Ndugu,
Place of signing kisheria is an issue, kwa sababu inabidi kufuata sheria za mahali mkataba ulipo sainiwa! Poor Tanzanian what a shame waziri mzima anakimbia na mihuri yetu kwenye brief case/rambo/Koti???? ili akasaini mkataba Ulaya???
Insane!
Ndugu,
Place of signing kisheria is an issue, kwa sababu inabidi kufuata sheria za mahali mkataba ulipo sainiwa! Poor Tanzanian what a shame waziri mzima anakimbia na mihuri yetu kwenye brief case/rambo/Koti???? ili akasaini mkataba Ulaya???
Insane!
let me leave for now so that you can have time to prepare for preparation for purchase of fuel helicopter for country tour!!!
Nimeona hii MOU na Microsoft nayo haina mahali pa kusainia japo ilisainiwa Cape Town,SA.
http://www.tanedu.org/MOU_between_Microsoft_and_Tanzania_(signed_CapeTown_11th_July_2006).pdf
Guys!!! Let me ask, assume IPTL and RICHMOND was signed in Statehouse or Kwenye nyumba za dini, does it make a good contract,,,? naomba tujadili kama mkataba ni fake and not where it has been signed guys, let THINK BIG...
It is still doesn't click to me, if this is real issue unless you are saying the contract itself is fake and in addition to that it has been signed in HOTEL...
Kali nyingine hii hapa. CCM imejifunga bao!!!!.
Sidhani kabisa kama kusaini mkataba nje ya nchi ni tatizo. In fact hata JK na Mkapa wameshasaini mikataba nje ya nchi kama vile
ule wa Microsoft na serikali ambao kama sikosei JK alisaini kule South Africa.
Hoja mbili...Tatizo hapa ni kwamba kwanza walisimamisha kusaini mikataba ya madini, pili hata waliposaini walifanya kimya kimya bila kutangazia umma na baada ya hapo wakalificha hata bunge. Hapo ndipo panaponuka hasa.
Zitto aliposema hawakwenda hata kusainia kwenye ubalozi wetu naona hapo ndipo aliwamaliza. Kuna mambo mengi bado wanaficha kuhusu hili jambo.
Dua Kwa nini unaruka ruka, nimekuomba url ya Hotuba ya JK ya mei mosi... sasa huleti nisome mwenyewe na mimi sitaki kuambiwa na JF member nataka from original source... kama huna tulia wengine wataniletea...
JF,,, aliyo nayo aniletee please.
Ni nani anakumbuka mjadala wa "waTanzania, au wapiga kura wa Tanzaniakuwa ni wajinga?"
Kichwamaji:Kalamu,
Nadhani wewe hukuwa kwenye maandamano na mkutano, la sivyo usingeandika haya. naona wewe umandika kutokana na ulichosoma magazetini au mtandaoni. Kwa taarifa yako viongozi wamezungumza mambo ya maana sana ambayo yametukuna sisi waandamanajimagazeti ambayo yaliona helikopta ni laini yua kuuzia message yao. Lakini katika hotuba nzima ya Mbowe hilo ni neno lililosemwa kwenye sentensi moja tu.
Jihadhari kufanya uchambuzi kwa kutumia tu message za magazeti.
Sisi tulio 0nthe ground tunajua kinachoendelea sasa. Vuta subira mdogo wangu siyo wewe tu mwenye kuona mbali katika hili. Wapo wengi na kazi imeanza, usianze kulaumu kabla ya hata kujua kinachoendelea.
Tatizo hapa ni kwamba kwanza walisimamisha kusaini mikataba ya madini, pili hata waliposaini walifanya kimya kimya bila kutangazia umma na baada ya hapo wakalificha hata bunge. Hapo ndipo panaponuka hasa.
Mikataba ya Madini,
Ndugu Wananchi;
Jambo lingine ambalo nililizungumzia mwaka jana lilihusu mikataba ya madini. Katika hotuba yangu ya Shinyanga nilizungumzia haja ya nchi yetu kutazama
upya mikataba hiyo ili tuweze kunufaika na rasilimali ya madini aliyotujaalia Mwenyezi Mungu. Nilisema pamoja na kuthamini sana mchango wa Makampuni ya madini yaliyowekeza hapa nchini, bado kuna haja ya kuweka utaratibu mzuri utakaotuwezesha sisi wenye rasilimali nao tufaidike.
Aidha, niliagiza Wizara ya Nishati na Madini ishirikiane na Wizara ya Sheria na Katiba, Wizara ya Uchumi, Mipango na Uwezeshaji na Wizara ya Fedha na makampuni husika kuangalia upya Sheria yetu ya Madini na mikataba tuliyowekeana kwa lengo la kufanya marekebisho stahiki.
Katika kutekeleza agizo hilo , Agosti 10, mwaka wa jana Kamati Maalum ya majadiliano ya mikataba ya madini iliundwa. Kamati hiyo ilikuwa na jukumu la kufanya mashauriano na Tanzania Chamber of Minerals and Energy (TCME) kuhusu mfumo wa kodi katika sekta ya madini. Pia ilikuwa na jukumu la kufanya majadiliano na makampuni ya madini yenye mikataba ya madini na serikali kwa lengo la kurekebisha kasoro zilizopo.
Ndugu Wananchi;
Nafurahi kuwafahamisha kuwa, majadiliano kati ya serikali na makampuni makubwa ya madini hapa nchini yamekuwa na mafanikio. Tayari kampuni ya Barrick Gold Tanzania Limited na Resolute Mines Tanzania Limited zimekubali kuondoa kipengele cha kivutio cha asilimia 15 kwenye salio la gharama ya uwekezaji katika migodi yao . Hatua hii itayafanya makampuni haya sasa kulipa kodi ya mapato miaka michache ijayo tofauti na ilivyokuwa kabla ya hapo ambapo yasingelipa kodi kwa uhai mzima wa migodi yao .
Mazungumzo yanaendelea na makampuni mengine kufanya kama ilivyokuwa kwa makampuni haya mawili. Muda si mrefu nchi yetu nayo itaanza kunufaika ipasavyo na utajiri mkubwa wa dhahabu tuliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
Kampuni ya Barrick Gold pia imekubali kuilipa serikali kiasi cha dola za Kimarekani milioni 7.0 kwa mwaka kwa kila mgodi inaoumiliki kuanzia mwezi
Desemba, 2006 hadi mwaka 2010. Malipo hayo ni mbali na dola za Kimarekani 200,000 ambazo kampuni hiyo na ile ya Resolute itazilipa kila mwaka Halmashauri za wilaya ambako kuna migodi yake.
Hivi sasa tunapitia Sera na Sheria yetu ya madini kwa lengo la kuzifanyia marekebisho stahiki katika muda si mrefu ujao. Nia yetu ni kuwa na sheria ya madini itayohakikisha kuwa pande zote mbili zinanufaika sawia yaani sisi wenye rasilimali ya madini na makampuni ya uwekezaji yenye fedha na teknolojia. Tunataka Sheria hiyo ituwezeshe kuwa na mazingira ambayo Waingereza wanayaita ¡°win¨Cwin situation¡±, yaani wao wanapata na sisi tunapata.
Capital Cost Allowance (CCA) is effectively the means by which Canadians may claim depreciation expense. Depreciable items are deemed to belong to different classes which depreciate at different rates and are subject to different rules. For the most common classes the value of all assets belonging to that class are accumulated in a pool, and the designated percentage for that class may be claimed on the balance in that class at the end of the taxation year. To prevent a flurry of tax motivated purchases in the dying days of a taxation year only half of net additions to the class are considered purchased in the year for purposes of the current year's calculation.
Some examples of asset classes are,
Class 1(Rate 4%): Buildings acquired after 1987 Class 3(Rate 5%): Building acquired before 1987 Class 8(Rate 20%): Assets not included in other classes Class 10(Rate 30%): Cars costing less than 30 000 Class 12(Rate 100%): Small equipment and tools costing less than 500 Class 13🙁no specific rate): Improvements made to leased premises Class 14🙁no specific rate): Franchises, Concessions, and Licences Class 17(Rate 8%): Parking lots Class 43(Rate 30%): Machinery and equipment used for production Class 45(Rate 45%): Patents acquired after April 26, 1993 Class 46(Rate 30%): Database and network equipment
In contrast to the practice followed in the United States for depreciation there is no penalty for failing to claim Capital Cost Allowance. Where a taxpayer claims less than the amount of CCA to which he is entitled the pool remains intact, and available for claims in future years. Unclaimed amounts are not subject to recapture.