The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Ni nani anakumbuka mjadala wa "waTanzania, au wapiga kura wa Tanzaniakuwa ni wajinga?"

Kwa maoni yangu, "Viongozi wa Ushindani" ndio bado ni wajinga. Hawajajua namna ya kuutumia ushindani wao kuwashawishi wananchi ambao ni 'welevu' sana; ili wawaunge mkono.

Linalosikitisha ni kuwasikia akina Mbowe wakati huu tena wakitilia msisitizo kutumia "Helikopta" kutembelea mikoa. The entire important message gets lost in trivialties of the helcopter!

It just needs good leadership to manage and capitalize on a situation that people can easily understand as this one to sway their alleagence. I am very sceptical we have that leadership (as yet) in the ushindani camp.
Tusubiri hapo CCM watakapo anzisha counter-attack ndipo utakapoelewa udhaifu wa ushindani nchini mwetu ulivyo.

The Incredulity:How can it be, waziri akaweke saini mkataba, tena akiwa ziarani na Rais wake? Na boss asijue hata chembe ya siri hiyo? Is that possible, au hizi ni gymanastics za kutaka kupoteza lengo?
Na kama ni kweli, what does it say kuhusu boss huyo? Make your own conclusions.
 
Guys!!! Let me ask, assume IPTL and RICHMOND was signed in Statehouse or Kwenye nyumba za dini, does it make a good contract,,,? naomba tujadili kama mkataba ni fake and not where it has been signed guys, let THINK BIG...

It is still doesn't click to me, if this is real issue unless you are saying the contract itself is fake and in addition to that it has been signed in HOTEL...
 
How can you think big when even those small issues you can't see inside?
 
How can you think big when even those small issues you can't see inside?

Different frequency, different wavelength 🙂

We are riding on the ignorance of our people and that is what you are advocating! we think place of signing as big issue as opposite to binding issues within the contract itself.

If a place of signing was an issue i could have been already in act and policies,,, but it is not! reason being it is not an issue... only now! it seems we need to define that the contact should be signed in a room x with longitude and latitude x,,, in temperature y, humidity z. and the people who sign should put on suits and ties.... hahahahah cheap politics
 
That is your issue. You better come outside of that box. Aren't you the one who want to discuss big issues? LOL
 
Dua!

So let discuss the content of the contract if you have and not the coordinate of the place where the contract was signed!!! please....

The place where it was signed it is immaterial at least to me! as I said thus why there is neither law no policy binding a government official to sign a document in place x.
 
Different frequency, different wavelength 🙂

We are riding on the ignorance of our people and that is what you are advocating! we think place of signing as big issue as opposite to binding issues within the contract itself.

If a place of signing was an issue i could have been already in act and policies,,, but it is not! reason being it is not an issue... only now! it seems we need to define that the contact should be signed in a room x with longitude and latitude x,,, in temperature y, humidity z. and the people who sign should put on suits and ties.... hahahahah cheap politics

Are you SERIOUS....???!!!
You really don't see a problem there...???!!!
 
Kilitime

When the president or a minister lies it's not a big issue to you. Thank god I never recall such lies at the heart of the government.
 
Are you SERIOUS....???!!!
You really don't see a problem there...???!!!

I'm serious, I don't see it and probably b'se I'm not member of political party! Probably you see it b'se you either fan or member of one of political party.

I need to know what wrong with the content of contract and not the place where it has been signed!

Please furnish me with the content of the contract!!! If you don't; let me leave for now so that you can have time to prepare for preparation for purchase of fuel helicopter for country tour!!!
 
Kwa maoni yangu, "Viongozi wa Ushindani" ndio bado ni wajinga. Hawajajua namna ya kuutumia ushindani wao kuwashawishi wananchi ambao ni 'welevu' sana; ili wawaunge mkono.

Linalosikitisha ni kuwasikia akina Mbowe wakati huu tena wakitilia msisitizo kutumia "Helikopta" kutembelea mikoa. The entire important message gets lost in trivialties of the helcopter!

Kalamu,

Nadhani wewe hukuwa kwenye maandamano na mkutano, la sivyo usingeandika haya. naona wewe umandika kutokana na ulichosoma magazetini au mtandaoni. Kwa taarifa yako viongozi wamezungumza mambo ya maana sana ambayo yametukuna sisi waandamanajimagazeti ambayo yaliona helikopta ni laini yua kuuzia message yao. Lakini katika hotuba nzima ya Mbowe hilo ni neno lililosemwa kwenye sentensi moja tu.
Jihadhari kufanya uchambuzi kwa kutumia tu message za magazeti.

Sisi tulio 0nthe ground tunajua kinachoendelea sasa. Vuta subira mdogo wangu siyo wewe tu mwenye kuona mbali katika hili. Wapo wengi na kazi imeanza, usianze kulaumu kabla ya hata kujua kinachoendelea.
 
Kilitime

When the president or a minister lies it’s not a big issue to you. Thank god I never recall such lies at the heart of the government.

Dua Kwa nini unaruka ruka, nimekuomba url ya Hotuba ya JK ya mei mosi... sasa huleti nisome mwenyewe na mimi sitaki kuambiwa na JF member nataka from original source... kama huna tulia wengine wataniletea...

JF,,, aliyo nayo aniletee please.
 
Sisi tulio 0nthe ground tunajua kinachoendelea sasa. Vuta subira mdogo wangu siyo wewe tu mwenye kuona mbali katika hili. Wapo wengi na kazi imeanza, usianze kulaumu kabla ya hata kujua kinachoendelea.

Kichwamaji

Kwa heshima yako,,, naondoa hoja yangu kishingo upande,,, maana dalili za mimi kupewa adhabu kama ya Zitto naziona zinanukia,,, nauliza maswali marahisi lakini majibu watu wanaruka ruka tu!

Kwangu jangwani ni sehemu ya kudanganyiwa watu tu! hoja zote zenye ukweli na nguvu tungeziona kwenye hoja ya mh. Zito na majibu ya Mh. Waziri... periodi... haya ya Jangwani ...tunawaachia wanaharakati na mashabiki wa vyama.
 
Nakubali mheshimiwa. Hata hivyo, nadhani siyo vibaya wewe na mimi tukikubaliana kwenye hao wanaharakati mashabiki ndiyo chache yenyewe na ndio wenye dau. Majibishano ya hoja kati ya Zitto na Karamagi hayawezi kuwa jibu kwa sababu mmjoa ni mtuhumiwa aliye jikoni, na mwingine ni mtuhumu aliye nje, na ambaye ili hoja zake zisimame lazima asaidiwe kwa kupewa vielelezo na wale wale anaowatuhumu.

Huo unakuwa kama mchezo wa debating club, unaopendwa na mashabiki wa ubishi...fulani zaidi ...fulani bado. Lakini wale wa Jangwani ni matekak wa mfuko, waathirika na sera mbovu, walala njaa wahujumiwa na wateswaji, wanaolipia kura zao, ukimya wao na unyonge wao.

Wanapoamua kunyeshewa mvua kumsikiliza huyo tunayembeza, tutakuwa tunapoteza muda kuwadharau na kushabikia ubishi wa hoja kwa hoja ndani ya jengo la waheshimiwa, ambao wanashindwa hata kujadili hoja ndani ya hoja anazoibua waziri. Wao (na baadhi yetu humu) wanasema amaejibu vema, na kwa maana hiyo aliyemtuhumu kadharau bunge. Sikujua kwamba tuna wabunge vihiyo wasioweza kusoma ndani na nyuma ya hoja za waziri na kugundua kwamba alikwepa maswali ya Zitto.

Nilichotarajia kwao ni kumtaka waziri "alete mkataba tuuone" kama si wote basi uonwe na "kamati" teule, na ndiyo ifanye hukumu. Tupo wote?
 
Ukiona Mugongo Mugongo kapotea hapa ujue kuna jambo. Ile kitu ya jana jangwani haikuwa mchezo, na kumbuka wale hawakubebwa kwa mabasi wala vipanya. Niliwatazama katika nyuso zao, zilikuwa zinazungumza lugha tofauti na yetu hapa. Kilichodhihirika pale ni kwamba imani ya wananchi kwa serikali imeshuka vibaya sana. Mugongo Mugongo na wenzie sasa wanajipanga upya, maana wametambua kwamba muda wanaoupoteza kwenye luninga, wanazungumza na hadhira wasiyoilenga. Without insulting anyone, "wananchi wenyewe wako Jangwani!"
 
Mtanzania umeleta mawazo mazuri lakini umemaliza kwa kuzua hoja ambayo itaondoa maana ya mchango wako . Najua hapo UK unaona mengi lakini sasa kuna uhalisia wa maneno. Hammer ya Zitto hajanunua kwa pesa ya walipa kodi , bali kapewa zawadi na marafiki zake ambao wanapenda juhudi zake za kuwatetea Watanzania

Hapo ndipo matatizo yote yanapoanzia, hii dunia hakuna free lunch. Zawadi na misaada ya wafanyabiashara ndio inamfanya JK awakumbatie hao akina Rozam. Ndio hao hao walioanza kumpotosha Mkapa na ndio hao hao waliomfanya Mwinyi azungukwe na wafanyabiashara Ikulu.

Hivi uliwahi kusikia Nyerere anapokea zawadi toka kwa matajiri?

ES, kukataa high life hasa wakati huna kipato cha kukufanya uishi maisha ya juu sio ujamaa. Hivyo ndivyo vinavyoponza wanasiasa wote duniani. Wakionja high life, hawataki kushuka tena chini na kwa kuwa kipato chao kidogo, basi wanaamua kuanza kutumia rushwa kujipatia mali zaidi. Unafikiri bible walivyosema
"Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu." walikosea?

Any way leo ni siku ya kumpongeza Zitto na tuendelee kumpongeza, ila ningelikuwa mimi ni Zitto au hata kiongozi wa CHADEMA nisingelimpandisha Zitto kwenye lile gari.
 
Onyo la Bunge lapondwa

2007-08-19 11:09:13
Na John Ngunge na Gaudensia Mngumi

Wahadhiri waandamizi wa sheria wameponda onyo lililotolewa na Bunge kwa wanaharakati kuwa linawatisha Watanzania na kuharatisha uhuru na demokrasia yao na wamesema Bunge halina mamlaka ya kunyamazisha wananchi.

Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam jana, Profesa Issa Shivji, alieleza kusikitishwa na onyo hilo na kwamba limemshangaza kama mwanasheria na kumtisha zaidi kama mwananchi hasa akitafakari hatma ya demokrasia na uhuru wa wananchi.

``Taarifa ya Bunge iliyosainiwa na Katibu Mkuu imenishangaza kidogo kama mwanasheria, lakini?imenitisha zaidi kama mwananchi, hasa nikitafakari hatma ya demokrasia na uhuru wa wananchi kutoa maoni yao na uhuru wa vyombo vya habari kutoa taarifa bila uoga au bila kujali taarifa hizi zinamhusu nani au chombo gani.

Haki zote hizo ni za msingi na zinalindwa? na Katiba ya Jamhuri na Katiba ya Serikali ya Zanzibar,`` alisema.

?Katibu wa Bunge, Bw. Damian Foka, juzi alitoa taarifa ya kuwaonya wanaharakati kuwa makini na matamshi yanayopotosha umma kuhusu uamuzi wa kumsimamisha Bw. Kabwe kufanya kazi za Bunge.

Alisema huko ni kukiuka sheria, madaraka, kinga na haki za Bunge ya mwaka 1988.

``Hivyo basi Bunge halitasita kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria hii,`` ilisema.

Alisema taarifa hiyo haigusii kabisa?jambo lililokuwa ndani ya hoja ya iliyotolewa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) Bw. Zitto Kabwe, bali inazungumzia vifungu vya kanuni za Bunge na tafsiri zake katika jitihada?za kuhalalisha uamuzi wa Bunge/Spika wa kumsimamisha Bw. Kabwe na kupinga tafsiri ya ``wanaojiita wanaharakati.``

?Tuachilie mbali maneno haya ya kejeli, tubaki kwenye hoja za msingi,? alisisitiza.

?Alisema, ?kwa maoni yangu, suala la msingi?hapa ni kutofautisha kati ya uhalali wa kisiasa (political legitimacy)??na uhalali wa kisheria (legality) ya?uamuzi wa Bunge,? alisema.
Kuhusu sheria, Profesa Shivji aliongeza kuwa jambo linalobishaniwa ni tafsiri ya Kanuni za Bunge.

?Katika hiyo sitaki kusema mengi isipokuwa tujikumbushe?tu kwamba katika mfumo wetu kauli ya mwisho juu ya tafsiri ya sheria ni ya ?Mahakama na Mahakama peke yake. Kwa hiyo tafsiri inayotolewa na wanaharakati, au mawakili maarufu au hata Katibu Mkuu wa Bunge ni maoni tu,? alisema.

Alisema katika mjadala huo wananchi wana haki ya kutoa maoni yao na hakuna ye yote kati yao mwenye uwezo wa kudai kwamba maoni yake ni sahihi na sahihi tupu na ye yote akitofautiana naye anaupotosha umma na kwamba \'atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria hiyo.

?``Huwezi ukalazimisha maoni yako juu ya tafsiri?ya sheria kwa mabavu na vitisho. Ukifanya hivyo, maana yake ni huna nia ya kuendesha mjadala bali kusudio lako ni kufunga midomo ya wananchi.

Wahenga husema: usimuue mjumbe kwa sababu hupendi ujumbe wake,? alisema na kuongeza anavyoona jambo muhimu, ni suala la uhalali wa kisiasa.

``Unaweza ukawa na uhalali wa kisheria ni papo hapo ukakosa uhalali wa kisiasa. Jambo la mikataba ya madini - na mikataba mingine ya ubinafsishaji na inayohusu rasilimali za wananchi - limezungumziwa sana na wananchi katika mabaraza yao, vijiwe vyao na hata katika Bunge Tukufu na katika magazeti, kiasi kwamba Rais Kikwete mwenyewe alitamka wazi kwamba mikataba hiyo itaangaliwa,? alisema.

Profesa Shivji alifafanua kuwa Bw. Kabwe alipoleta hoja zake binafsi aligusia kwa karibu sana hisia za wananchi, na alikuwa anaweka wazi madukuduku ya wananchi kwa ujumla na walikuwa wanasubiri kwa hamu taarifa kuhusu ukweli wa mambo yaliyoko ndani ya mikataba hiyo.

Aliongeza kuwa badala ya kujadili na kukubali kufanya uchunguzi wa kina juu ya suala hili,?wawakilishi wetu na watumushi wa umma, wakaamua?kumziba mdomo Bw. Kabwe.

``Mara moja, ikaamsha, siyo hisia tu bali hasira za wananchi wa hali na hadhi tofauti.?Kwa mantiki hiyo, hoja za Bw. Kabwe zilikuwa na uhalali wa kisiasa kwa kiasi kikubwa, wakati?hatua za Bunge zikakosa uhalali huo.

Na uhalali wa kisiasa huwezi ukaulazimisha. Naam, unaweza ukafunga midomo ya watu kwa mabavu na vitisho lakini kamwe huwezi kuuwa hisia zao,? alisisitiza.?

Kwa upande wake Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Sengondo Mvungi , amepuuza onyo hilo la kuwakataza wananchi kuzungumzia kusimamishwa kazi kwa mbunge huyo kwani halina mamlaka ya kunyamazisha watu.

?Bunge halina mamlaka ya kuingilia uhuru wa jamii kujadili hoja yoyote hata kama imejadiliwa ndani ya bunge na haijatolewa maamuzi, mamlaka ya kunyamazisha watu wasijadili kesi iliyo mahakamani ni ya mahakama pekee,? alisema.

Dk. Mvungi ambaye ni mhadhiri wa Kituo cha Sheria alisema hata mahakama yenyewe haina mamlaka ya kunyamazisha jamii isijadili kesi iliyokwishaamuliwa.

?Iweje Bunge liwanyamazishe wapiga kura kujadili suala la Bw. Zitto ambalo limekwishaamuliwa na Bunge,? alihoji.

Akikariri taarifa ya Bw. Foka iliyosema mbunge huyo alisimamishwa baada ya Bunge kuona kuwa uongo aliousema ni mkubwa na umeathiri heshima ya Bunge, Dk. Mvungi alisema, ?hajui anachozungumza, suala la Kabwe limekwishaamuliwa na Bunge na wananchi wanajadili uamuzi huo?hajui mamlaka ya Bunge na Bunge ni kitu gani.?

?Zama za kuburuzana zimekwisha, sasa kama hawaujui huu mchezo tutawafundisha unaovyochezwa, Bunge haliwezi kuburuzwa na kamati ya CCM,? aliongeza.

Dk. Mvungi ambaye ni mtaalamu wa sheria ya katiba, alisema Katibu wa Bunge ni mtumishi wa chombo hicho wakati Spika ni mtumishi na mwakilishi wa wapiga kura wake.

?Pia bosi wa Bunge ni wananchi-wapiga kura wenyewe, wewe ni mtumishi/mwakilishi wa wananchi bado hajui mamlaka ya Bunge na haelewi ni kitu gani,? alifafanua Dk.Mvungi.

Kuhusu kamati ya chama kiliburuza Bunge alifafanua kuwa wabunge wa CCM walikaa kama kamati na kuamua kumuadhibu Bw. Kabwe, waligeuza hoja ya kawaida ya Bunge kuwa suala la chama chao.

?Bunge lilikubali kuburuzwa na CCM, tena aliyehitimisha hoja ya chama ni Mbunge wa Mtera (CCM) , Bw. John Malecela, ?huu ni mwiba lazima uondoke,? alihoji, Kabwe kuitwa mwiba.

Aliendelea kueleza, ?nikitafakari mchango wa Malecela niliona kwamba hoja ya kumwadhibu ambayo inalindwa na Katiba iligeuzwa kuwa hoja ya chama na hivyo kumwadhibu Bw. Kabwe.

?Kwa mujibu wa kanuni za Bunge mbunge huyu hakutakiwa kuthibitisha kauli zake, mbunge aliona shaka akaliomba Bunge liunde tume ya kuchunguza, anayetakiwa kuthibitisha ni hiyo tume.?

Kuhusu heshima ya Bunge, alisema Bw. Kabwe analindwa na Katiba ya nchi hivyo hawezi kumtukana Waziri na hajalivunjia Bunge hadhi yo yote wala mtu ye yote, ametekeleza kile ambacho Katiba inamtaka kufanya.

?Hakuna lugha mbaya au nzuri inayoanishwa na kanuni au Katiba ila kiustaarabu huwezi kutumia maneno kama ******** au mshenzi lakini ukisema mathalani Waziri alichosema si kweli, au amedanganya Bunge ni kitu kile kile? alifafanua.

Mwanaharakati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Bi. Hellen Kijo-Bisimba amesema Bunge kutoa matamshi kama hayo limekwenda mbali.
Alisema kama raia wana uhuru wa kujadili na wanajua wanachoongea.

?Tunapoongea hatuingilii uhuru wa Bunge, tunajua kwamba Bunge lina uhuru wake na hatuwezi kuingilia,? alisema.
Hata hivyo, Bi. Kijo-Bisimba alisema Bunge haliwezi kuwafunga mdomo wanaharakati.

Alisema wanaharakati wanao uelewa kuhusu kanuni na Katiba na hivyo katika mjadala huu hawalivunjii heshima Bunge na wala hawawezi kutoa matamshi yanayopotosha.

Alisema wanasubiri kuona Bunge litawashitaki kwa kutumia sheria ipi na kuthibitisha kile wanachoita kwamba wanaharakati wanatoa madai ya kupotosha umma.

?Msimamo wetu ni kwamba Bw. Kabwe aliwasilisha hoja yake Bungeni na hakutakiwa kuthibitisha isipokuwa Kamati ya Bunge ilitakiwa ilithibitishie Bunge, ndio maana sisi wanaharakati tunasema kwamba ameonewa.?

Mshauri wa masuala ya kiuchumi Bw. John Kimbute, alisema hatua ya Bunge ya kukemea wana harakati inadhihirisha namna serikali inavyojificha nyuma ya kivuli cha sheria inapoulizwa juu ya mambo yanayoonyesha kuwa na kasoro.

? Hivi karibuni imeingiza kipengele cha sheria ya 37 (1) kukataza kuhoji masuala yanayochunguzwa na Tume Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) . ?Hatua hiyo inalenga kuzima na kuzuia suala la rada kuendelea kuchunguzwa na vyombo vya habari.?

Kwa wa mbunge Kabwe, alisema kwanini mbunge anapohoji kanuni mahsusi ya mikataba muhimu kusainiwa nje ya nchi na kuonyesha kutokuridhishwa na maelezo kuwa ni mkataba huo una pesa na ajira nyingi, kundi la CCM Bungeni linaharakisha kuridhika na maelezo ya Waziri na kukimbilia kutoa adhabu kwa mbunge ili masuala kama hayo yasiulizwe bungeni.

?Matokeo yake ni kuwa mbunge wa Karatu (CHADEMA), Dk, Wilbrod Slaa, ameondoa suala la kupeleka hoja binfsi ya kuunda kamati ya kuchunguza ujenzi wa majengo pacha ya benki kuu ,?
``Wakweli hawahofu jambo, kukimbilia kwenye sheria na kutisha wananchi kila siku inapoonekana serikali imekosea, kunaonyesha serikali ina hofu mambo yake yasijulikane, hali hii inaondoa imani kwa umma na inaathiri mshikamano miongoni mwa wananchi.``

SOURCE: Nipashe

Tuma Maoni Yako
 
Hapo ndipo matatizo yote yanapoanzia, hii dunia hakuna free lunch. Zawadi na misaada ya wafanyabiashara ndio inamfanya JK awakumbatie hao akina Rozam. Ndio hao hao walioanza kumpotosha Mkapa na ndio hao hao waliomfanya Mwinyi azungukwe na wafanyabiashara Ikulu....

Any way leo ni siku ya kumpongeza Zitto na tuendelee kumpongeza, ila ningelikuwa mimi ni Zitto au hata kiongozi wa CHADEMA nisingelimpandisha Zitto kwenye lile gari.

Mtanzania una hoja. Hata hivyo, maisha ni kusikilizana na kusaidiana. Hakuna mtu anayejitosheleza, kwani hata hao matajiri wanawategemea wengine. Katika hili nadhani una haki ya kuwa na mawazo yako.

Hata hivyo, nilidhani unazungumzia KUPEWA gari. Kumbe unasema kumpandish gari? Hii ni zana ya kazi. Angeweza kupanda hata lori la FUSSO. Halikutubabaisha sisi hilo, tulichotaka ni YEYE...hata angeshuka kwa ungo, angevaa suti au nguo ya viraka. We wanted to see , touch and listen to him - regardless of his form of transport - and we did!
 
Dua Kwa nini unaruka ruka, nimekuomba url ya Hotuba ya JK ya mei mosi... sasa huleti nisome mwenyewe na mimi sitaki kuambiwa na JF member nataka from original source... kama huna tulia wengine wataniletea...

JF,,, aliyo nayo aniletee please.

Naona umeingia kwa papara kama fisi aliyona mnofu. Nani alikwambia mimi ndio library yako ya research? Tafadhali uwe na heshima na kama hujui mambo kaa pembeni usome kama wengine.

Unaomba information ambazo huna halafu unapinga vitu ambavyo hujui. Kwenye maandishi yangu ni wapi nimekwambia naweka pumba za huyo fisadi wako? Heshima ni kitu cha bure na ustaarabu hauuzwi, hao mafisadi unaowatetea tupo nao na hata siku moja hawawezi kutoka kwenye macho yetu hadi hapo watakapoacha kuliibia taifa. Usifikirie kila mtu yupo hapa kupoteza muda kama jina lako linavyosema, tutakula nao sahani moja.
 
Different frequency, different wavelength 🙂

We are riding on the ignorance of our people and that is what you are advocating! we think place of signing as big issue as opposite to binding issues within the contract itself.

If a place of signing was an issue i could have been already in act and policies,,, but it is not! reason being it is not an issue... only now! it seems we need to define that the contact should be signed in a room x with longitude and latitude x,,, in temperature y, humidity z. and the people who sign should put on suits and ties.... hahahahah cheap politics

Ndugu,
Place of signing kisheria is an issue, kwa sababu inabidi kufuata sheria za mahali mkataba ulipo sainiwa! Poor Tanzanian what a shame waziri mzima anakimbia na mihuri yetu kwenye brief case/rambo/Koti???? ili akasaini mkataba Ulaya???

Insane!
 
Dua Kwa nini unaruka ruka, nimekuomba url ya Hotuba ya JK ya mei mosi... sasa huleti nisome mwenyewe na mimi sitaki kuambiwa na JF member nataka from original source... kama huna tulia wengine wataniletea...

JF,,, aliyo nayo aniletee please.
Kaisome kwenye website ya Ikulu kama hawajaindoa au kuihakiki upya. Kopi nyingine ilikuwa pale kwenye bloguu ya michuzi tafuta kwenye archive yake.
 
Back
Top Bottom