Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Busara tupu ma young bro. Kuna watu akiona tu kitu asichokiamini basi keshapaniki utafikiri kuwa yeye ndiye ana absolute truth. Kumbe dunia hii ya waja ina mengi ambayo hayajui.Jamii ya Kiafrica inakosa logic katika kujadili mada mbalimbali, na hili limekuwa tatizo la muda mrefu sana.
Yaani kwasababu wewe hujapitia kitu fulani au imani yako haikubaliani nayo basi kitu pekee ni kupinga, kwa style hiyo ujinga ni ngumu kumuisha mtu.
Kikija kitu kipokee jifunze, linganisha na kile ambacho ulikuwa unakijua kisha amua kukibeba ama kukiacha mezani, kwasababu kile ambacho wewe hukiamini na hakijawahi kukutokea kuna wenzako kimewatokea.
Wewe pekee huwezi kuexperience vitu vyote duniani hapa, sikiliza na uheshimu ya wengine pia.
Mungu Awabariki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿