The bold: Waraka

The bold: Waraka

Mbasha ni mpuuzi na kwajima ni mshenzi sana kumbe ni muuza sembe?nimejua leo jamaa naona na yeye anajaribu kumwaga ugali



Naona Mbasha anazidi Kujiumbua, Kuchafuka kwa Flora Hakutamfanya Mbasha awe salama.

Ni bora angetulia aangalie anawezaje kutatua matatizo.

Kuhusu Gwajima kuuza Sembe inawezakana. Alishakiri kuwa kabla ya kuwa Mchungaji alikuwa mshenzi tu.
 
mmh mi namshangaa hayo mbasha

siku zote hakujua eeh? Hadi kabaka ndo akajua, yeye ajibu tu amebaka au hakubaka?

Kaamua kulipiza, ila hapo ametengenezewa muvi inavyoonekana, flora alishajua kuwa maovu yake na gwajima yanaenda kujulikana ndipo walipoamua kumtengenezea muvi kijana wa watu, shame on u Flora, Mungu anayajua yaliyomo ndani ya vifua vyenu na atawalipa hapa hapa duniani.
 
Mwanamke -------- ataivunja ndoa yake kwa mikono yake, mkuu the bold aka Mbasha huyo mwanamke hakufai kabisa, na huo sio mwisho wa maisha, maisha yataendelea, Muombe Mungu na atakuonyesha njia.
 
Naona Mbasha anazidi Kujiumbua, Kuchafuka kwa Flora Hakutamfanya Mbasha awe salama.

Ni bora angetulia aangalie anawezaje kutatua matatizo.

Kuhusu Gwajima kuuza Sembe inawezakana. Alishakiri kuwa kabla ya kuwa Mchungaji alikuwa mshenzi tu.

Na bado anaendeleza Ushenzi wake.
 
mkuu nimeandika kwa hofu ya mungu na yale yanayotoka moyoni the bold numemjua kabla ya hiishida sipendi apotee hata kidogo sipendi roho yake ipotee naitaji kumwona akiwa mawinguni tukimtukuza mungu wa mbunguni na wala juu akuna jf kilamtu anandika anavyotaka


hata weeee pia naitaji safariyako umalize salama tuzidi kuwaweka maombini wamalize matatizo yao salama

mungu akubariki narudia tena hii nineno frm baibo

don't touch ma annointing

sijawahi ona waliowasema vibaya watumishi wa mungu wakaishia pazuri

mungu akutakase awarehemu wote

amin

Gwaj ni Mtumishi wa mungu au Mungu??????
 
Wanaume Aina Ya Mbasha ni Janga Kwa Taifa ..


Jamaa anakuazima Mke, nawe unamuachia Moro unarudi dar... Unajua kuwa Jamaa anagonga, Bado unakenua tu Meno..

Ningekuwa na Mamlaka ningeamuru utandikwe Bakora tano kwa kuaibisha Wanaume..

Pumbaf zako.

Nshenzi kabisa akui
 
No wonder Gardner hataki kuacha kazi yake ya utangazaji,yaaan kazi yako iwe kum'manage mkeo tuuu basi....khaaaa...ni zaidi ya umarioo....
 
Nina ushuhuda wa dada yangu jinsi alivyonusurika kutafunwa na mtumishi mmoja huko Mtoni kwa Aziz Ali miaka ya 2000. Kweli dada hadi Leo hawaamini tena hawa Watumishi "wapya" Baki na imani yako
 
Makosa ya Mbasha ;
-kama alijua Gwajima anazini na mke wake alichukua hatua gani.?
-Kwa nini aendelee kusali kwa mtumishi ambae sio mwamiminifu tena kwa ndoa yake, pia muuza Sembe na mfufua misukule ya uongo.?
 
Back
Top Bottom