The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

Unamuongopea nani jamaa Kila mtu kaona kilichotokea!?
Iran alikua ana malengo gani kama sio kujilinda!?
Na malengo gani ya Israel yaliyotumika?
-Regime change failed.
Nani ana mpango wa kuondoa mzee wa watu mwenye miaka 86 ambaye anaishi kwenye shimo kila mashambulizi yakitokea. Sasa wakimuua atakayesaini nani?

Waachwe wale makamanda vibaka ambao vigezo vyao vikuu ni kujua kurejea mistari ya Quran na kuwa mtiifu kwa Ayatollah ili Middle East nzima iwe terrorized kwa handling mbovu ya silaha kama ambavyo wana handling mbovu ya wakuu wao wa majeshi?
-Dismantling IRGC failed.
Nani alikuwa na huu mpango?
-Kuharibu mpango wa nuclear failed,maana Iran Ina nuclear sites 8 na zilizopigwa ni tatu tu.
Kuharibu imefanikiwa. Soma Israel alikuwa anataka aharibu nini kwenye nuclear, sio kila tech ana shida nayo. Alikuwa anataka kuharibu urutubishaji wa Uranium ndio maana site ya Fordow ilipigwa mabomu 12 ya bunker buster GBU-57. Fordow pekee ndio inaweza toa nuclear grade material, site nyingine Isfaham sijui ilipigwa GBU mbili tu. Na nyingine hazikuguswa, waendelee kutumia clean nuclear tech kuzalisha nishati na kutumia kwenye sayansi kama matibabu.
Nani unamdanganya katika ulimwengu huu wa kidijitali!??
Usisahau Israel Haifa oil refinery plant imeharibiwa na kufanya kuvuja kwa benzene poisonous gas 100 times higher than usual
Ambapo mlisema watu watakufa, wamekufa wangapi ukiachana na wale watatu wa siku ya kwanza.

Mpaka sasa Iran haitoweza kuunda bomu la nyuklia kwa miezi au miaka kadhaa, hiyo Haifa refinery ilianza kazi mwezi uleule na itafikia 100% October. Wala Israel haikosi mafuta kisa ile attack.
,majengo ya uwekezaji kama ya microsoft,Adani, Investment tower na jengo la hisa yamelipuliwa,makazi na asset za kiraia na ofisi za serikali zimelipuliwa zinazo cost $20 billions+ kuzikarabati.
Israel imeshambulia nuclear sites za Fordow, Isfaham na Natanz. Bado military sites, maofisa wa majeshi na wataalam wa nyuklia.

Hayo ndio yalikuwa malengo, kama Israel ingetaka kuharibu miji na makazi mbona hiyo nchi ni bingwa wa kazi hizo. Sasa wewe shangilia eti "wamepiga majengo ya uwekezaji" 😂😂
Nani mjinga hapo kati ya Israel aliyeomba kusitishwa vita ilhali malengo hayajatimia na hasara zote hizo ama Iran aliyejipambania na kujilinda!?
Mjinga ni Iran aliyesaini baada ya wakuu wa majeshi kuuwawa na nuclear facilities kushambuliwa.
Sasa Iran itajilinda na nini kama angani yupo uchi, wanamgambo wake wa kigaidi wanapumulia mashine, na nukes hana?
 
Unazungumzia hii operation iliyofeli!?
Hata ripoti zinasema kuwa shambulizi limeshindwa kuharibu hiyo nuclear site.
Nguvu ilotumika kubwa pesa nyingi na mafanikio zero.View attachment 3404185View attachment 3404186
Sawa, unda nuclear weapons tuwaone. Unadhani Israel wapumbavu kusaini ceasefire deal?

Unda bomu mshambulie si huwa mnatoa chants za "Death to Zionists, Death to Israel".
 
Unamdanganya nani wewe jamaa!?
Sisi sio watoto usi twist mambo hapa.
Iran Ina nuclear sites 8 na alizolipua Israel na Marekani ni 3 tu.
Tena ripoti kutoka IAEA zinasema Iran anaweza kurudi urutubishaji ndani ya miezi michache hivyo inamaanisha lengo lilifeli.
Hizo sites nyingine hazina kazi, kuwa muelewa sio kila ukisikia kinu cha nyuklia basi unadhani kinaweza zalisha bomu. Ujerumani ina nuclear sites kwa miaka kadhaa, imeunda bomu la nyuklia?

Hizo sites nyingine hazina hata centrifuges. Fordow ndio muhimu kuliko zote, inafuatiwa na Natans na Isfaham. Na ndio maana zimeshambuliwa hizo tu.
Kitendo Cha Netanyahu kuanzisha vita na kushindwa malengo yake huku akiwa amepata hasara kubwa ya mabilioni ya dola na kuomba kusitishwa vita huko ni kushindwa.
Iran ilikua inajilinda haikuanzisha vita na imelipiza inavyoweza kwenye kambi za jeshi la Israel hana sababu ya kuendelea na vita hiyo.
Aliyefeli Israel ambaye hajatimiza lengo hata moja.
Iran haikujilinda kwa lolote, maofisa wameuwawa na target yoyote inayotakiwa imeshambuliwa sasa hapo walijilinda dhidi ha majini au kitu gani.

Netanyahu kaingia vitani kuzuia Iran kupata bomu la nyuklia. Na Iran wanaishi kama digidigi sasa, ona hapa lisaa limoja nyuma, hawa ndio waunde bomu hawa?
Screenshot_20250713-121949~2.png
 
Hizo sites nyingine hazina kazi, kuwa muelewa sio kila ukisikia kinu cha nyuklia basi unadhani kinaweza zalisha bomu. Ujerumani ina nuclear sites kwa miaka kadhaa, imeunda bomu la nyuklia?

Hizo sites nyingine hazina hata centrifuges. Fordow ndio muhimu kuliko zote, inafuatiwa na Natans na Isfaham. Na ndio maana zimeshambuliwa hizo tu.

Iran haikujilinda kwa lolote, maofisa wameuwawa na target yoyote inayotakiwa imeshambuliwa sasa hapo walijilinda dhidi ha majini au kitu gani.

Netanyahu kaingia vitani kuzuia Iran kupata bomu la nyuklia. Na Iran wanaishi kama digidigi sasa, ona hapa lisaa limoja nyuma, hawa ndio waunde bomu hawa?View attachment 3404211

Utazunguka weee ila ukweli uko pale pale.
Iran hakuwahi kuwa na mpango wa kumiliki nuke weapons hata mara Moja.
Hata Mr.Grossi alisema kabisa kuwa ripoti aliyopokea toka Tehran ni kuwa wamekatazwa kuunda nuke bomb na supreme leader.
Yes Iran ilikua inajilinda kwasababu Israel ilikua inaishambulia Iran,na malengo ya Israel yalikua ni regime change Wala sio Nuke weapons.
Tangu 1995 Netanyahu amekua akisema Iran inakaribia kuunda nuke weapons ila hadi leo hawana.
Malengo ya Israel kwenye hii vita ilikua ni regime change na kuwa dismantle Iran IRGC.
Iran ilikua inajilinda na imefanikiwa kujilinda na kusababisha hasara kubwa Israel.
Tizama hiyo hasara na useme nani AMEFELI.
Screenshot_20250713-120455.png
Screenshot_20250713-123053.png
Screenshot_20250713-123106.png
Screenshot_20250713-123124.png
Screenshot_20250713-123132.png
 
View attachment 3402792

Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12.

Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga jumla ya makombora sita kwenye kambi tano tofauti za kijeshi za Israeli katika maeneo ya kaskazini, katikati, na kusini mwa nchi hiyo .

Kambi zilizoripotiwa kuwa zimepata mashambulizi ni:

1. Camp Zipporit

2. Irtah

3. Camp Glilot

4. Beit Nehemia

5. Tel Nof

View attachment 3402793

Data hizi hazijawahi kuripotiwa na mamlaka za Israeli kutokana na usiri/udhibiti mkali wa taarifa ndani ya taifa hilo.

Makombora ya Iran kwenye kambi hizo yalisababisha uharibifu mkubwa.

Mfumo wa ulinzi wa Israel unajumuisha Iron Dome, David’s Sling, Arrow, na msaada wa mfumo wa Marekani wa THAAD kutoka eneo la Baharini yaani Red Sea .

IDF imekataa kusema chochote kuhusu habari za kushambuliwa kambi zake hizo

Source: Iran struck five Israeli military bases during 12-day war
MK254 Member mkongwe akili kisoda,kichwa kimejaa udini kuteteta wayahudi wanapinga ukristo,ilhali wewe mkristo.........pita hapa kwenye huu uzi
 
Wasipoleta za AI sijui. Pia watupatie zile picha za F-35 iliyoangushwa na rubani mwanamke
Bishana na TIMES OF ISRAEL chombo mama Cha habari Israel kinaripoti kambi 5 zimepigwa na kuna censorship kwenye habari ndio maana wakakatazwa kuleta picha.
Sasa wewe akili zako na ripoti za Times of Israel zipi sahihi??
Muda mwingine mnakuwa kama WAPUMBAVU kubisha vitu vya wazi.
Screenshot_20250713-124105.png
Screenshot_20250713-124135.png
 
Pole ukweli huwa ni ukweli na uwongo huwa ni uwongo haijalishi chanzo cha habari.
Ukiamua kuamini uwongo ili kujifariji ni chaguo lako.
Pole ya nin sasa..mimi nimekuuliza tu kuhusu kauli yako ya kua biased na hapo hapo unaleta habari iliyoandaliwa na waisrael wenyewe😃
 
Nashukru Mungu kuna vita inanukia ambapo Russia akiziongoza nchi za nyingi sana za kiislamu watajaribu kuivamia Israel ili kuifuta duniani na bado watashindwa vibaya sana kumaanisha Mungu hajawahi sema uwongo, na shetan kamwe hawezi mshinda Mungu.
Delusional
 
Muwe mnafuatilia taarifa vizuri.

Hakuna mahali popote ambapo imeripotiwa kuwa Israel iliomba ceasefire. Kama unayo weka hapa.

Nchi ya kwanza kuongelea ceasefire ilikuwa Iran kwenye kikao chake na ujumbe wa Ulaya. Iran ilisema kuwa yenyewe ingesimamisha urushaji wa makombora mara moja, kama Israel nayo ingeacha kushambulia. Siku 2 baadaye Trump akaja na mpango wa ceasefire akisema kuwa amewasiliana na Iran na Israel, na kwamva pande zote zimeridhia. Na kuwa ndege za Israel zilizokuwa njiani kwenda kushambulia Iran, Israel imezirudisha.
Sisi kuandika hapa habari zisizo sahihi wala haibadilishi kwa vyovyote uhalisia wa vita. Kama wairan wengi wameuawa na majeshi ya Israel, hata tuandike vipi, haitabadilika wawe wachache. Kama majengo mengi ya Israel yamebomolewa kwa makombora ya Iran, hata tuandike vipi, majengo hayo hayatasimama.

Hata kwenye taarifa hii, ukifungua hiyo link, wanaeleza kuwa precision ya ulinzi wa anga ya Israel ilidungua 84% ya makombora ya Iran, huku Israel yenyewe ikisema ilidungua 87% ya makombora. Kwenye vifo, hata kwenye hii taarifa, wanasema kuwa Israel ilisaidiwa sana na mifumo yake ya usalama ambapo ni watu 28 tu ndio waliouawa, huku Iran ikiripoti kuwa watu 600 walipoteza uhai.

Kwenye hii taarifa bado inaonesha kuwa wakati Iran ilipoteza sehemu kubwa ya miundombinu yake ya kivita na wanavita, Israel iipoteza zaidi majengo, huku miundombinu yake ya kivita na wanavita wakikosa kuguswa.
Tambua waisrael sio wakristo

Ulichoandika unawaza ukristo wako ,Unafikiria kutetea israel ni kutetea ukristro

Huko israel wana dini ya kiyaudi mkuu,Huko hakuna ukristo kama Tanzania

Mchambuzi kama wewe ambae umeegemea udini ni mjinga
Israel alidhibiti taarifa lakini miji imeharibiwa
 
Delusional
Ni kubwa sana hii si size yako hivyo huwezi elewa hata nilisema humu miezi michache iliyopita Iran itakung'utwa, wengi walibisha na imetokea nafahamu tena kwa kina kitu inaitwa eschatology
 
Wewe tushakuzoea ni taahira.
Umeekewa source ya habari bado unapinga.
😄 🤣 😂 nina listi ya majenerali8 wa iran waliouliwa kama kuku naomba jina la sungu sungu mmoja wa Israel 🇮🇱 mliemuua?
 
😄 🤣 😂 nina listi ya majenerali8 wa iran waliouliwa kama kuku naomba jina la sungu sungu mmoja wa Israel 🇮🇱 mliemuua?
Kwahiyo cost of war inapimwa kwa kuuliwa majenerali!?
Israel ime achieve nini baada ya kuua hao majenerali!??
Je wameshinda vita!?
Umesoma article ya Times of Israel kuhusu kambi zilizolipuliwa!?
 
Back
Top Bottom