Imagine 😁Kazi ipo.
Hivi kwanini Israel na U.S waliomba ceasefire haraka baada siku chache tu please kwa anayejua sababu ?
Na kwa nini Israel imekuwa mgumu kukubali ceasefire hapo Gaza pamoja hata akiwa ana bembelezwa ?
Iran ilijitutumua kiasi chake japo pia ilishindwa kabisa kulinda anga lake.View attachment 3402792
Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12.
Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga jumla ya makombora sita kwenye kambi tano tofauti za kijeshi za Israeli katika maeneo ya kaskazini, katikati, na kusini mwa nchi hiyo .
Kambi zilizoripotiwa kuwa zimepata mashambulizi ni:
1. Camp Zipporit
2. Irtah
3. Camp Glilot
4. Beit Nehemia
5. Tel Nof
View attachment 3402793
Data hizi hazijawahi kuripotiwa na mamlaka za Israeli kutokana na usiri/udhibiti mkali wa taarifa ndani ya taifa hilo.
Makombora ya Iran kwenye kambi hizo yalisababisha uharibifu mkubwa.
Mfumo wa ulinzi wa Israel unajumuisha Iron Dome, David’s Sling, Arrow, na msaada wa mfumo wa Marekani wa THAAD kutoka eneo la Baharini yaani Red Sea .
IDF imekataa kusema chochote kuhusu habari za kushambuliwa kambi zake hizo
Source: Iran struck five Israeli military bases during 12-day war
😁😁😁😁Muwe mnafuatilia taarifa vizuri.
Hakuna mahali popote ambapo imeripotiwa kuwa Israel iliomba ceasefire. Kama unayo weka hapa.
Nchi ya kwanza kuongelea ceasefire ilikuwa Iran kwenye kikao chake na ujumbe wa Ulaya. Iran ilisema kuwa yenyewe ingesimamisha urushaji wa makombora mara moja, kama Israel nayo ingeacha kushambulia. Siku 2 baadaye Trump akaja na mpango wa ceasefire akisema kuwa amewasiliana na Iran na Israel, na kwamva pande zote zimeridhia. Na kuwa ndege za Israel zilizokuwa njiani kwenda kushambulia Iran, Israel imezirudisha.
Sisi kuandika hapa habari zisizo sahihi wala haibadilishi kwa vyovyote uhalisia wa vita. Kama wairan wengi wameuawa na majeshi ya Israel, hata tuandike vipi, haitabadilika wawe wachache. Kama majengo mengi ya Israel yamebomolewa kwa makombora ya Iran, hata tuandike vipi, majengo hayo hayatasimama.
Hata kwenye taarifa hii, ukifungua hiyo link, wanaeleza kuwa precision ya ulinzi wa anga ya Israel ilidungua 84% ya makombora ya Iran, huku Israel yenyewe ikisema ilidungua 87% ya makombora. Kwenye vifo, hata kwenye hii taarifa, wanasema kuwa Israel ilisaidiwa sana na mifumo yake ya usalama ambapo ni watu 28 tu ndio waliouawa, huku Iran ikiripoti kuwa watu 600 walipoteza uhai.
Kwenye hii taarifa bado inaonesha kuwa wakati Iran ilipoteza sehemu kubwa ya miundombinu yake ya kivita na wanavita, Israel iipoteza zaidi majengo, huku miundombinu yake ya kivita na wanavita wakikosa kuguswa.
Iran haikujitutumua,Bali ilijibu kulingana na ilivyoshambuliwa.Iran ilijitutumua kiasi chake japo pia ilishindwa kabisa kulinda anga lake.
Pro western akili zao zipo brainwashed usijileIran haikujitutumua,Bali ilijibu kulingana na ilivyoshambuliwa.
Iran ni nchi Tajiri lakini imeishi kwenye vikwazo kwa miaka mingi.Ingekua huru nadhani ingeweza kununua ADS za kutosha.
China inatengeneza silaha zake na nyingine inanunua kutoka Russia.
Iran Imejaribu kujitengenezea silaha zake na imeweza.
Haikuweza kununua ADS za kutosha kwa sababu ya vikwazo nadhani.
Lkn hata hivyo ilisimama peke yake wakati Israel ilisimama na Big USA some westerners na some Arabs kuyatungua makombora mengi ya Iran.
Kumbuka Israel Kuna
ADS za Israel na nyingine zile zilizotengenezwa USA.
Kama Israel aliweza peke yake ni kwa Nini Ile ndege B2 Stealth ya USA ilotoka USA kujua kupiga Iran?
Yaani hawa jamaa Huwa ni Wajinga wajinga SanaPro western akili zao zipo brainwashed usijile
We jamaa mbona huwa unapenda sana kupotosha!?Muwe mnafuatilia taarifa vizuri.
Hakuna mahali popote ambapo imeripotiwa kuwa Israel iliomba ceasefire. Kama unayo weka hapa.
Nchi ya kwanza kuongelea ceasefire ilikuwa Iran kwenye kikao chake na ujumbe wa Ulaya. Iran ilisema kuwa yenyewe ingesimamisha urushaji wa makombora mara moja, kama Israel nayo ingeacha kushambulia. Siku 2 baadaye Trump akaja na mpango wa ceasefire akisema kuwa amewasiliana na Iran na Israel, na kwamva pande zote zimeridhia. Na kuwa ndege za Israel zilizokuwa njiani kwenda kushambulia Iran, Israel imezirudisha.
Sisi kuandika hapa habari zisizo sahihi wala haibadilishi kwa vyovyote uhalisia wa vita. Kama wairan wengi wameuawa na majeshi ya Israel, hata tuandike vipi, haitabadilika wawe wachache. Kama majengo mengi ya Israel yamebomolewa kwa makombora ya Iran, hata tuandike vipi, majengo hayo hayatasimama.
Hata kwenye taarifa hii, ukifungua hiyo link, wanaeleza kuwa precision ya ulinzi wa anga ya Israel ilidungua 84% ya makombora ya Iran, huku Israel yenyewe ikisema ilidungua 87% ya makombora. Kwenye vifo, hata kwenye hii taarifa, wanasema kuwa Israel ilisaidiwa sana na mifumo yake ya usalama ambapo ni watu 28 tu ndio waliouawa, huku Iran ikiripoti kuwa watu 600 walipoteza uhai.
Kwenye hii taarifa bado inaonesha kuwa wakati Iran ilipoteza sehemu kubwa ya miundombinu yake ya kivita na wanavita, Israel iipoteza zaidi majengo, huku miundombinu yake ya kivita na wanavita wakikosa kuguswa.
Na hapo ADS za Iran Khordak na Bavar zimeonesha kuwa na ufanisi kuliko Iron dome ya Israel.Iran haikujitutumua,Bali ilijibu kulingana na ilivyoshambuliwa.
Iran ni nchi Tajiri lakini imeishi kwenye vikwazo kwa miaka mingi.Ingekua huru nadhani ingeweza kununua ADS za kutosha.
China inatengeneza silaha zake na nyingine inanunua kutoka Russia.
Iran Imejaribu kujitengenezea silaha zake na imeweza.
Haikuweza kununua ADS za kutosha kwa sababu ya vikwazo nadhani.
Lkn hata hivyo ilisimama peke yake wakati Israel ilisimama na Big USA some westerners na some Arabs kuyatungua makombora mengi ya Iran.
Kumbuka Israel Kuna
ADS za Israel na nyingine zile zilizotengenezwa USA.
Kama Israel aliweza peke yake ni kwa Nini Ile ndege B2 Stealth ya USA ilotoka USA kujua kupiga Iran?
2006 kwenye vita ya Hizbullah na Israel, Israel alipoteza askari wengi na vifaa vingi viliharibiwa akaretrieve . Israel ilipoibukia Hezebulah bada ya miaka kadhaa, tuliona kilichofanyika. Tutegemee raundi ya pili inayokuja, Iran kufinywa sana. Hasara aliyopata Israeli ilikuwa calculated,na ndo maana Netanyahu kasema lengo lilitimia.Na kweli Ayatolla lifanya hivyo bila ya kusita.
Nilipo angalia photo vile vile na video clip ndiyo nikajiridhisha kwamba kumbe Israel ni paper tiger lilikuwa ni suala la muda tu kabla hawajapata kiboko yao - wamepata fundisho LA mwaka kutoka Iran hawatarudia tena kuichoza Iran.
Hizbollah bado wako imara,kitu ambacho mmekisahau France na US waliishinikiza serikali kuu ya Lebanon wawashurutishe Hizbollah wasaini makubaliano ya kusitishwa vita.2006 kwenye vita ya Hizbullah na Israel, Israel alipoteza askari wengi na vifaa vingi viliharibiwa akaretrieve . Israel ilipoibukia Hezebulah bada ya miaka kadhaa, tuliona kilichofanyika. Tutegemee raundi ya pili inayokuja, Iran kufinywa sana. Hasara aliyopata Israeli ilikuwa calculated,na ndo maana Netanyahu kasema lengo lilitimia.
Wewe tushakuzoea ni taahira.Enyi wajukuu wa Mudi ni nani aliewaroga? Tunaomba picha za uharibifu wa kambi zilizoharibiwa!!
Kwamba telegraph na hicho chuo kilichofanya huo utafiti ni wajukuu wa mudi?Enyi wajukuu wa Mudi ni nani aliewaroga? Tunaomba picha za uharibifu wa kambi zilizoharibiwa!!
Mkuu hivi unapata wapi muda wa kuwajibu wapumbavu!Hizbollah bado wako imara,kitu ambacho mmekisahau France na US waliishinikiza serikali kuu ya Lebanon wawashurutishe Hizbollah wasaini makubaliano ya kusitishwa vita.
Ila Hizbollah bado wapo na uimara ule ule,pia fahamu Hizbollah ni kundi lenye limited fire power.
Hasara alizopata Israel sio ndogo hata kidogo,majengo tu ya kiraia more than $20 billions inatakiwa kuyakarabati.
Hujagusa kambi za jeshi, research centres na jengo la uwekezaji pamoja na jengo la Microsoft yaliyolipuliwa.
Iran sio sawa na Hizbollah,Iran ni taifa kamili lenye nguvu kamili ya kijeshi,ili Israel kumpiga Iran kama unavyodai anatakiwa aungwe mkono na USA mwanzo mwisho sio kwa kubahatisha.
Hivyo hivyo Israel inavyojiandaa na Iran imejiandaa mara dufu,wiki ilopita kapokea Air defense system batteries kutoka China,na yupo katika mazungumzo ya kupokea ndege za J10-c kutoka China.
Kama Iran ikipata/nunua silaha mfano: ADS na latest jet fighters kutoka Uchina, basi hapo Iran kila kitu kitakuwa balabala,hivyo Israel itafikilia mara mbili mbili kabla haija ichokoza tena Iran - Israel ikijifanya tena kichwa ngumu itachakazwa kweli kweli this time around na asitegemee kwamba Trump atasumbuwa kichwa chake kumtetea tena binadamu ambaye simsikivu na mwenye kiburi.Hizbollah bado wako imara,kitu ambacho mmekisahau France na US waliishinikiza serikali kuu ya Lebanon wawashurutishe Hizbollah wasaini makubaliano ya kusitishwa vita.
Ila Hizbollah bado wapo na uimara ule ule,pia fahamu Hizbollah ni kundi lenye limited fire power.
Hasara alizopata Israel sio ndogo hata kidogo,majengo tu ya kiraia more than $20 billions inatakiwa kuyakarabati.
Hujagusa kambi za jeshi, research centres na jengo la uwekezaji pamoja na jengo la Microsoft yaliyolipuliwa.
Iran sio sawa na Hizbollah,Iran ni taifa kamili lenye nguvu kamili ya kijeshi,ili Israel kumpiga Iran kama unavyodai anatakiwa aungwe mkono na USA mwanzo mwisho sio kwa kubahatisha.
Hivyo hivyo Israel inavyojiandaa na Iran imejiandaa mara dufu,wiki ilopita kapokea Air defense system batteries kutoka China,na yupo katika mazungumzo ya kupokea ndege za J10-c kutoka China.
Iran ameshapokea ADs kutoka China Bado ndege tu.Kama Iran ikipata/nunua silaha mfano: ADS na latest jet fighters kutoka Uchina, basi hapo Iran kila kitu kitakuwa balabala,hivyo Israel itafikilia mara mbili mbili kabla haija ichokoza tena Iran - Israel ikijifanya tena kichwa ngumu itachakazwa kweli kweli this time around na asitegemee kwamba Trump atasumbuwa kichwa chake kumtetea tena binadamu ambaye simsikivu na mwenye kiburi.
Kama ndiyo hivyo basi hapo Iran itakuwa imefanya jambo la maana sana sana, nikiona au kusoma jinsi Israel inavyo tumia ndege zake za vita kuchinja mamia ya mamia ya Wapalestina almost kila siku, wanapiga mabomu makazi yao si hilo tu, hivi sasa wanafanya operation ya kuwahamisha kinguvu Wapalestina na kuwapeleka kwenye makambi ambayo hayaeleweki vizuri, huku Trump anakaa kimya tu hawajali Wapalestina - kuna wakati nadhani mwaka jana Trump na Natenyahu walikuwa na mpango wa kuwahamisha Wapalestina wote kwenda nchi jinari lakini Dunia ikamshtukia na Waarabu karibu wote wakapiga vikali mpago wake ovu, kumbe Trump alikuwa anataka aridhi yote ya Gaza waitumie yeye na Natenyahu kujenga Golf Courses, Kumbi za starehe na Beach za Watalii, watu wa ajabu sana hawa!!Iran ameshapokea ADs kutoka China Bado ndege tu.
Muwe mnafuatilia taarifa vizuri.
Hakuna mahali popote ambapo imeripotiwa kuwa Israel iliomba ceasefire. Kama unayo weka hapa.
Nchi ya kwanza kuongelea ceasefire ilikuwa Iran kwenye kikao chake na ujumbe wa Ulaya. Iran ilisema kuwa yenyewe ingesimamisha urushaji wa makombora mara moja, kama Israel nayo ingeacha kushambulia. Siku 2 baadaye Trump akaja na mpango wa ceasefire akisema kuwa amewasiliana na Iran na Israel, na kwamva pande zote zimeridhia. Na kuwa ndege za Israel zilizokuwa njiani kwenda kushambulia Iran, Israel imezirudisha.
Sisi kuandika hapa habari zisizo sahihi wala haibadilishi kwa vyovyote uhalisia wa vita. Kama wairan wengi wameuawa na majeshi ya Israel, hata tuandike vipi, haitabadilika wawe wachache. Kama majengo mengi ya Israel yamebomolewa kwa makombora ya Iran, hata tuandike vipi, majengo hayo hayatasimama.
Hata kwenye taarifa hii, ukifungua hiyo link, wanaeleza kuwa precision ya ulinzi wa anga ya Israel ilidungua 84% ya makombora ya Iran, huku Israel yenyewe ikisema ilidungua 87% ya makombora. Kwenye vifo, hata kwenye hii taarifa, wanasema kuwa Israel ilisaidiwa sana na mifumo yake ya usalama ambapo ni watu 28 tu ndio waliouawa, huku Iran ikiripoti kuwa watu 600 walipoteza uhai.
Kwenye hii taarifa bado inaonesha kuwa wakati Iran ilipoteza sehemu kubwa ya miundombinu yake ya kivita na wanavita, Israel iipoteza zaidi majengo, huku miundombinu yake ya kivita na wanavita wakikosa kuguswa.
jcpa.org
Inawezekanaje unasema taarifa inasema miundombinu ya jeshi haikuguswa wakati heading tu inasema kambi tano zimepigwa???Muwe mnafuatilia taarifa vizuri.