The dark side of business

The dark side of business

Jamii ya Kiafrica inakosa logic katika kujadili mada mbalimbali, na hili limekuwa tatizo la muda mrefu sana.

Yaani kwasababu wewe hujapitia kitu fulani au imani yako haikubaliani nayo basi kitu pekee ni kupinga, kwa style hiyo ujinga ni ngumu kumuisha mtu.

Kikija kitu kipokee jifunze, linganisha na kile ambacho ulikuwa unakijua kisha amua kukibeba ama kukiacha mezani, kwasababu kile ambacho wewe hukiamini na hakijawahi kukutokea kuna wenzako kimewatokea.

Wewe pekee huwezi kuexperience vitu vyote duniani hapa, sikiliza na uheshimu ya wengine pia.
Busara tupu ma young bro. Kuna watu akiona tu kitu asichokiamini basi keshapaniki utafikiri kuwa yeye ndiye ana absolute truth. Kumbe dunia hii ya waja ina mengi ambayo hayajui.

Mungu Awabariki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Una safari ndefu sana ya mafanikio, kafungue biashara mahali pasipo na wateja halafu tumia hizo kanuni za kiroho sali sana au roga sana uone kama utatoboa
Bado hujaelewa somo umetoka nje ya point.! Haimanishi ukifungua biashara kwamba huangalii na location hapana. Utafata kanuni zote za mchakato wa kibiashara.
Hapa tunaongelea ili uweze ku sustain kwenye biashara isimame lazima uwe wa kiroho. Ni kitu huwezi fundishwa Darasani abadani.
 
Sina safari ndefu! Safari yangu ya ubilionea ni fupi sana! sababu ninafuata kanuni za ulimwengu wa roho.
Kwa maneno haya nimepata picha kukuhusu tayari jinsi akili zako zilivyo. Wewe ni mtu mmoja mwepesi sana kutapeliwa na manabii wanaoombea watu utajiri, na wale wa mabango wanasema wanasafisha nyota ya biashara
Bado hujaelewa somo umetoka nje ya point.! Haimanishi ukifungua biashara kwamba huangalii na location hapana. Utafata kanuni zote za mchakato wa kibiashara
Unaona matapeli wanavyocheza na akili zenu. Sasa ukifuata kanuni zote za mchakato wa kibiashara huoni kuwa hizo ndio zinakufanya ufanikiwe

Cheza na hizo kanuni achana na mitishamba ya matapeli
 
Mada zenye mashiko lazima zilete ubishani. Ni hulka kabisa ya binadamu kubisha...

Sasa kitu kama uchawi watu wasibishe? Haiwezekani aisee...
Unless utumie neno jingine tofauti na KUBISHA, haueleweki kidogo hapa.

Dhana nyepesi ya kubisha ni kuamini kuwa unachokifahamu wewe nduo SAHIHI kuliko kile ulichosikia wengine wakisema ama kushudia.

Kwanini unahisi wewe ndio utakuwa SAHIHI kuliko wengine wote linapokuja swala la mada za kichawi.?

Unahisi wewe kwa umri wako huo (wasasa) ana ule utakaoishi hadi kufa kwako, inawezekana ukapitia na uyajua kwa USAHIHI yote wayopitia binadamu wengine ulimwenguni.?

Wewe tu ndio upo sahihi, wengine ni waongo as long as story zinahusu uchawi?
 
Kwa maneno haya nimepata picha kukuhusu tayari jinsi akili zilivyo wewe ni mtu mmoja mwepeso sana kutapeliwa na manabii wanaoombea watu utajiri, na wale wa mabango wamasema wanasafuaha nyota ya biashara

Unaona matapeli wanavyocheza na akili zenu. Sasa ukifuata kanuni zite za mchakato wa kibiashara huoni kuwa hizo ndio zinakufanya ufanikiwe

Cheza na hizo kanuni achana na mitishamba ya matapeli
Poa poa! Nilisema nitakuja kuandika historia yangu hapa ya From the Pit to the Pinnacle..! Utajifunza mambo mengi ya kiroho kwamba ulimwengu wa kiroho ni halisi na huwa haudanganyi na majibu huja kwa wakati sahihi( wale wa rohoni wameshanielewa).

Hujawahi kusikia au kuona mtu alikua anamiliki 200M bank sahizi hana kitu? Huyo aliyeweza kupandisha mtaji wake hadi kufikia 200M unataka kuniambia hajui kanuni za kibiashara?
Unajua sababu zilizomrudisha hadi kuja kuwa na 0 in the bank account? Sasa kuna mambo huwezi kuja kufundishwa Darasani abadani.

Tena nyinyi ndo watu ambao ukipewa 20M, 50M unaambiwa iweke kwenye maono yako ndo mnaingia na mawazo yenu ya kishule shule bila kujua ulimwengu una kanuni zake...hiyo ukipewa wewe hutoboi 3 Months mtaji unakufa.

Usibishane na watu wanaoleta maada kama hizo Bali jifunze uelewe mambo yanayokwenda nje ya Daftari na Kalamu.
 
Back
Top Bottom