The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

Hivi mkuu unajua kingereza kuwazidi waandishi wanaodili na lugha kila leo?
 
Wizara kupitia --- ministry to review
President Polepole to visit America --- Rais Polepole kuitembelea Marekani

Hizi zote ni kauli za wakati ujao.

Halafu usiseme: ^She visits to America^
Correct: She visits America.
 
Simple tu...nadhani umeelewa.
 
Sasa hapo kosa liko wapi? Au ulitaka aweke “The“ ili kusindikiza sentensi?
 
Hawajakosea hapo bwana we. Usitupigie kelele usiku huu. Unajikuta unajua sana Kiingereza kumbe upo sifuri kabisa.
Hata hivyo kuna sehemu wamekosea kwenye habari ya hunting. Wameandika "he is arrived in the US yesterday...".
Hahahahah mkuu uko makini kweli! “he is arrived in the US yesterday” hapo kweli kuna kipengele.

“He has arrived in the US yesterday” hili ndio sahihi japo mie sijuagi kutofautisha tense ila pakikosewa huwa najua.
 
Wewe ndio umeanguka na kiherehere chako hicho. Reviews laws ni kiingereza sahihi.
cc Lwiva
 
Mtoa mads umeshindwa tu kutetea hoja yako ila'umetusaidia kujua kuwa kimalkia humu ni janga la taifa ikija kwenye suala la grammar.

Yaani 99.999999 ya walio comment ni empty kabisa.

NB: sijamtaja mtu hapa
 
Kwa Kiswahili ni kwamba wizara imefanya mapitio ya sheria zake” Achana na tafasir sisi mkuu
 
Hahahahah mkuu uko makini kweli! “he is arrived in the US yesterday” hapo kweli kuna kipengele.

“He has arrived in the US yesterday” hili ndio sahihi japo mie sijuagi kutofautisha tense ila pakikosewa huwa najua.
"He has arrived in the USA yesterday." Nafikiri kuna tofauti kati ya "has" na "had."

"Has" ni Present perfect/Present perfect continuous" lakini "Had" ni Past perfect/Past perfect continuous. Kama ndani mwake tendo linaendelea basi kwenye"has au had" tunaongeza "been."

Mfano "He has arrived now"
"He had arrived yesterday

Matumizi ya dhana hizo mbili yaani"has na had" yanategemea Noun/Pronoun +verb/action +time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…