The dark side of business

Usisahau kuni tag
 
Huu ndio ukweli nashangaa wanaokimbilia kusema jamaa wanatoa kafara

Masikini huwa wanaamini sana kwenye ushirikina
Hao matajir waarabu, wahindi wanatoa Sana kafara za damu.. na Wana vitabu vyao kabisa... Vitu Kama kurujuan, albadili is real..ndio ujue Kuna ma Dua na MAKAFARA hufanywa kimya kimya.

Natamami kukujibu Ila naona natumia CALORIES zangu nyingi buree😊☺️
Before sijaendelea Kuna mambo kadhaa ningependa kuyajua kutoka Kwako UMRI,UNAJISHUGHULISHA NA NINI, ELIMU, EXPOSURE n.k nauliza haya kwa Nia nzurii TU.

Kama Kuna malaika Basi tambua Kuna mapemo, majini Kuna bahati Kuna nuksi Kuna laana Kuna mafanikio & vice versa is True

Siku moja mchukue KUKU mkate KICHWA chake kwa haraka then mwachie ALAF ANGALIA AKIKATA ROHO ATALALA CHALI, WIMA AMA UBAVU UBAVU NIKI MAANISHA KULIA AMA KUSHOTO. ukifanikisha hili njoo tujadili...

NB.
UKIONA KABURI/ MAKABURI JUA KUA WALE WALIKUA NI WATU PENGINE WALIKUA BORA KULIKO SISI.
 
Ili kila mmoja asimpotezee mwenzake calories wewe endelea na kuamini kwenye kafara.

Na mimi niendelee kuamini kwenye kuwa na mtaji, ubunifu, management nzuri, soko la uhakika n.k

Nipo kwenye game la biashara kwa miaka kadhaa nazungumza kwa experience niliyo nayo.

Na kwenye hii sekta tupo na Wahindi, Waarabu, Wachina na Wazungu naelewa ninaposema wana mitaji na sio nguvu za kafara
 
Na Mimi niamini Mungu na Shetani ni watoto waliozaliwa Tumbo moja yaan Baba mmoja na Mama mmoja, yaan akitoka Shetani anaingia Mungu, hapo vipi?
 
Umeeleza vyema kabisa nakubaliana na wewe 100% eg. Wakulima,wavuvi wafanyabiashara n.k walio fanikiwa wanaitaji vyote ulivyo vieleza.

Ila Kuna the dark side.
 
Umeeleza vyema kabisa nakubaliana na wewe 100% eg. Wakulima,wavuvi wafanyabiashara n.k walio fanikiwa wanaitaji vyote ulivyo vieleza.

Ila Kuna the dark side.
Huku nilipo na sehemu nyingi ninazozifahamu hakuna the dark side labda hiyo the dark side mnayozungumzia iwe kwenye mambo mengine na sio ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…