Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Subscribed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na doria ni endelevuTanzanian Dream ujue kabsa tuko doria.
Njia saba?Pia usisahau kutupatia hizo njia saba amabazo hazimabatani na uchawi au dini kwa anjili guidance
Aisee,Mzee fabi akiwa pale kwenye shelfu,akachomoa tena kitabu kimoja akanipa,akaniambia nenda kasome na hicho.
Sasa kwani mtu akifeli form four ndio kwamba hatoweza tena kuwa tajiri?Kuna mtu anaitwa INFROPRENUER amekuwa akikosoa sana huu Uzi Hadi akafungua Uzi wake kupinga utajiri wa kishirikina, nimemwandikia kisa halisi cha kijana alimaliza form four 2022, akafeli MTIHANI wa Taifa kwa kupata div. Four ya 32,... LAKINI Leo anamiliki bajaj MBILI za abiria MPYAAA, kwamba ana MAONI Gani katika kisa hiki, naona kapotea
inshu yakumiliki bajaji mbili unaona jamaa kafanikiiiwa kias kwamba hio inshu unaileta mpaka huku..?Kuna mtu anaitwa INFROPRENUER amekuwa akikosoa sana huu Uzi Hadi akafungua Uzi wake kupinga utajiri wa kishirikina, nimemwandikia kisa halisi cha kijana alimaliza form four 2022, akafeli MTIHANI wa Taifa kwa kupata div. Four ya 32,... LAKINI Leo anamiliki bajaj MBILI za abiria MPYAAA, kwamba ana MAONI Gani katika kisa hiki, naona kapotea
Kwa umri wake mafanikio ni mtazamo chiefinshu yakumiliki bajaji mbili unaona jamaa kafanikiiiwa kias kwamba hio inshu unaileta mpaka huku..?
sawa inawezekana_maana huko uswailini mtu akimiliki duka tu lamilioni 5 anaitwa tajiriKwa umri wake mafanikio ni mtazamo chief
Ilitakiwa iweje huku kwetu ukimiliki tu spacio mbili wewe ni tajirisawa inawezekana_maana huko uswailini mtu akimiliki duka tu lamilioni 5 anaitwa tajiri
Kwanza Boeing na Airbus ni kampuni mbili tofauti za utengenezaji ndege.Utafutaji halali unapokumbana na mizengwe inayotishia mafanikio halali, Akili za watu Huwa zinapinduka.... Na ndivyo Maana kama ni fitina za kimwili, watu hutafutana Hadi kieleweke, na kama ni fitina za kiroho, watu pia hupambana mpaka kieleweke, ni katika kupambana huko baadhi ya watu hujikuta wamejisokota na kuwa watumwa wa MATATIZO mengine mazito zaidi kama mtoa Uzi anavyotufahamisha.
Any way, imagine wewe ndiyo Tanzania, umenunua midege mikubwa, miboeing na miairbus, unataka ufanye biashara halali, unapata WAZO ulaya nitapata soko, halafu KABLA HATA HUJAZINDUA SAFARI YAKO HATA MOJA TU, unasikia umepigwa Pini juu kwa juu hakuna KUPELEKEA ndege yako huko, kwa sababu ndege zako hazina viwango🤔🤔🤔 unajiuliza waliotengeneza miboeing na miairbus ya Ethiopia, Kenya na Emirate waliweka viwango TOFAUTI na KWAKO?? Je ukipata WAZO kwamba washindani wako ndiyo wanaokupiga Pini, utakuwa unakosea?
Ingekuwa ni gemu huria hujaenda kwa Mzee Ngurumo kweli?😂😂😂
Huyo jamaa "Vis kipo" kichwani hamna kituinshu yakumiliki bajaji mbili unaona jamaa kafanikiiiwa kias kwamba hio inshu unaileta mpaka huku..?
Samahani , lakini hii hoja yako kama kaandika mtoto wa darasa la tatu B. Kwa hiyo mtu aliefeli form four hawezi kumiliki shamba la kahawa au kokoa na kupata hizo bajaji baada ya kuuza hizo kokoa?Kuna mtu anaitwa INFROPRENUER amekuwa akikosoa sana huu Uzi Hadi akafungua Uzi wake kupinga utajiri wa kishirikina, nimemwandikia kisa halisi cha kijana alimaliza form four 2022, akafeli MTIHANI wa Taifa kwa kupata div. Four ya 32,... LAKINI Leo anamiliki bajaj MBILI za abiria MPYAAA, kwamba ana MAONI Gani katika kisa hiki, naona kapotea
NakaziaTanzanian dream alosto ni kali hebu tu bless na episodes mbili tumalizie weekend vizuri