The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

View attachment 3402792

Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12.

Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga jumla ya makombora sita kwenye kambi tano tofauti za kijeshi za Israeli katika maeneo ya kaskazini, katikati, na kusini mwa nchi hiyo .

Kambi zilizoripotiwa kuwa zimepata mashambulizi ni:

1. Camp Zipporit

2. Irtah

3. Camp Glilot

4. Beit Nehemia

5. Tel Nof

View attachment 3402793

Data hizi hazijawahi kuripotiwa na mamlaka za Israeli kutokana na usiri/udhibiti mkali wa taarifa ndani ya taifa hilo.

Makombora ya Iran kwenye kambi hizo yalisababisha uharibifu mkubwa.

Mfumo wa ulinzi wa Israel unajumuisha Iron Dome, David’s Sling, Arrow, na msaada wa mfumo wa Marekani wa THAAD kutoka eneo la Baharini yaani Red Sea .

IDF imekataa kusema chochote kuhusu habari za kushambuliwa kambi zake hizo

Source: Iran struck five Israeli military bases during 12-day war
Ikikupendeza weka na madhara waliopata Iran kutokana na mashambulizi ya Israel
 
Duh
 
Kwahiyo cost of war inapimwa kwa kuuliwa majenerali!?
Israel ime achieve nini baada ya kuua hao majenerali!??
Je wameshinda vita!?
Umesoma article ya Times of Israel kuhusu kambi zilizolipuliwa!?
huko misikitini ushindi unapimwaje labda? kama majenerali wenu wana kufa na rais amejeruhiwa huoni ni dalili ya udhaifu? nyie wajukuu wa mudi mlimuua mwanasiasa au mwana sayansi gani wa israel?
 
Fala wewe kivita ushindi unapimwa kwa kukamilisha mission mliyoipanga.
Hata askari abaki mmoja ila mission ikifanikiwa basi mmeshinda.
Nikuulize wewe,je Operation za Israel zilifanikiwa ndani ya Iran?
Tuanze na kuharibu uwezo wa kijeshi wa Iran,je walifanikiwa?
Tuje na kuharibu nuclear power plant je walifanikiwa?
Tuje kwenye regime change,je walifanikiwa!?
Nasubiri majibu.
 
Iran atapigwa mana hakuna namna akikaidi atapigwa tu
Iran atapigwa kama hivi au siyo!?
Screenshot_20250726-002910.png
 
Back
Top Bottom