Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Huu uzi uliishia wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu walioajiriwa huwa wanakaza fuvu, mwambie aache hio ajira aingie business side atajuaAcha ubishi broo,biashara zina siri nyingi sana
Usisahau kuni tagHakuna shule hakuna chuo utafundishwa kuhusu dark side of anything,Kuna njia mbili tu za kujua wasichokijua watu wengi,njia nyepesi zaidi ni kujua kupitia shuhuda za watu waliopita kwenye kivuli cha mauti na wakatoka salama na njia ngumu zaidi ndio Kama niliyopitia Mimi,i dip my feet into the ways of darkness.
Angalizo
Hiki ninachoandika ni experience ya miaka mingi nyuma, now mimi ni mtu safi,i believe in G-d na kwa kila nnachofanya i pray for his guidance.
Lengo la uzi
Nataka ujue upande wa pili wa shilingi,the dark side of business,uujue ulimwengu wa kiroho wa Biashara kwasababu huko ndio karata zinachezwa huko ndio kete zinasukumwa,sitaki upite dark side nataka upite light side(G-d side) kwasababu mafanikio bila giza yanawezekana.
This is my story
Nikiwa advance kwenye mkoa mmojawapo wa kanda ya ziwa,hapo shule nilipangwa room moja na machalii wawili kutoka A town na Kama unavyojua spirit ya wachaga wengi ni Biashara so ikawa story nyingi ni kuhusu biashara,chalii mmoja(tumwite fabi)ndio alikuwa moto sana na issue za biashara,kwasbb baba yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana huko chuga,so jamaa alitamani kuvaa viatu vya baba yake.
Mzee wa fabi alikuwa ana hardware mbili kubwa town na nyumba za kutosha,alikuwa ni realestate guru,simply huyu mzee alikuwa tajiri,Kuna likizo tulienda chuga ili nipate mawili matatu kuhusu biashara.
Mzee fabi:ahaa wewe ndio rafiki yake fabi
Mm:ndio mzee,
Fabi:huyu ndio yule rafiki yangu niliyekuambia anapenda kufanya biashara
Mzee fabi:sawa,karibu sana kijana ila someni hizi Biashara mtazikuta tu,sisi hatukusoma lkn hesabu za Biashara tunazijua...(wote tukacheka)then mzee akaondoka akaenda kwenye mishe zake.
siku iliyofuata fabi alinizungusha kwenye miradi ya mzee,alikuwa na lodge 3,semi mbili na nyumba za wapangaji za kutosha,I was amazed!nikasema hakika business is a sure way onto riches,nilitamani nianze mishe za biashara hata kabla sijamaliza shule,kichwa iliwaka moto,baada ya likizo tulirudi shule nikiwa na vibe la kutosha.
Tukiwa shule
Tukawa tunaulizana tukimaliza shule tufanye issue gani!,fabi akawa anasema akimaliza anataka kuuza vocha za jumla(vocha za mitandao ya simu)mimi nikawa nasema nataka kuuza mafuta(dealer wa hizi cooking oil) so siku moja tukaenda town(shule yetu ilikuwa porini,ndani ndani) lengo la kwenda town ilikuwa ni kufanya utafiti wa hizo mishe tulizoplan kuzifanya,hapa nieleze ujanja flani aliotufundisha mzee wake fabi"ukitaka upate wazo zuri la Biashara angalia customer Queueing" akimaanisha angalia biashara inayotengeneza foleni ya wateja,isee huyu mzee hajasoma lkn alikuwa na nondo Kama za rich dady😃
Sasa huwezi kuamini tulizura pale town kucheki hizo mishe Kama zinatengeneza foleni ya wateja,kwanza tuliona maduka mengi yanayofanya mishe hizo ni ya wahindi(huko mbele nitakuja kueleza dark side ya hawa jamaa hapa bongo,Wana hadi kitabu maalumu cha namna ya kumpiga pin mtu mweusi awe Kama working machine)hawa jamaa kwa sehemu wametuzidi kete(kete za kiroho)....maduka mengi makubwa yalikuwa yao na kweli ile mishe ya vocha tuliona ina foleni si ya kitoto hadi na mm nikashawishika ku abort mishe ya mafuta!niingie kwny vocha.
*****************************
Wadau itabidi nigusie issue muhimu tu ili gazeti lisiwe refu,Sasa nini kitajiri baada ya kumaliza six na kuingia rasmi mtaani..........nitarudi
***************************
Inaendelea.................
Kuna uzi wangu niliutupia hapa unasema"experience ya miaka 15 ya kijiajiri(nadiriki kusema business is a sure way onto true riches)"kwenye huo uzi sikuelezea hiyo miaka 15 nilikuwa nafanya mishe gani, simply ilikuwa ni mishe ya vocha(wholesale)
Sasa baada ya kumaliza six,nilirudi mtaani na harakati za biashara zikaanza rasmi,kuna biashara ndogo nilianzisha lkn mawazo yangu yalikuwa ni mishe ya vocha za jumla, sema mtaji ulikuwa kipengele,so nikavutavuta siku mpk naingia chuo,ile biashara mdogo ilienda poa kimtindo,kuna dogo nilikuwa namwacha shop,mm naendelea na kitabu,nikapata boom(kwny intake yetu tulichelewa kupata,so tukapewa lumpsum ya mwaka mzima ilikuwa Kama 2.4M),chap nikaigeuza kuwa mtaji wa Biashara ya ndoto zangu,hii biashara ya vocha ni kama Biashara ya mafuta,faida yake ni ndogo sana lkn ukiuza mzigo mkubwa faida unaiona,kipindi hicho hii mishe ilikuwa 🔥 🔥 ila now days ni ya kawaida sana,kuuza mzigo wa milioni 5 kwa siku ilikuwa ni jambo la kawaida,nilichanganya shule na biashara kwasababu sikuwa na gutts tena za kusubiri mpk nimalize.
Chuo kilipoisha,
Kwa kweli sikuwa hata na chembe ya kutafuta ajira ijapokuwa matokeo yalikuwa mazuri,washkaji niliomaliza nao walikimbilia ajira,mimi nikaingia rasmi kwenye biashara ya vocha za jumla, wakati namaliza chuo mtaji ulikuwa kama 3M hv lkn ndani ya miezi sita mtaji ukafika 10M miezi sita mingine ikafika 20M,kwa waliofanya mishe hii backdays wanajua kama ukiuza mzigo wa milioni basi faida ni elfu 20,nilikuwa nauza mpk 8M kwa siku,kukunja laki hadi laki na nusu perday ilikuwa kawaida,dat time nikanunua kiwanja,nikajenga maflemu kama nane,then kwa nyuma niliplan kujenga apartments za kupangisha,nilinunua hiace(daladala)ili nitanue wigo,it was amazingl!coz I was just 23,nikazidi kusema "business is a quickest way onto riches" ila sikujua kuwa business is also a riskiest way onto riches,kwa ufupi ile side A ya biashara niliimaster ipasavyo,nilipiga kazi sana mpk watu wakahisi natumia ndumba,kwasababu ofisini watu walikuwa wanajaa,foleni kama nmb,hakika biashara na maisha kwa ujumla viliniendea poa,mtaani kila mtu alitamani afanye biashara kwakile alichokiona kinatokea kwangu,nilitengeneza jina kwa muda mfupi sana ghafla yakaanza mapicha picha,mara nikute damu kwny kiti ninachokalia pale ofisini,Mara hirizi,pesa zikawa zinapotea kimazingara,hua siamini uchawi lkn hiki kilichokuwa kinatokea ni uchawi bila chenga,nilifukuza wafanyakazi lkn haikusaidia(nilihisi wananipiga)nilipiga moyo konde lkn changamoto zilizidi to the extent nikaanza kuogopa biashara,kwa kweli nilibaki njia panda,ila Kuna wazo likanijia,juu ya nini cha kufanya......................
*****************************
Biashara zina ups and downs,niliona upande mmoja,sasa dunia inanionyesha upande wa pili,nini kitaendelea baada ya kupata wazo.............usikose
Unaongea kimasae mama yoyo? Dereva yuko wapi apige hii gari imelala hapa tangu asubuhi?See labda trump Kamla somo
Marana trump Ni muumini
Hao matajir waarabu, wahindi wanatoa Sana kafara za damu.. na Wana vitabu vyao kabisa... Vitu Kama kurujuan, albadili is real..ndio ujue Kuna ma Dua na MAKAFARA hufanywa kimya kimya.Huu ndio ukweli nashangaa wanaokimbilia kusema jamaa wanatoa kafara
Masikini huwa wanaamini sana kwenye ushirikina
Hii pointOya mleta mada ndio analeta maelezo yeye kashapita kote huko atatupa ABC zote wewe vuta siti kaa hapo usikilize na usome kwa kutulia usijitie kujua wakati haujui
Hao matajir waarabu, wahindi wanatoa Sana kafara za damu.. na Wana vitabu vyao kabisa... Vitu Kama kurujuan, albadili is real..ndio ujue Kuna ma Dua na MAKAFARA hufanywa kimya kimya.
Natamami kukujibu Ila naona natumia CALORIES zangu nyingi buree😊☺️
Before sijaendelea Kuna mambo kadhaa ningependa kuyajua kutoka Kwako UMRI,UNAJISHUGHULISHA NA NINI, ELIMU, EXPOSURE n.k nauliza haya kwa Nia nzurii TU.
Kama Kuna malaika Basi tambua Kuna mapemo, majini Kuna bahati Kuna nuksi Kuna laana Kuna mafanikio & vice versa is True
Siku moja mchukue KUKU mkate KICHWA chake kwa haraka then mwachie ALAF ANGALIA AKIKATA ROHO ATALALA CHALI, WIMA AMA UBAVU UBAVU NIKI MAANISHA KULIA AMA KUSHOTO. ukifanikisha hili njoo tujadili...
NB.
UKIONA KABURI/ MAKABURI JUA KUA WALE WALIKUA NI WATU PENGINE WALIKUA BORA KULIKO SISI.
Na Mimi niamini Mungu na Shetani ni watoto waliozaliwa Tumbo moja yaan Baba mmoja na Mama mmoja, yaan akitoka Shetani anaingia Mungu, hapo vipi?Ili kila mmoja asimpotezee mwenzake calories wewe endelea na kuamini kwenye kafara.
Na mimi niendelee kuamini kwenye kuwa na mtaji, ubunifu, management nzuri n.k
Nipo kwenye game la biashara kwa miaka kadhaa nazungumza kwa experience niliyo nayo.
Na tupo na Wahindi, Waarabu, Wachina na Wazungu kwenye hii sekta naelewa ninaposema wana mitaji na sio nguvu za kafara
Baba yao na mama yao ni nani?Na Mimi niamini Mungu na Shetani ni watoto waliozaliwa Tumbo moja yaan Baba mmoja na Mama mmoja, yaan akitoka Shetani anaingia Mungu, hapo vipi?
Ni wao wenyewe kwani ulikua hujui?Baba yao na mama yao ni nani?
Ni wao wenyewe kwani ulikua hujui?
Umeeleza vyema kabisa nakubaliana na wewe 100% eg. Wakulima,wavuvi wafanyabiashara n.k walio fanikiwa wanaitaji vyote ulivyo vieleza.Ili kila mmoja asimpotezee mwenzake calories wewe endelea na kuamini kwenye kafara.
Na mimi niendelee kuamini kwenye kuwa na mtaji, ubunifu, management nzuri, soko la uhakika n.k
Nipo kwenye game la biashara kwa miaka kadhaa nazungumza kwa experience niliyo nayo.
Na kwenye hii sekta tupo na Wahindi, Waarabu, Wachina na Wazungu naelewa ninaposema wana mitaji na sio nguvu za kafara
Lengo la uzi huu ni lipi kwani na nyinyi mnafanya nini hapo mnatuchafulia uzi?Sawa basi endelea kuamini hivyo, tusiharibu lengo la uzi
Umeeleza vyema kabisa nakubaliana na wewe 100% eg. Wakulima,wavuvi wafanyabiashara n.k walio fanikiwa wanaitaji vyote ulivyo vieleza.
Ila Kuna the dark side.
Lengo la uzi huu ni lipi kwani na nyinyi mnafanya nini hapo mnatuchafulia uzi?
Sawa mkuu nimekuelewa sasaLengo laa uzi sio kuzungumzia masuala ya imani
Mambo ya nguvu za Giza,kafara, shiriki kwenye biashara yapo Sana tu sio waarabu, wahindi,waafrika wanafanya Sana visomo.Huku nilipo na sehemu nyingi ninazozifahamu hakuna the dark side labda hiyo the dark side mnayozungumzia iwe kwenye mambo mengine na sio ushirikina