yeye anaenda kusali,NI MJINGA TU NDIE ATAMUAMINI HUYU JAMAA NA POINT ZAKE NI ZA CHEKECHEA MNO
 
atoe iyo namba na aseme mahakaman au afungue kesi, huo ni UONGO siku zote alikua hajui hadi amebaka ndo awake

Braza mbona hii shughuli ulojipa ngum sana,, aiseee we kweli Samlove Jitahidi Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana The bold,
Kitu ambacho hukukijua toka mwanzo ni kua KUNGURU HAFUGIKI!!
Cha msingi pigania tu ushinde kesi yako mahakamani, ya uraiani utakuja kupambana baadae.
Wewe bado ni kijana na una nguvu, achana na huyo muuza K
 
Last edited by a moderator:
We umesema pwaint, humu wanamtetea sana wanaropoka sana, na kashfa nyingi wamesahau ema alibaka, angekuwa kabaka dada zao au kawachana wao minduku ningeona kama wasingecharuka, wamsaidie asibake mana hilo ni pepo kashaona utamu wa ngawira
Huenda ni pepo kweli, lakin kama ni pepo Flora alilitoa kwa 'mchungaji' kule morogoro...baada ya kushiriki naye tena ndipo pepo likamwingia imma na kuanza kumtamani 'shemeji' yake. Eva alipokula tunda, alimpa na mumewe...kifupi dhambi/pepo wa uzinzi liliingia kwenye familia ya imma kupitia kwa flora.
 
braza mbona hii shughuli ulojipa ngum sana,, aiseee we kweli samlove jitahidi mkuu!

mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live
 
Last edited by a moderator:
siku zote hakujua eeh? Hadi kabaka ndo akajua, yeye ajibu tu amebaka au hakubaka?
Ulishawahi kuona mtu mzima aliyebakwa akabakwa mara mbili na mtu yule yule kwenye mazingira yanayoshabihiana?
 
uwe rahisi kusoma ila usiwe rahisi kuandika usichokijua, akili ya kuambiwa changanya na yako
 
mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live

Oh! Na ikithibitika mtukufu Mchungaji anahusika na hili saga itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…