The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Barrick tayari ina ukiritimba wa machimbo yote ya madini nchini Tanzania.
 
Zitto aligusa moyo wa CCM na JK mwenyewe. Kumtaja Karamagi na ulaji wa rushwa na hata kupindisha ukweli katika majibu , ni kazi ambayo wameifanya mwezi mzima kwa kutumia ma spinning doctors wao bila ya mafanikio.JK kama kawaida baada ya kuona hoja inawaka moto kaja na zake za CUF na muafaka . Hivi ndivyo wanavyo endesha serikali kwa ujanja ujanja.Yaani Karamagi kweli ni msomi wa kuja na matusi yale badala ya kujibu hoja za kijana wetu ? Shame on you Malecela na CCM wote
 
Heshima yenu wana jambo. Nafikiri kilichotokea kwa wale wenye kuona mbali walishajua kuwa huyu zitto lazima afanyiwe hivyo maana amekuwa mwiba mchungu kwa serikali.

Jamaa hoja yake iko wazi ila imegeuzwa chini juu na hawa wasanii. Nafikiri inabidi kuwa na chombo cha kukata rufaa ili ionekanew kosa liko wapi. Maana mtu anakubali kuwa alisign mkataba nje harafu zitto anaungiwa kwa kusema uongo upi?

Hapa nafikiri inabidi zitto aamue liwalo na liwe aombe rufaa kwani kilichofanyika si fair na kama hakuna rufaa then hizo sheria za bunge inabidi zipitiwe tena.

Nampongeza zitto kwa ujasiri maana yataka moyo kwa bunge letu lililojaa CCM uongee na usikike!
 
Zito,

Kama unasoma hii thread na kama utafanya kama walivyoshauri wadau hapa kuwa uende jimboni kwako kisha uchukue vacation ya wiki moja au zaidi, basi naomba niwe mmoja wa wanaokukaribisha hapa marekani.

I have good contacts na member wa congress wa jimbo langu (ambaye ni African American) na utapata good times hapa.

Otherwise, take good care.

Hongera saana kwa ulichofanya bungeni.
Wachunguzi wa mambo wanajua issue ilikuwa simple - KARAMAGI NI KWELI AMESAINI MKATABA WA MADINI NJE YA NCHI BADALA YA NDANI YA NCHI KATIKA MAZINGIRA YA UTATANISHI NA KABLA MUDA ULIOWEKWA BADO KUISHA, ....KWA HILI BABA HUKUONGOPA...........

Take care......see you soon kama ukikubali.
 
This is such a monumental discovery! Enhe, leta habari za mabibi zao sasa.

Usipotoshe mambo wewe! Endelea kuwa kibaraka wa hao watawala dhalimu lakini nina uhakika hata kama maisha yako ni SAFI kwa namna yeyote ile,lazima hukosi ndugu,jamaa au marafiki wanao TAABIKA kutokana na uzandiki huu uliopo.Labda uniambie wewe ni mmoja wa wale waliopata bahati mbaya ya kutupwa majalalani na mama zao walipojifungua hivyo huna ndugu wala jamaa unayemjua.
Niwie radhi mgongo,lakini tunayojadili kuhusu hili ni kwa faida ya watanzania wenzetu kabisa,hivyo hata kama una hoja za msingi usikejeli taabu zao.
 
Bila ya shaka wengi mnajiuliza ni sheria gani au taratibu gani zilizotumika kumhukumu Zitto. Nimebandika Kanuni za Bunge, angalia hasa kuanzia ibara 58.
 
Naona watu wengi wanamhukumu Mugongo Mugongo na kumhusisha na kila aina ya ufisadi wa viongozi wa CCM.

Mimi nafikiri mchango wa Mugongo ni muhimu mno hapa JF. Anasaidia kutuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Kusingelikuwa na watu kama hao hapa, huenda JF ingegeuka na kuwa
kama lile bunge la Dodoma tunalolipinga ila sasa mawazo tawala yangelikuwa upande mwingine.

Pia naona kama Mugongo muda mwingi anajaribu kweli kutokuingia kwenye personal attacks, kitu ambacho ni muhimu sana.

Ni vizuri kujadili hoja zake na sio kuanza kumshambulia yeye mwenyewe binafsi. Sio kazi rahisi kuwa mtetezi wa serikali hapa JF, inabidi kumpa jamaa tano zake maana anajitahidi mno.
 
Mtanzania, kusema kuwa "mugongo muda mwingi anajaribu kweli kutoingia kwenye personal attacks" sijui unamzungumzia nani? Anyway, nakubaliana na wewe kuwa Mugongo ana haki ya kujenga hoja yoyote ile hapa.
 
I personally enjoy Mugongo's presence here. If you guys would stop taking him too seriously and start taking him lightly you would find the humor in him/ what he says. But since you guys show that you get vexed by what he says...he probably feeds off of that and continues to do what he does (best).
 
Naona watu wengi wanamhukumu Mugongo Mugongo na kumhusisha na kila aina ya ufisadi wa viongozi wa CCM.

Mimi nafikiri mchango wa Mugongo ni muhimu mno hapa JF. Anasaidia kutuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Kusingelikuwa na watu kama hao hapa, huenda JF ingegeuka na kuwa
kama lile bunge la Dodoma tunalolipinga ila sasa mawazo tawala yangelikuwa upande mwingine.

Pia naona kama Mugongo muda mwingi anajaribu kweli kutokuingia kwenye personal attacks, kitu ambacho ni muhimu sana.

Ni vizuri kujadili hoja zake na sio kuanza kumshambulia yeye mwenyewe binafsi. Sio kazi rahisi kuwa mtetezi wa serikali hapa JF, inabidi kumpa jamaa tano zake maana anajitahidi mno.

Mtanzania,
Mugongo Mugongo ni muhimu hapa kwa maana hiyo unayoitaja - kuwa tofauti - lakini tofauti yake inaibuka pale wanapoguswa walio madarakani kwa uchafu wanaoufanya. yeye anajaribu kuuhalalisha na kuonyesha kwamba wanaoukosoa uchafu huo ni wabaya au wajinga. Kama tungekuwa na Mugongo Mugongo wengi katika forum hii ingekuwa hovyo kama lilivyo bunge letu. bahati nzuti tuliyo nayo hapa ni kuwa yupo Mugongo Mugongo (sijue na nani mwingine), hivyo uovu wao unadhibitiwa, na hapo ndipo umuhimu wake ulipo.

Hoja kwamba Mugongo Mugongo hashambulii watu binafsi, nadhani siyo sahihi kabisa. Angalia anavyoandika maneno machafu na anavyotangaza wazi vita dhidi ya watu binafsi kama Mbowe na Ngurumo. Kwanza anaanza kwa kusambaza uvumi wa uongo dhidi yao, na baadhi ya watu hapa tunaelekea kuuamini na kushiriki naye kuwachukia na kuwadharau, mara anajitokeza Ngurumo na kutaka ushahidi uwekwe wazi, Mugongo Mugongo anaingia mitini. Baadaye anaibuka kwamba atauweka wazi iwapo Mbowe atateuliwa na chama chake kugombea tena urais (wenye akili wanajua kinachoendelea). Halafu anaibuka na kuanza kumshambulia Ngurumo binafsi kwa mambo ambayo hayako katika mjadala wetu hapa JF. (Tazama thread ya Ngurumo).

Halafu huyu ndiye unamtetea? Kama unamtetea kama mtu binafsi sawa, endelea, lakini usitetee hii tabia anayokuja nayo hapa ya kutaka kupandikiza corruption ya wanaomtumia ili kuharibu akili za wengine, ili sote tushabikie udhaifu wao! Nadhani Mtanzania umeelewa. Mchunguze kwa kauli zake, utamwelewa.
 
Dada mugongo,
Penye ukweli sema nnaa penye kusifia kwa haki wewe sifia acha kutokukubali hata pale pennye ukweli.

Kama wabunge wenyewe ndio hao wannaotetea uovu bila hata ya kujua ukweli kuhusu mkataba ambao najua zitto anao na wao hawajui ila wao wanakuwa ndio watetezi nna wanasema kwa nniaba ya mawaziri bila kujuaa ukomo wao kama wabunge kuwa kzi yao sio kujibu hojaa ila nni kutoa hoja.

Kwa wale ambao bado hawajapata kujua nni kuwa mashirika ya haki za binadamu na NGOS wametoa statement kumtetea zitto nnao ni pamoja na legal annd humanriight centre, LEAT,Tanngannyika law societies etc na hilo linifannya kusema kuwa wapo wanaoujua ukweli nna wannauamini.

kwa wale wennye kuweza kuonna channnnel ten leo saa tatu za usiku watakuwepo live kusisitiza kile walichokisema .
 
Naona watu wengi wanamhukumu Mugongo Mugongo na kumhusisha na kila aina ya ufisadi wa viongozi wa CCM.

Mimi nafikiri mchango wa Mugongo ni muhimu mno hapa JF. Anasaidia kutuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Kusingelikuwa na watu kama hao hapa, huenda JF ingegeuka na kuwa
kama lile bunge la Dodoma tunalolipinga ila sasa mawazo tawala yangelikuwa upande mwingine.

Pia naona kama Mugongo muda mwingi anajaribu kweli kutokuingia kwenye personal attacks, kitu ambacho ni muhimu sana.

Ni vizuri kujadili hoja zake na sio kuanza kumshambulia yeye mwenyewe binafsi. Sio kazi rahisi kuwa mtetezi wa serikali hapa JF, inabidi kumpa jamaa tano zake maana anajitahidi mno.

Inaonekana hujasoma posting za muongo.... kasome zile ambazo bado hazijakuwa deleted na Admin uone kuwa this lady anaatack watu personally.

Hata hivyo ni vyema ujue kuwa kumjibu muongo in this way hapa ni one of the various ways za kushiriki katika forum.

Mimi personally sina ugomvi na this guy kwa sababu namjua na ninajua kazi yake. Kwa sasa yeye ni target yangu kwa sababu nina-enjoy kumtarget yeye kama yeye anavyofanya kila article hapa kuwa anti zito, mbowe na CHADEMA. The same game but different style.

Otherwise take it easy.... hii forum imekuwepo kabla ya muongo na itakuwepo kama yupo au hayupo.
 
I personally enjoy Mugongo's presence here. If you guys would stop taking him too seriously and start taking him lightly you would find the humor in him/ what he says. But since you guys show that you get vexed by what he says...he probably feeds off of that and continues to do what he does (best).

Nyani,

Hata mie ninaenjoy presence yake maana kama utakumbuka vizuri enzi za business times.... this guy anaresemble character moja hivi ambayo kwa sasa ninaitunza.

Mie siko vexed by whatever the heck anafanya ila napush to the limit ambayo atarudia kufanya yale aliyofanya kipindi kile alichokumbwa na kashfa ya wizi wa mitihani....

.....tih teh tih teh tih teh.....
 
Wabunge leo watamfannyia zitto bonge la part hapaa morogoro hotel kwa ushujaa wake alionyesha jana bungenni na haswa jinsi alivyotulia wakati anajibu hoja za waizi wa ccm .

Niitajitahidi kuwepo japo sijaalikwa ila nntawaletea news zitakazojitokeza kwa sherehe hiyo.
 
Malecela alisema nini kwenye hii hoja kwani sikupata nafasi ya kumsikiliza...
 
Back
Top Bottom